Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

pachaaaaa ,,,,,,,,, hivi madume ya mbegu tutapata mwaliko kweli?

nasubiria............
Thubutuuuuuuuuu! Akualike nani UJE UIJAZE MMU? Akhaaaaaaa! Labda labda utafikiriwa akihitajika mtu wa kutoa first aid!
 
Kwahiyo hiyo party ni ya 'mastaa' tu sio ?
Not NECESSARILY! Ujue MMU recently yametokea mambo ya ajabu ajabu mnooo! Kuna watu wachache hawajaenda shule na vishoga kadhaa vinataka kutuvuruga watu wazima na akili zetu! Hako kakundi kamekiwa kakileta mambo ya ya ignorance na uswahili uswahili kupitilizaaa kwa mambo ya kufatiliana KITOTO sasa watu wazima wachache tunajitahidi kuonesha utuuzima wetu na hatutaki watu wasiokuwa na shule watutawale! Ndo maana standards muhimu!

Hata new member kama unajielewa, huna uswahili swahili kufatilia visivo kuhusu kama mtoto mdogo, unajiamini, unataka kwenda next level unaalikwa tu! Ufaidi maisha! Kama na wewe cha uswahili kama wale wasioenda shule wanaopiga makelele humu kaa tu nyuma ya keyboard tena chukua vuvuzela na funga amplifier piga kelele weweeee sisi tunakutana tunakula bata mwanzo mwishoooo we tusambaze tu, ukimaliza tusajili kabisaaaa uridhike na nafsi yako, kwani unatudai? Unatulisha? Unatuweka mjini? Cc Heaven on Earth
 
Hata new member kama unajielewa, huna uswahili swahili kufatilia visivo kuhusu kama mtoto mdogo, unajiamini, unataka kwenda next level unaalikwa tu! Ufaidi maisha! Kama na wewe cha uswahili kama wale wasioenda shule wanaopiga makelele humu kaa tu nyuma ya keyboard tena chukua vuvuzela na funga amplifier piga kelele weweeee sisi tunakutana tunakula bata mwanzo mwishoooo we tusambaze tu kwani unatudai? Unatulisha? Unatuweka mjini? Cc Heaven on Earth

Eeeh....kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
Jamani naomba kuuliza,
nilisoma humu kuwa kutakuwa na JF PARTY around mwezi wa sita au saba
hivi na ingefanyika Serena AU Kempiski. Je! ilishafanyika nimepitwa au
bado ?

Kama bado itafanyika lini au ndio tusubiri JF Xmas Party !?

CC:
Mtambuzi

lara1

hapana tumebadilisha tutafanyia malaika hotel mwanza.
 
I am a Tanzanian through and through na kwenye party ntakuja, willy-nilly.

Ukija kwenye parking lot ukiona kuna Range Rover HSE metallic blue imepaki jua kuwa nipo ndani ya nyumba.

ha ha ha ha bado unayo ile RR yako ya 2001!!!! upgrade bro SDV8 will do
 
Not NECESSARILY! Ujue MMU recently yametokea mambo ya ajabu ajabu mnooo! Kuna watu wachache hawajaenda shule na vishoga kadhaa vinataka kutuvuruga watu wazima na akili zetu! Hako kakundi kamekiwa kakileta mambo ya ya ignorance na uswahili uswahili kupitilizaaa kwa mambo ya kufatiliana KITOTO sasa watu wazima wachache tunajitahidi kuonesha utuuzima wetu na hatutaki watu wasiokuwa na shule watutawale! Ndo maana standards muhimu!

Hata new member kama unajielewa, huna uswahili swahili kufatilia visivo kuhusu kama mtoto mdogo, unajiamini, unataka kwenda next level unaalikwa tu! Ufaidi maisha! Kama na wewe cha uswahili kama wale wasioenda shule wanaopiga makelele humu kaa tu nyuma ya keyboard tena chukua vuvuzela na funga amplifier piga kelele weweeee sisi tunakutana tunakula bata mwanzo mwishoooo we tusambaze tu, ukimaliza tusajili kabisaaaa uridhike na nafsi yako, kwani unatudai? Unatulisha? Unatuweka mjini? Cc Heaven on Earth

aiseeee!!!! kumbe kuna mengi yanaendelea humu chini ya zulia??!!!!! kazi ipo,anyway kama nikialikwa nitakuja nisipoalikwa sitakuja....kama ya mwanzo ilikuwa kiingilio chako na sikuhudhuria hata hii kama ni ya 'watu fulani' na sijaalikwa nitapass......haya na muinjoi
 
Eeeh....kazi ipo

Habari ndo hio Wasioenda shule wafunge amplifier na satelite kabisaaaa!!!! Na wafuasi wao walioenda shule afu wanafata wasioenda shule viherehere nawahurumia tu! Any waya WAFU ZIKENI WAFU WENU NYUMA YA KEY BOARD!

Ila sisi aaaaah tunadeal na THE REAL DEAL TU! Kwa raha zetu! Kila mtu alikuja peke yake humu! Aaah! Ukikalia majungu na masufuria utabakia hivohivo wenzio ndo tushafaidi hivo,tunasonga mbele! Kwani ukisema nimeliwa napaukaaaa? Thubutuuuuu! We ibanie iliwe na nyenyere tu! Inahuuuuuuu?

Mdada wa MMU ukialikwa maya jua uko juu, nenda kwenye party ya watu wazima ukutane na watu wazima wenzio! Wafu wa humu ndani wasikutishe! They dont have what it takes ndo maana out of jelousy wamebakia kuchonga sanaa tu! KWANZA CREDIBILITY ya hao wachongaji inasikitishaaaa! Mi nawashangaa sanaa wanaoji associaye nao! Msichana mrembo, unaejielewa huwezi, yani huwezi kuwa na kikundi kama kile!

Ngoja niishie hapa kabla sijapelekewa pertition nisialikwe nikaaibika zaidi! Hahaaaaaaa!
 
Duh...hii party inaonekana ni ya watu wenye..address zao mjini..teh teh teh...
 
aiseeee!!!! kumbe kuna mengi yanaendelea humu chini ya zulia??!!!!! kazi ipo,anyway kama nikialikwa nitakuja nisipoalikwa sitakuja....kama ya mwanzo ilikuwa kiingilio chako na sikuhudhuria hata hii kama ni ya 'watu fulani' na sijaalikwa nitapass......haya na muinjoi

JUST MIND YOUR BUSINESS NDO UTAFAIDI MAISHA YA HUMU! Ukianza kuyachungulia ya behind the scene yatakutishaaaaa! After all wewe mkaka bwanaaaa! Mambo ya kike tuachie wenyewe! This shit got nothing to do with the party! TUNATUMIANA SALAMU TU TRIPPLE ALLIANCE NA TRIPPLE ENTENTE! Hahahahaaaaaa! Its our ritual dont pay attention to us! Hahahaaaaa!
 
noted. im waiting for invitation....
 
Not NECESSARILY! Ujue MMU recently yametokea mambo ya ajabu ajabu mnooo! Kuna watu wachache hawajaenda shule na vishoga kadhaa vinataka kutuvuruga watu wazima na akili zetu! Hako kakundi kamekiwa kakileta mambo ya ya ignorance na uswahili uswahili kupitilizaaa kwa mambo ya kufatiliana KITOTO sasa watu wazima wachache tunajitahidi kuonesha utuuzima wetu na hatutaki watu wasiokuwa na shule watutawale! Ndo maana standards muhimu!

Hata new member kama unajielewa, huna uswahili swahili kufatilia visivo kuhusu kama mtoto mdogo, unajiamini, unataka kwenda next level unaalikwa tu! Ufaidi maisha! Kama na wewe cha uswahili kama wale wasioenda shule wanaopiga makelele humu kaa tu nyuma ya keyboard tena chukua vuvuzela na funga amplifier piga kelele weweeee sisi tunakutana tunakula bata mwanzo mwishoooo we tusambaze tu, ukimaliza tusajili kabisaaaa uridhike na nafsi yako, kwani unatudai? Unatulisha? Unatuweka mjini? Cc Heaven on Earth

Hahaaaaa nimechekaje

Mesage sent and delivered.
 
Habari ndo hio Wasioenda shule wafunge amplifier na satelite kabisaaaa!!!! Na wafuasi wao walioenda shule afu wanafata wasioenda shule viherehere nawahurumia tu! Any waya WAFU ZIKENI WAFU WENU NYUMA YA KEY BOARD!

Ila sisi aaaaah tunadeal na THE REAL DEAL TU! Kwa raha zetu! Kila mtu alikuja peke yake humu! Aaah! Ukikalia majungu na masufuria utabakia hivohivo wenzio ndo tushafaidi hivo,tunasonga mbele! Kwani ukisema nimeliwa napaukaaaa? Thubutuuuuu! We ibanie iliwe na nyenyere tu! Inahuuuuuuu?

Mdada wa MMU ukialikwa maya jua uko juu, nenda kwenye party ya watu wazima ukutane na watu wazima wenzio! Wafu wa humu ndani wasikutishe! They dont have what it takes ndo maana out of jelousy wamebakia kuchonga sanaa tu! KWANZA CREDIBILITY ya hao wachongaji inasikitishaaaa! Mi nawashangaa sanaa wanaoji associaye nao! Msichana mrembo, unaejielewa huwezi, yani huwezi kuwa na kikundi kama kile!

Ngoja niishie hapa kabla sijapelekewa pertition nisialikwe nikaaibika zaidi! Hahaaaaaaa!

Hahaa duuh ulivyonishushia gazeti....mimi bwana hum ndani najiassociate na kila mtu ninayeona ananifaa kwa wakati husika though nakiri kuna wakati nlitaka kuicheza ngoma nisiyoijua.....kumbe kuna mengi yako nyuma ya pazia ambayo siyajui nlipoyajua nikaamua kubadili style..... Mtu atakayenitenga kisa ameona najihusisha na fulani na aende tu mi sina tatizo madam najua nnachofanya na moyo wangu naujua mimi
 
Back
Top Bottom