Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,098
- 127,830
haaaaaaa bimkubwa unataka kuonja nini??
Mi hata sina nia mbaya nataka nithibitishe tu alichosema
haaaaaaa bimkubwa unataka kuonja nini??
ahahahhahahhaha
Nyoooo tena uishie hapohapo...
Mi hata sina nia mbaya nataka nithibitishe tu alichosema
nitamsalimia.....kwani siku hizi hamuonani kazini??
mdingi wangu anajua hilo?
Sasa na wewe usianze umbea wa kumwita mdingi wako hapa...
Kwani hajakwambia nimehama? Nimehamia paris mie
ukienda tu kuonja namwita.,.,.kwani dadii kasafiri momy.,