Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Utanifanya nini..? Utanimwagia tindikali..?
Wala sikuumizi.......ila utajuta........
Utanifanya nini..? Utanimwagia tindikali..?
Nitakuwakilisha twinny usijali :A S 11:Yeah mum...saiv majukumu yamebana aiseee! Hope nitawakilishwa na my twin Elizabeth Dominic
Aaaaaaah! Fitna ndugu yangu ni hatariiii! Naweza kufanyiwa hujuma hapo kati nika blow mapigooo! You never know! Anyway namba Mungu wanikumbuke!Hahahah usialikwe wewe tena big potato wa mmu....ataalikwa nani sasa loh
Uliza Basidei ya Mentor nilini??
Mentor besidei yako lini???Uliza Basidei ya Mentor nilini??
CC lara 1
CC Mtambuzi
CC Vin Diesel
CC watu8
CC Kipaji Halisi
CC Asprin
CC Paloma
CC ladyfurahia
CC Madame B
CC Nicas Mtei
Wote hao ni mashaidi ila kijana wangu anajitahidi sana!
Uliza Basidei ya Mentor nilini??
CC lara 1
CC Mtambuzi
CC Vin Diesel
CC watu8
CC Kipaji Halisi
CC Asprin
CC Paloma
CC ladyfurahia
CC Madame B
CC Nicas Mtei
Wote hao ni mashaidi ila kijana wangu anajitahidi sana!
Mentor besidei yako lini???
KakaKiiza hujanitendea haki kutonimention, hivi unakumbuka ile event ya kumlishas Mentor cake?? I wish ijirudieeeee...Uliza Basidei ya Mentor nilini??
CC lara 1
CC Mtambuzi
CC Vin Diesel
CC watu8
CC Kipaji Halisi
CC Asprin
CC Paloma
CC ladyfurahia
CC Madame B
CC Nicas Mtei
Wote hao ni mashaidi ila kijana wangu anajitahidi sana!

Naomba uniwie radhi kwahili kwani halitajirudia tena.....ile basidei ilikuwa feb baadae tena ikafanyika july kila party ni basidei ya Mentor mweeeehKakaKiiza hujanitendea haki kutonimention, hivi unakumbuka ile event ya kumlishas Mentor cake?? I wish ijirudieeeee...
View attachment 184106
Thubutuuuuuuuuu! Akualike nani UJE UIJAZE MMU? Akhaaaaaaa! Labda labda utafikiriwa akihitajika mtu wa kutoa first aid!
nimesoma coments zote, naona hapo kuna kitu cha kimya kimya, we unabaki kusikia harufu tu, wacha nipite mbali, aya wajameni all da best katika hilo burekifast pati. na wale wakina mimi tusiokuwa na majina tutaandaa pati la clachifast kitu uswazi, linakuja soon.ila kwa hii yenu nasubiria rizevu, maana hata dalili ya mwaliko sina.
Naomba uniwie radhi kwahili kwani halitajirudia tena.....ile basidei ilikuwa feb baadae tena ikafanyika july kila party ni basidei ya Mentor mweeeeh
Hebu fanyeni mambo bana wabeba maboksi tuje tunyuke watu fimbo za macho!
Ukienda unistue namie nije lol