Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

si umesikia wengine wanaanza kuomba ifanyike desemba ili wakija kusalimia bibi zao ndio hapo hapo waikute party 'yetu'....
cc: Nyani Ngabu
Hahaaaaa! Kama nilivokwambia mimi ni mshika pembe tu, nilisikia ITS GOING DOWN sasa sipendi kupitwa pitwa! Hahaaa! Sidhubutukupitwa na bwana pepsi! Hao waandaaji wakiwasikia poaaa tu, january, october, december, whatever mi nimooo tu! Hahaaaa!
 
Hahahaha kwani hata wakiongea we unakatika mkono Eli79? Unaniangusha wakati mi naamini after Ntuzu we ndo shujaa wangu hum mmu?
HAJIAMINIIIIIII! Ndo maana nikakwambia HE DOESNT HAVE WHAT IT TAKES! Maneno ya watu asiowajua yanamwingia bara bara kama dozi ya kristapen! Hahahaaa! Je anaowajia si watamuua kwa pressure? Hahahaaaa!

Hii kitu ya watu majasusi tu! Wale i dont cate spirit! Nyie semeni na mie ndo nishakuja! KWANI MNANIDAI? Ila ukiwa unapenda kipelembwaaa baaaaaaas! YOU CANT HAVE WHAT IT TAKES! NOT EVERYBODY HAS WHAT IT TAKES!
 
baby ake Kaizer hii tukiikosa tena walah nakupiga kibuti...lols
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kwani hata wakiongea we unakatika mkono Eli79? Unaniangusha wakati mi naamini after Ntuzu we ndo shujaa wangu hum mmu?
hahaha..
Perhaps i must admit kuwa i have no ballskwa vitu vya namna hiyo..
I love #oneONone Khantwe...kila mtu ana preferences zake...!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah...kweli bwana akina sie wacha tuendelee kubaki behind the scene manake....!!
Sasa huu UZI NA WA CHOSEN FEW! Na sie tusiokubali kushindwa tunajipendekeza pendekeza mwanzo mwishooo na kukomaaaa TUALIKWE! Iwe isiwe!

Kama unabaki behind the scene baki tuuuuu! ITS A FREE COUNTRY! Afterall sio kwamba Mlialikwa Mkakataaa! Hahahaaaaa!
 
hahaha..
Perhaps i must admit kuwa i have no ballskwa vitu vya namna hiyo..
I love #oneONone Khantwe...kila mtu ana preferences zake...!

Hahahahah....mi mwenyewe kwenye maisha yangu ya uraiani si mtu wa mitoko hata kidogo labda ningekuwa natoka ningepata mshawasha lakini walaaaa
 
Last edited by a moderator:
HAJIAMINIIIIIII! Ndo maana nikakwambia HE DOESNT HAVE WHAT IT TAKES! Maneno ya watu asiowajua yanamwingia bara bara kama dozi ya kristapen! Hahahaaa! Je anaowajia si watamuua kwa pressure? Hahahaaaa!!
In as much as i would like to argue, ila kwa hili you got me...!
Japo sikuoni kama kutojiamini, kwangu ni vitu sijazoea kufanya..!
A one-on-one is much better for me!
 
"Hatujakutana bara barani" ujue.....😀
Hahahaaaa! There is the first time for every thing and an end to every thing! Or it can be a temporary ending you know what im sayin hommie! Najitahidi kunena kwa lugha hapa ujue! Just imagine all that glory just waiting for you at the other side of the river! Ripe and ready to be explored! And your silly black a.ss is sittin here whining and preachin about not meetin in the road? Really? Seriously! Damn! Spare me the sentiments *Yawns! Rolls eyes! And goes back to doing nothing as usual!*
 
Back
Top Bottom