Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Duh...hii party inaonekana ni ya watu wenye..address zao mjini..teh teh teh...
umeona eeeh!
Duh...hii party inaonekana ni ya watu wenye..address zao mjini..teh teh teh...
Habari ndo hio Wasioenda shule wafunge amplifier na satelite kabisaaaa!!!! Na wafuasi wao walioenda shule afu wanafata wasioenda shule viherehere nawahurumia tu! Any waya WAFU ZIKENI WAFU WENU NYUMA YA KEY BOARD!
Ila sisi aaaaah tunadeal na THE REAL DEAL TU! Kwa raha zetu! Kila mtu alikuja peke yake humu! Aaah! Ukikalia majungu na masufuria utabakia hivohivo wenzio ndo tushafaidi hivo,tunasonga mbele! Kwani ukisema nimeliwa napaukaaaa? Thubutuuuuu! We ibanie iliwe na nyenyere tu! Inahuuuuuuu?
Mdada wa MMU ukialikwa maya jua uko juu, nenda kwenye party ya watu wazima ukutane na watu wazima wenzio! Wafu wa humu ndani wasikutishe! They dont have what it takes ndo maana out of jelousy wamebakia kuchonga sanaa tu! KWANZA CREDIBILITY ya hao wachongaji inasikitishaaaa! Mi nawashangaa sanaa wanaoji associaye nao! Msichana mrembo, unaejielewa huwezi, yani huwezi kuwa na kikundi kama kile!
Ngoja niishie hapa kabla sijapelekewa pertition nisialikwe nikaaibika zaidi! Hahaaaaaaa!
Twin ina maana unaona nyota tu??? Tooobaaaaa.... Ngoja nikufuate kuleeee nkudadavulie!!!
Ngoja nikuongezee kidogo asee, hii si sawa kabisa.....party usimiss tafadhali
Heeee....nipatie yako bas nikuzambaze au we hutaki kuuza sura?
...mkuu uko
...mzee wa kuuza body...nafasi zako hz..
Mambo mazuri yanakuja
Mtambuzi ataongelea hayo makitu siku si nyingi
Nehi aisee! mambo ya kujadili pua, macho na masikio yangu sitaki...!
Hahahaaa! Nje nauli hayo madolari just for a party ni kutaka kuaibishana sasa!panda ndege au ungo uje....au una ushauri gani? tuje tufanyie party huko nje??
Hahaaaaaa! UKIONA MTU ANAOGOPA OGOPA UJUE THEY DONT HAVE WHAT IT TAKES! Wacha wake huko huko BEHIND THE SCENE! Pale inatakiwa waje watu wanaojiamini, watu wasiotetemeshwa na vishoga vichache na wasioenda shule! Huwezi kuwa you have what it takes afu ukawa unaogopa ogopa! Hata shileni wale A LISTERS wanakiwaga wanasemwaa sanaa na wale wasiokiwa na what it takes lakini bado wapo mstari wa mbele! WHY? SIMPLY BECAUSE THEY HAVE WHAT IT TAKES! SIMPLE! Sasa wenzangu na mie wasio na what it takes sababu 100000000000 kujifanya sizitaki hizi mbichi kumbe unajisitiri tu aibu yako!Wewe ulivyo mhendsam hivyo unaogopa nini hahah au unaogopa pm?
Ndugu yanguuuu! Usinione nagala gala na kumwaga radhi kwenye huu uzi, hii yote kutaka kuwashawishi waandaji japo sio A lister humu MMU wanisitiri tu kwa jitihada zangu za kujikomba ndani ya hili thread!
Hahaaaaaa! UKIONA MTU ANAOGOPA OGOPA UJUE THEY DONT HAVE WHAT IT TAKES! Wacha wake huko huko BEHIND THE SCENE! Pale inatakiwa waje watu wanaojiamini, watu wasiotetemeshwa na vishoga vichache na wasioenda shule! Huwezi kuwa you have what it takes afu ukawa unaogopa ogopa! Hata shileni wale A LISTERS wanakiwaga wanasemwaa sanaa na wale wasiokiwa na what it takes lakini bado wapo mstari wa mbele! WHY? SIMPLY BECAUSE THEY HAVE WHAT IT TAKES! SIMPLE! Sasa wenzangu na mie wasio na what it takes sababu 100000000000 kujifanya sizitaki hizi mbichi kumbe unajisitiri tu aibu yako!
IM JUST SAYING,
Hahahaaa! Nje nauli hayo madolari just for a party ni kutaka kuaibishana sasa!
JUST MIND YOUR BUSINESS NDO UTAFAIDI MAISHA YA HUMU! Ukianza kuyachungulia ya behind the scene yatakutishaaaaa! After all wewe mkaka bwanaaaa! Mambo ya kike tuachie wenyewe! This shit got nothing to do with the party! TUNATUMIANA SALAMU TU TRIPPLE ALLIANCE NA TRIPPLE ENTENTE! Hahahahaaaaaa! Its our ritual dont pay attention to us! Hahahaaaaa!
niko mkuu ...nilipoteza simu hebu tupia namba kule...tutafutane wiki endiumekuwa adimu sana mkuu....
Stabbing behind my back huwa sipendi...!Wewe ulivyo mhendsam hivyo unaogopa nini hahah au unaogopa pm?
hahaha mkuu nishastaafu bana...kwema lakini?
kama vipi tuZAMIE...teh teh tehumeona eeeh!