Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Nauliza haya.mambo.bado yapo??


Maana juz kati kuna.hoter ilikuja nunua kuku kwa.jamaa.yangu,wailchinjwa pale na kubebwa


Imam kitu mbaya


Maana mnapata tabu sizizo na msingi,mm namshukuru mzee awazi shehee,anajua kabisa sina interest na dini,huwa ananiagiza kitimoto
 
Hongera kwa hekima zako
Waislam tunkul nao kuku kwenye masherehe. Kuku hao wanakuwa wamechijwa na wakristo n pengine mwnamke
Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
 
Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
mnyama hachinjwi yule bali anauwawa kikatili

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Mnachinja au mnapiga na shoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo unichinjie
d262397d3138f81d07ff83f8d21f142c.jpg
dogo nikuzawadie paya
e1081dc074624cf754a559f9aa2cfc64.jpg
hashua
877a2917f260cd7f1845fc8e5cba1b3a.jpg
na mapupu
821b89bb70eb1b8e881b3ed329681cf1.jpg
ukafaidi na family

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom