Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Mambo mazuri yanakuja

Mtambuzi ataongelea hayo makitu siku si nyingi
Mambo yale ni PRIVATE TU! Acha tunaojuana tuzidi kujuana na wale wa nyuma ya keyboard wazike wafu wao nyuma ya key board! :cool2::cool2:
NSA tu itakuwa na EXCLUSIVITY ya umbea wa siku hio! Wambea wengine wasioenda shule tupa kuleeee! Cc miss neddy you are not invited! (I didnt think so!)
 
Id ... !!!!!!
Mpenda nini?
Are you invited? Maana wewe chama kubwaaa! Kujishaua kote huku im not invited YET! Ila naamini nikimshika sharubu babu yule nitakuwa invited kilazima! Nampa mambo mpaka adateeee! Free P policy itakuwa exceptional kwanza kizee kile kitanawa tu, nguvu za kuvunja mfupa kushney! Matola bora ufanye manuva tu tuwe invited! Ooooooooh! Either way im getting in!
 
Tangu nimtose lara 1 hataki hata organise JF party.....
Hahaaaaa! Vin usinivunjie ndoa chonde chonde! Mheshimiwa ARE YOU INVITED? Maana michepuko yako imekuwa invited sass mswati ukiachwa itaboa snaaa maana naskia una kitu KIPYAAAA! Cant wait to see her!:A S wink:
 
Kama atahudhuria naombeni kadi ya mwaliko
 
Na mie naomba kualikwa.
Hahaaaaa! Kwakuwa mwanamke utaalikwa tu! Si unajua wadada ndo pambo!? Ila usiwe na skendo ya umbea umbea na kufatilia yasiyo kuhusu! MAANA MWAKA HUU MAMBO NI XXXL, NEXT LEVEL! Na Ticha is invited already! Chezea ticha weyeeeeee! Aaaaah! Chama kubwa lile!
 
Kuna JF BREAKFAST BRUNCH IN A 5 STAR HOTEL SOON! ARE YOU INVITED? Ndo habari ya humu MMU soon! Watu wakueleweka, vi gay prick vimezidi sanaa humu mmu siku hizi!

im not invited thats why i started this thread.......naona mnaanza discrimination taratibu
 
Back
Top Bottom