Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Nimekuuliza huko kote kwa waganga alipatiwa matibabu ila hakuweza kupona au aliishia kupiga ramli tu ila hakufanya matibabu?
Alipatiwa dawa za kila aina hazikufanya kazi , hatua ya mwisho ndio akashauriwa aende hospital ndio ikagundulika ni kifafa.
 
Kwahiyo uchawi ni dhana ya kubuni isiyopimika?

Longitude na latitude ni contour line zinazopimika kwa devices mbalimbali kus na kas

Uchawi ni dhana potofu inayosingiziwa na kuhusishwa na kusababisha magonjwa na matatizo kwa binadamu bila kuweza kuthibitisha unasababishaje na mechanism zake ni zipi kiufupi ni uongo

And about soul hizo ni imani za kiungu zilizoelezewa kupitia dini kwa hapa siwezi kuzijadili
Kwanini uchawi uwe dhana ya kubuni?
Longitude na latitude zilibuniwa kwaajili ya matumizi mbali mbali ya kijiografia.
Na hua haipimwi long na lat zinapimwa coordinates zake kulingana na makisio.
Long and lat are imaginery lines.

Roho na nafsi hata atheist ambao hawana dini na hawaamini Mungu wanaamini kuna soul and spirits.
Hakuna mwanasayansi asiyeamini kuhusu roho na nafsi,na hata kuithibitisha kisayansi hawajathibitisha.
 
Kila jambo lina udhaifu kaka.
HUWEZI thibitisha jambo la sayansi kiuchawi na HUWEZI thibitisha jambo la kiuchawi kisayansi.
Huwezi kuthibitisha hoja moja kwa kutumia hoja nyingine huko ni kukwepa hoja

Unanikumbusha jamaa angu mmoja huwa ukimuuliza "kwanini umekaa?" Anakujibu "kwa sababu sijasimama" hicho ndio unachofanya wewe

Usilete defense mechanism hapa thibitisha kama uchawi upo tuambie mechanism zake, unaonekanaje, tunaupimaje, unahisije au vinginevyo

Acha kutuambia mambo za roho, sijui latitudes na mambo kibao huko nikuhamisha magori kama huwezi thibitisha kaa kimya
 
Tunaenda taratibu kaka,shida mkiambiwa ithbati yake mnaanza kukataa na kusema kuwa thibitisheni.
Aya na mimi nimemuuliza huyo mwenzako anaweza kuzithibitisha longitude na latitude?
Au anaweza kuithibitisha roho!?
Mkuu tuweke generalisation pembeni, ninyi mnaoujua uchawi tuelezeni ni nini.

Mistari ya longitude na latitude hizo ni imaginary kuelezea hali fulani sio vitu vya kutilia maanani sana

Tujikite kwenye uchawi hapo, mimi binafsi nataka kujua yafuatayo.
1. Unafanyaje kazi, criteria zake zote

Nataka kufahamu uchawi iki nijijibu swali langu la muda mrefu, waafrika tunasifika sana kwa uchawi kuanzia kwenye ndondo huku mtaani, --- kwanini kimataifa tunakwama?

Na pia tulikwsma vipi kwa bunduki za mkoloni.
Personal experience ya uchawi sijawahi pata ila nausikia, na siuamini kupitia kwa kuusikia kwa sababu ya hayo maswali mawili + general concept ya wstu wasipokua na ufafanuzi wa jambo fulani basi hitimisho ni uchawi.

Kama unamajibu karibu mkuu
 
Huwezi kuthibitisha hoja moja kwa kutumia hoja nyingine huko ni kukwepa hoja

Unanikumbusha jamaa angu mmoja huwa ukimuuliza "kwanini umekaa?" Anakujibu "kwa sababu sijasimama" hicho ndio unachofanya wewe

Usilete defense mechanism hapa thibitisha kama uchawi upo tuambie mechanism zake, unaonekanaje, tunaupimaje, unahisije au vinginevyo

Acha kutuambia mambo za roho, sijui latitudes na mambo kibao huko nikuhamisha magori kama huwezi thibitisha kaa kimya
Wewe ndio unakwepa mjadala sikwepi mjadala Wala kuhamisha magoli.
Wewe si unaenda kwa uthibitisho?
Nimekuuliza unaweza kuithibitisha kila kitu!?
Mbona swali simple sana!?
Logic yake hapo wewe huielewi!?
 
N
Ndiyo! Mazingahombwe yote yana behind the scenes maana ni michezo tu Ile kama kombolela

Huo uchawi ni dhana tu haupo naona unazunguuka tu
Elewa kitu kwanza hakuna anayekataa kwamba mazingaombwe sio michezo na ndio maana nilisema kwamba makaratasi yanaweza kufanywa uone kama ni pesa kumbe ni karatasi tu.

Unaweza ukanionyesha behind the scenes za mazingaombwe zile ambazo magicians wanafanyia barabarani katika umati wa watu?
 
Huwezi kuthibitisha hoja moja kwa kutumia hoja nyingine huko ni kukwepa hoja

Unanikumbusha jamaa angu mmoja huwa ukimuuliza "kwanini umekaa?" Anakujibu "kwa sababu sijasimama" hicho ndio unachofanya wewe

Usilete defense mechanism hapa thibitisha kama uchawi upo tuambie mechanism zake, unaonekanaje, tunaupimaje, unahisije au vinginevyo

Acha kutuambia mambo za roho, sijui latitudes na mambo kibao huko nikuhamisha magori kama huwezi thibitisha kaa kimya
Kosugi hoja yako ya roho na latitude nimejibu hapa acha kuhamisha magoli kama unataka uthibitisho wa latitudes na sijui roho anzisha mada maalum hapa tunajadili uchawi
 
Hakuna jibu ulilojibu sahihi hata moja.
Kwanza hata kuhusu upimaji wa long na lat umekosea.
Pia hata kuhusu roho hukujibu umesema ni nadharia ya kiimani na kiUngu.
Ilhali hata wapagani wanaamini kuwa roho ipo na nafsi ipo.
Je wapagani wanaamini kuhusu Mungu na imani?
 
Wewe ndio unakwepa mjadala sikwepi mjadala Wala kuhamisha magoli.
Wewe si unaenda kwa uthibitisho?
Nimekuuliza unaweza kuithibitisha kila kitu!?
Mbona swali simple sana!?
Logic yake hapo wewe huielewi!?
Jibu ni kuwa ndiyo kila kitu kinathibitika ili kujua uwepo wake kama hakithibitiki basi hakipo ni uzushi tu haya thibitisha kuwepo kwa uchawi kama huwezi kaa kimya usihamishe magoli
 
Elewa kitu kwanza hakuna anayekataa kwamba mazingaombwe sio michezo na ndio maana nilisema kwamba makaratasi yanaweza kufanywa uone kama ni pesa kumbe ni karatasi tu.

Unaweza ukanionyesha behind the scenes za mazingaombwe zile ambazo magicians wanafanyia barabarani katika umati wa watu?
Wewe usichokielewa hapo ni nini?

Mazingahombwe yote yana behind the scenes maana ni michezo tu kama michezo mingine

Hiyo unayosema sema sijui megicians za barabarani zote zina behind the scenes kwa maana ukimfuata huyo aliefanya anaweza kukuonesha jinsi alivyofanya au akadisplay palepale akitaka

But: tutoke huko sasa thibitisha sasa uchawi upoje mkuu tuache kujadili vitu vilivyo nje ya mada hapa tunajadili uchawi sio mazingahombwe kama huwezi thibitisha kaa kimya
 
Alipatiwa dawa za kila aina hazikufanya kazi , hatua ya mwisho ndio akashauriwa aende hospital ndio ikagundulika ni kifafa.
Kesi kama hiyo inawezekana hao waganga hawakuwa wakweli ama walichokiona kupitia ramli ni mbali na hiyo hali aliyokuwa akipitia huyo mgonjwa, hivyo siwezi kuwa na jibu la moja kwa moja.

Haya mambo sio mepesi kama unavyofikiri labda uamue tu iwe hivyo, maana hata huko kwa waganga wapo watu wamezunguka sana kwa waganga hadi wamekata tamaa ila mwishoni wanakuja kumpata mganga sahihi ambaye ndio akaweza kuwatibu. Kwahiyo hapo mkuu haya mambo huwezi kutoa hitimisho tu kuwa hakuna uchawi waganga wote waongo au wanachoeleza ni ukweli.

Bado najiuliza kwanini wote walisema kitu kimoja tu kupitia ramli bila kutofautiana?
 
OK ikawaje miaka fulani kila mtu mpaka hao wanaodaiwa ni wachawi wenyewe wakadai baadhi ya magonjwa ni nguvu za kichawi? Ikawaje mpka wachawi wenyewe wasiweze zitambua kazi zao? Mfano wa magonjwa Ukimwi, kifafa , ukoma na nk
 
Wamaasai wanauza hizi kaka.
Buku 8 tu hadi 12.
Kipindi naenda Zanzibar na kukutana na hawa wazungu mie mwenyewe nilishangaa aah "mzungu masuala ya husda,kijicho na mikosi anaaminije"?
Kwa niliokutana nao wanaamini hivyo sijui kwa wengine.
Noma sanaaaaaa
 
Ikawaje nao inaosemekana ni wachawi miaka ya nyuma wasigundue kuwa ugonjwa wa ukoma sio kazi yao?
Kwanza ni dhana,dhana yao imepelekea kujua kuwa kila kitu kinasababishwa kwa nguvu za giza.
Kumbe sio kila kitu mengine ni sababu zingine.
 
Jibu ni kuwa ndiyo kila kitu kinathibitika ili kujua uwepo wake kama hakithibitiki basi hakipo ni uzushi tu haya thibitisha kuwepo kwa uchawi kama huwezi kaa kimya usihamishe magoli
Mkuu kuna vitu huwezi kuthibitisha kwa mfano kuna baadhi ya aina za tiba ambazo huwezi kuzithibitisha jinsi gani zinafanya kazi ila zipo hizo tiba.
 
Kwanza ni dhana,dhana yao imepelekea kujua kuwa kila kitu kinasababishwa kwa nguvu za giza.
Kumbe sio kila kitu mengine ni sababu zingine.
Hii kitu mpaka hao inaosemekana ni wachwi waliamini hivyo , ikawaje washindwe tambua kazi zao?
 
Mkuu tuweke generalisation pembeni, ninyi mnaoujua uchawi tuelezeni ni nini.

Mistari ya longitude na latitude hizo ni imaginary kuelezea hali fulani sio vitu vya kutilia maanani sana

Tujikite kwenye uchawi hapo, mimi binafsi nataka kujua yafuatayo.
1. Unafanyaje kazi, criteria zake zote

Nataka kufahamu uchawi iki nijijibu swali langu la muda mrefu, waafrika tunasifika sana kwa uchawi kuanzia kwenye ndondo huku mtaani, --- kwanini kimataifa tunakwama?

Na pia tulikwsma vipi kwa bunduki za mkoloni.
Personal experience ya uchawi sijawahi pata ila nausikia, na siuamini kupitia kwa kuusikia kwa sababu ya hayo maswali mawili + general concept ya wstu wasipokua na ufafanuzi wa jambo fulani basi hitimisho ni uchawi.

Kama unamajibu karibu mkuu
Uchawi ni suala la imani za nguvu za kiza na kiroho.
Suala kama hili linahusisha nguvu za kiroho zisizoonekana kwa macho ya nyama.
Pia ina taratibu zake ambazo huwa zinahusisha kafara za damu,pia Ina miiko yake na mipaka yake.
 
Back
Top Bottom