Kula na kunywa tu,
Hakuna hata kitu ya maendeleo nimesikia kutoka huko.
Mum... Maendeleo ni kimya kimya sio mpaka tuanzishe thread... Binafsi nimefaidika sana kuhudhuria hizi partybna wala sitakaa nijute, tena panapo nafasi nitakuwa nahudhuria!
Nitakuwakilisha twinny usijali :A S 11:
......mwisho wa siku si mnabadilishana na namba za simu...?Kula na kunywa tu,
Hakuna hata kitu ya maendeleo nimesikia kutoka huko.
mbona unaguna dada???!!