Huko masjid wanalipia hayo mafunzo au unamaaanisha nini mkuu?
Hujiulizi nani huwa anachinja kitikitimoto hatuchinji ila tunaua kwa kupiga shoka kichwani
Sijawahi kuwaza.Fika mwenyewe uone
Baba wa mipaka si mtu wa mchezo mchezoNamsubiri kwa shauku yote alete hizo methali zlizoziskia vijiweni na sio aya kwa sababu aya hiyo haipo
Hujiulizi nani huwa anachinja kitimoto??
Mola wenu na Mungu kuna utofauti wowote, au wenu anahusika zaidi na kitengo cha uchinjaji? Mimi nachinja mwenyewe, hats ukichinja we we hainiathiri chochote, unaweza kunipa madhara ya kula nyama isiyochinjwa kwa jina la Mola wako?Tatizo siyo Kuchinja , Tatizo unachinja kwa ajili na kusudio lipi , China kwa Jina la Mola wetu ???
Mkuu ukinialika nitaishia kula pilau na mlenda.Mola wenu na Mungu kuna utofauti wowote, au wenu anahusika zaidi na kitengo cha uchinjaji? Mimi nachinja mwenyewe, hats ukichinja we we hainiathiri chochote, unaweza kunipa madhara ya kula nyama isiyochinjwa kwa jina la Mola wako?
Mkuu usihofu, kwenye mshuko nakuita unachinja wewe, sisi sote ni ndugu, hizi dini tumeletewa haziwezi kuvunja uhusiano wetu.Mkuu ukinialika nitaishia kula pilau na mlenda.
Hakuna aya kama hiyoWakati wa mgogoro wa kuchinja kule mwanza tungu zetu waislam waliulizwa watoe iyo aya kutoka kwenye quaran inayozuia wa kristo kuchinja nasikia ikashindikana japo sina uhukakika na hiyo habari, hebu mwenye aya atupatie.
chaumbile imulungu ni cha kumemena
kinacho takiwa ni Shukrani kwa Mungu wetu 
Mkuu lazima nitie timu mboka krismasi hii,walwa lisikosekane tu, si unajua tena..ila mkuu mimi ninakawaida walwa likikolea huwa naanza kuimba univumilie tu mkuu.Mkuu usihofu, kwenye mshuko nakuita unachinja wewe, sisi sote ni ndugu, hizi dini tumeletewa haziwezi kuvunja uhusiano wetu.
Sisi tunaamini katika MOLA , Mungu Mmoja asiyekuwa na Mshirika hajazaa wala Hajazaliwa. Muumba mbingu na Dunia na vilivyopo ndani Yake. Kama na wewe unaamini katika hili ni Ruksa Kuchinja ilimuradi kabla ya Kuchinja uchinje kwa Kumtaja yeye na Kumkusudia yeye MOLA WETU. ! !Mola wenu na Mungu kuna utofauti wowote, au wenu anahusika zaidi na kitengo cha uchinjaji? Mimi nachinja mwenyewe, hats ukichinja we we hainiathiri chochote, unaweza kunipa madhara ya kula nyama isiyochinjwa kwa jina la Mola wako?
Muislamu karuhusiwa kumuoaWalii anakua ni nani? Pia samahani mkuu mbona huwa kuna kukinzana kwa wanazuoni juu ya hili. Kuna wengine wanasema hairuhusiwi kumuona asiye muislam na vice versa. Imekaa vp hiyo?