lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,223
Hahaaaaaa! HIO INAITWA SPEAK OF THE DEVIL AND HE WILL APPEAR!
Hahaaaaaa! HIO INAITWA SPEAK OF THE DEVIL AND HE WILL APPEAR!
"Hatujakutana bara barani" ujue.....😀
kama vipi tuZAMIE...teh teh teh
Sasa huu UZI NA WA CHOSEN FEW! Na sie tusiokubali kushindwa tunajipendekeza pendekeza mwanzo mwishooo na kukomaaaa TUALIKWE! Iwe isiwe!
Kama unabaki behind the scene baki tuuuuu! ITS A FREE COUNTRY! Afterall sio kwamba Mlialikwa Mkakataaa! Hahahaaaaa!
Hahaaaaaa! SIJA ALIKWAAA KWANI UONGO. Mmmmmh! Nilivo gala gala humu kwenue huu uzi nisipoalikwa sijui wapi nitaiweka sura yangu! !mmmmmmh! Hatari! Nakutamani ulivopokea kikombe ila roho inaniumaaaaaa! HOW CAN I MISS. A PARTY WITH A THEME. ARE YOU INVITED? MMU A LISTERS, CHOSEN FEW, Duuuuuuuuuuh! Nahisi kulazwa kabisaaa endapo nikikosaaaa! Looooooh!Mi na wewe hatuchekani mamito....we hujaalikwa (am not vere shua) unajikomba ualikwe....mimi sijaalikwa nimepokea kikombe changu
Ukininyuka macho yangu yakivimba........
Nishajiona nasikitika hautokuwepo jamani
Sasa mbona hujaja Twin
Hahaaaaaa! SIJA ALIKWAAA KWANI UONGO. Mmmmmh! Nilivo gala gala humu kwenue huu uzi nisipoalikwa sijui wapi nitaiweka sura yangu! !mmmmmmh! Hatari! Nakutamani ulivopokea kikombe ila roho inaniumaaaaaa! HOW CAN I MISS. A PARTY WITH A THEME. ARE YOU INVITED? MMU A LISTERS, CHOSEN FEW, Duuuuuuuuuuh! Nahisi kulazwa kabisaaa endapo nikikosaaaa! Looooooh!
Nakuja twin... Tafadhali endelea kusubiri!!!
Hahahahah....nimependa hiyo 'tafadhali endelea kusubiri'
si umesikia wengine wanaanza kuomba ifanyike desemba ili wakija kusalimia bibi zao ndio hapo hapo waikute party 'yetu'....
cc: Nyani Ngabu
Tutaserebuka wote