Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

ngoja mie nikae pembeni
niangalie movie!
nguruwe pita...!!
sina mkuki mie!

Bibie maadamu muamala wako umefika kwa P.I.M.P kadi ushapataaaa! That automatically makes you an A lister in MMU!
 
Aaaaaaah! Mi kusutwa sitaki! NIMEKUMEGEA TU WORD ON THE STREET IS UNA KITU LIMITED EDITION, BRAND NEW, KINAANZIWA NA B! Kama umenisoma hujanisomaaa utajijuuuuuu! Usitake nionekane mmbea nisialikwe bureeee! Akhaaaaaa!


Hebu jazia jazia nyama kwenye maelezo yako....
 
aisee hivi hawa ndege bado wapo?? ila kwenye hii party tetere watakuwepo tu!

hivi kweli mkuu tutakosa one nyt stand za ndondo kweli cku hyo maana najua jinsia ya ke zitakua ni nyingi
 
Back
Top Bottom