sentensi ipi?? nimesikia 'mmmmmhhhh' ndio nikakuuliza mbona waguna?
janethi1 yuko wapi?
Mke mwenza niko bize nampetipeti Eiyer siunajua ndoa bado mpya hii lol
Haya mwaya all the best na ndoa yako
Hiyo ndoa ni changa miaka yote?
Asante mwenza ila msalimie yule mume wetu
Hiyo ndoa ni changa miaka yote?
nipo best, mzima wewe......msalimie mmeo.
Hii ndoa yetu kila siku ni mpya bibie...kupendwa raha jamani lol
Mwanamke sijakuona mda,salam zinefika best!
Uongo.....hem na mimi nimjaribu mumeo nione kama kweli
Uongo.....hem na mimi nimjaribu mumeo nione kama kweli
Uongo.....hem na mimi nimjaribu mumeo nione kama kweli