Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Mabandiko yote yangekuwa yanajibiwa kama ulivyojibu hapa mkuu, hakika jf kusingekuwa na watu wa kutokwa povu kabisa humu ndani. Nimeipenda sana isèe. Big up
 
Kwani 'kafiri ' ni mtu gani mkuu? Maana labda mimi nalielewa tofauti hili neno.
Ustadhi mmoja rafiki yangu aliwahi kuniambia kuwa makafiri kimsingi ni wapagani yaani watu ambao hawaamini kuwa kuna Mungu/Allah na wanaabudu vitu vingine zaidi ya Mungu yule Muumba vyote. Kwa msingi huu hata Wakristo sisi si makafiri kwa sababu nasi tunaamini katika Mungu japo pengine Mungu wetu Anaweza kuwa tofauti kidogo na Allah wa Kiislamu.

Katika matumizi ya sasa, na pengine kutokana na Waislamu wenye misimamo mikali, mtu yeyote ambaye siyo Mwislamu (haijalishi kama ni Mkristu ama la) anachukuliwa kuwa ni kafiri tu. Hata hapa JF kwenye mijadala mingi Wakristo huishia kuitwa Wagalatia na/au makafiri. Sijui dhana ipi ni sahihi.

Nina marafiki zangu Waislamu na wao hunikataza kata kata kuwa nisijiite kafiri japo huwa sielewi ni kwa nini. Pengine wewe na rafiki yangu Zamiluni Zamiluni hapo juu mnaweza kunifafanulia vizuri.
 
NYIE MKIJA HOME KWANGU MTAKUFA NJAA......Nachinja mwenyewe.
 
Uko sahihi mkuu. Hasa kwenye paragraph yko ya mwisho. Sidhani kama ni sahihi kujiita kafir wakati maana halisi ni mtu asiye muamini (muumini ) kwa mungu. Otherwise iwe km ulivyonena kuwa itokee tunaabudu miungu tofauti.
Mimi ni Mkatoliki pure japo huwa napenda kujifunza na mlengo mwingine tofauti na wa kwangu.
 
Acha uongo wewe, ili nyama iwe halal ni kusomwewa jina la Mwenyezi Mungu, hata mkiristo akichinja kwa kutaja jina la Mwenyezi Mungu hiyo nyama inakuwa halal
Can we eat meat slaughtered by one who does not pray?
Shaykh ‘Abd al-‘Azeez ibn Baaz (may Allaah have mercy on him) was asked:

Is it permissible to eat meat slaughtered by one who deliberately does not pray, knowing that if he is told of that he will claim that he says the Shahaadah? What should we do if we cannot find any butcher who does pray?

He replied:

If a person does not pray, we should not eat meat slaughtered by him. This is the correct view, because the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Between a man and shirk and kufr there stands his giving up prayer.” Narrated by Muslim in his Saheeh from Jaabir ibn ‘Abd-Allaah al-Ansaari (may Allaah be pleased with him). And the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “The covenant that stands between us and them is prayer; whoever does not pray is a kaafir.” Narrated by Imam Ahmad and the four authors of Sunan with a saheeh isnaad from Buraydah ibn al-Husayb (may Allaah be pleased with him). And he said: “The head of the matter is Islam and its pillar is prayer.” Narrated by Imam Ahmad and al-Tirmidhi with a saheeh isnaad from Mu’aadh ibn Jabal (may Allaah be pleased with him). If the pillar of a thing falls, it cannot stand straight or remain; when the pillar falls, whatever rests on it falls too.

Thus it is known that the one who does not pray has no religion, so meat slaughtered by him cannot be eaten. If you are living in a land where there are no Muslim butchers, you should laughter your own meat and use your hands to do something that will be benefit to you, or look for a Muslim butcher to slaughter meat for you even in his own house. Praise be to Allaah, this is something easy so you should not be heedless about this matter.

You should advise this man to fear Allaah and pray. His suggestion that the Shahaadatayn is sufficient is a serious mistake, because the Shahaadatayn come with conditions that must be fulfilled, as the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “I have been ordered to fight the people until they bear witness that there is no god except Allaah and that I am the Messenger of Allaah, and establish regular prayer and pay zakaah. If they do that, then their blood and wealth are safe from me, except in cases dictated by Islamic law, and their reckoning will be with Allaah.” Saheeh – agreed upon.

So prayer and zakaah are mentioned alongside the Shahaadatayn. According to another version: “I have been commanded to fight the people until they say Laa ilaaha ill-Allaah, and if they say Laa ilaaha ill-Allaah, then their blood and wealth are safe from me, except in cases dictated by Islamic law, and their reckoning will be with Allaah.” Prayer is one of these conditions and zakaah is one of these conditions.

What the believer must do is fear Allaah, and everyone who claims to be a Muslim must fear Allaah and offer the five prayers regularly, for prayer is the foundation of Islam and it is the greatest of the five pillars of Islam after the Shahaadatayn. Whoever neglects it neglects his religious commitment, and whoever does not pray has left the faith. We ask Allaah to keep us safe and sound.

This is the truth and this is what is correct. Some of the scholars said that such a person is not a kaafir in the sense of major kufr, rather his kufr is minor kufr, and he is a sinner who has committed a grave sin, one that is worse than adultery, worse than stealing, worse than drinking alcohol. But he is not a kaafir in the sense of major kufr unless he denies that prayer is obligatory. This is the view of a number of scholars. But the correct view is that which is indicated by the words of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), which is that such a person is a kaafir in the sense of major kufr, as stated in the ahaadeeth quoted above, because he has neglected the pillar or foundation of Islam which is prayer.

We should not take this matter lightly. ‘Abd-Allaah ibn Shaqeeq al-‘Aqeeli, the great Taabi’i (may Allaah have mercy on him) said: “The companions of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) did not regard the omission of anything as being kufr, except in the case of prayer.”

And he mentioned that the Sahaabah were unanimously agreed that the one who did not pray was a kaafir in their view. We ask Allaah to keep us safe and sound.

So we must be careful, and adhere to this important obligation and not take the matter lightly if someone does not pray. We should not eat meat slaughtered by him, or invite him to any feasts, or accept his invitations. Rather he should be shunned until he repents to Allaah and starts to pray. We ask Allaah to guide us all. End quote.

Majmoo’ Fataawa al-Shaykh Ibn Baaz, 10/274-276
 
Kafiri mimi nalichukulia kuwa ni neno/tusi la kawaida tu. Pengine unaweza kutoa ufafanuzi kidogo katika comment yangu hapo juu kuhusu maana hasa ya hili neno. Asante mkuu.
Kiimani, 'kafir' ni unbeliver. So it depends ni mungu yupi anayeabudiwa.
 
Hata mwanamke wa kiislamu anaruhusiwa kuolewa na mwanume wa kiyahudi au kikiristo, watu wana complicate too. Soma Quran 2:221
Pitia hapa chini aya hiyo uliyoitaja ambayo pia ndio inakataza jambo hilo na nimeambatanisha na ufahamu wa wanazuoni ktk jambo hilo:

It is not permissible for a Muslim woman to marry a non-Muslim from any other religion, whether from among the Jews, Christians, Magians, communists, an idol-worshippers, etc.

The evidence for that is the verse in which Allaah says (interpretation of the meaning):

“And give not (your daughters) in marriage to Al‑Mushrikoon till they believe (in Allaah Alone) and verily, a believing slave is better than a (free) Mushrik (idolater), even though he pleases you. Those (Al-Mushrikoon) invite you to the Fire, but Allaah invites (you) to Paradise and forgiveness by His Leave, and makes His Ayaat (proofs, evidences, verses, lessons, signs, revelations, etc.) clear to mankind that they may remember”

[al-Baqarah 2:221]

Imam al-Tabari said:

What is said concerning the interpretation of the words “And give not (your daughters) in marriage to Al‑Mushrikoon till they believe (in Allaah Alone) and verily, a believing slave is better than a (free) Mushrik (idolater), even though he pleases you” is that what Allaah meant by that is that Allaah has forbidden the believing women from marrying to a mushrik, no matter what kind of shirk he believes in. So, O believers, do not give your daughters in marriage to them, for that is forbidden to you. For you to give them in marriage to a believing slave who believes in Allaah and His Messenger and that which he brought from Allaah is better for you than to give them in marriage to a free mushrik even if he is of noble descent and honourable origins, even if you like his descent and background…

It was narrated that Qutaadah and al-Zuhri said, concerning the phrase “And give not (your daughters) in marriage to Al‑Mushrikoon”, It is not permissible for you to give them in marriage to a Jew or a Christian or a mushrik who is not a follower of your religion. (Tafseer al-Qurtubi, 2/379).
 
Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Nimependa sana jibu lako kwani jirani zangu ni waislam ili niwakaribishe lazima wachinje wao na tunaishi vizuri tu
 
Hiyo haipo, inaaply kwa wote na sio kwa wanaume tu . Soma Quran 2:221 utaelewa, tumekatazwa kuoa au kuolewa na washirikina. Haya mambo ya mamlaka hayajaainishwa kwenye Quran linapokuja suala la kuoa au kuolewa na asiyekuwa muislam.
Soma hiyo hapo 2:221 inasema hivi: Do not marry (you men) the ‘mushrikaat’ until they believe; for even a believing slave woman is better than a ‘mushrika’, even if you like her. And do not marry (you women) the ‘mushrikeen’ until they believe. A believing slave man is better than a mushrik, even if you like him. These invite to the fire, while God invites to Paradise and forgiveness, with His permission, and He clarifies His revelations for the people, that they may remember" 2:221
Usioe washirikina mpaka waamini, kwa sababu mwanamkemtumwa anayeamini ni bora kuliko asiye amini hata kama unampenda. Na msiolewe na wanaume washirikina mpaka waamini. Mwanume mtumwa anaye amini ni mbora kuliko mshirikina hata kama unampenda. Tumekatazwa kuoa au kuolewa na washirikina au makafiri na sio watu wa vitabu yaani wakiristo na waislam. Waliokataza ni maulamaa kwa sababu eti mwanaume ana nguvu kuliko mwanume. Lakini hawana base za maandiko.
Umekosea ndugu...
 
Pitia hapa chini aya hiyo uliyoitaja ambayo pia ndio inakataza jambo hilo na nimeambatanisha na ufahamu wa wanazuoni ktk jambo hilo:

It is not permissible for a Muslim woman to marry a non-Muslim from any other religion, whether from among the Jews, Christians, Magians, communists, an idol-worshippers, etc.

The evidence for that is the verse in which Allaah says (interpretation of the meaning):

“And give not (your daughters) in marriage to Al‑Mushrikoon till they believe (in Allaah Alone) and verily, a believing slave is better than a (free) Mushrik (idolater), even though he pleases you. Those (Al-Mushrikoon) invite you to the Fire, but Allaah invites (you) to Paradise and forgiveness by His Leave, and makes His Ayaat (proofs, evidences, verses, lessons, signs, revelations, etc.) clear to mankind that they may remember”

[al-Baqarah 2:221]

Imam al-Tabari said:

What is said concerning the interpretation of the words “And give not (your daughters) in marriage to Al‑Mushrikoon till they believe (in Allaah Alone) and verily, a believing slave is better than a (free) Mushrik (idolater), even though he pleases you” is that what Allaah meant by that is that Allaah has forbidden the believing women from marrying to a mushrik, no matter what kind of shirk he believes in. So, O believers, do not give your daughters in marriage to them, for that is forbidden to you. For you to give them in marriage to a believing slave who believes in Allaah and His Messenger and that which he brought from Allaah is better for you than to give them in marriage to a free mushrik even if he is of noble descent and honourable origins, even if you like his descent and background…

It was narrated that Qutaadah and al-Zuhri said, concerning the phrase “And give not (your daughters) in marriage to Al‑Mushrikoon”, It is not permissible for you to give them in marriage to a Jew or a Christian or a mushrik who is not a follower of your religion. (Tafseer al-Qurtubi, 2/379).
Unachanganya watu wewe
 
Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Watu kama nyie ni wa muhim sana katika hii jamii ya sasa, nahisi mtakuwa wachache sana, hongera sana mkuu kwa jibu zuri
 
Soma Quran acha uvivu, aya iko very clear wewe unamtafuta shekh ambaye si ajabu hata hiyo aya haijui zaidi ya kukuletea hadithi za maulamaa hapa. Soma Quran mzee ili usije ukapotoka
Qurani yahitaji kuielewa namna ambavyo Allah alivyokusudia. Ndio maana pamoja na kuwa ilishuka kwa lugha ya kiarabu na masahaba walikuwa weledi wa lugha hiyo lakini mtume alikuwa akiwafundisha na kuwatafsiria maana kusudiwa isije kila mmoja akawa na ufahamu Wake tofauti. So maulamaa wa haki wana nafasi kubwa ktk kutujuza maana kusudiwa ya aya/qur-ani, wao kwetu wana daraja kama ya nyota ktk kumsaidia msafiri kujua direction.
 
labda ngoja nikwambie kitu ,mh Mimi Quran nimekaa chini na nikasoma situmii Google mh.,Mara nyingi haya inaposhuka mtume uitolea ufafanuzi ili iweze kueleweka na ,waislam wote
Kweli kabisa, aya zote ziliposhuka mtume alikuwa akiwafundisha maana masahaba ili kuepuka ufahamu tofauti miongoni mwao, sikwambii cc waswahili sasa tukijaribu kuja na maana zetu ktk lugha iliyojitosheleza ya kiarabu...TUTAPOTEA
 
Back
Top Bottom