Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Safi sana umetumia busa
 
Nina kitimoto hapa home wa kuchinja weekend naomba Muislamu aje anisaidie tafadhari
 
sijaona hiyo aya tuloambiwa tuoeane na watu wa vitabu vyengine...ntakutafuta inbox nikiupata ushahidi kuna shekkh wang naenda kumfata anipe aya coz siikumbuk sura gan
Soma Quran acha uvivu, aya iko very clear wewe unamtafuta shekh ambaye si ajabu hata hiyo aya haijui zaidi ya kukuletea hadithi za maulamaa hapa. Soma Quran mzee ili usije ukapotoka
 
we amini ila mm nimekurekebisha ukaisome vizur hy aya na ww si kuropoka hovyo tu..we hujui kuna wangap hhawaijui dini vizur humu???

Ni jukumu lao kusoma kama tulivyoagizwa na Mwenyezi Mungu, hakuna excuse katika hilo.
 
Soma Quran acha uvivu, aya iko very clear wewe unamtafuta shekh ambaye si ajabu hata hiyo aya haijui zaidi ya kukuletea hadithi za maulamaa hapa. Soma Quran mzee ili usije ukapotoka
hyo aya sijaona ninachomaanisha bali imeongelea kitu kengine na quran ilivyo inaweza ikihadithia au kuongelea kitu then ikaacha ikapelekwa sura za mbele nd maana nakwambioa hv we subir
 
Iko very clear kweye Quran kwamba inaruhusiwa kuoa au kuolewa na watu wa vitabu (yaani wakristo na wayahudi) maana wanamuamini Mwenyezi Mungu, tuliaharamishwa na wapagani maana hawamuamini Mwenyezi Mungu. Unapo oa au kuolewa unabaki na dini yako na sio kuwasilimisha mwenzio anaruhusiwa kubaki kwenye dini yake.

Mwenyezi Mungu anajua kabisa kutakuwa na muingiliano wa watu tofauti tofauti, hivyo mtu anaweza kuvutiwa na mkristo au myahudi. Sisi wanadamu kwa sababu ya ubinafsi au mawazo mgando ndio tunakataza ilihali Mwenyezi Mungu amahalalisha.
we acha kuhalarisha vitu ambavyo hauna ushaidi navyo, mara nyingi aya ufafanuliwa na hadith na hadith hiyo inaweza kuwa ni ile iloshuka moja kwa moja kwa ALLAH ama na mtume, kutokana na maelezo ama maswali ya ufafanuzi ,

Ipo hivi ni kweli nwenyeezi mungu aliruhusu ndoa za walopewa kitabu, ila kukawa na condition wanye kitabu hawa ni wale tu walio amini, wenye itikadi sahihi ya dini , na wasioupinga uislam , kwa kipindi kile wakikuwapo watu wa injili na tourati na wale wa zaburi pia maana hawa walikuwa wanaamini, kuwa qurani ni kitabu cha mwenyezi mungu... kama waislam wanavyo amin vyao,

kwa sasa ndoa kama hizi haziwezekani ama ni ngumu kwa kuwa , wakiristo ama wanasala , wenyewe hawa amin uislam na wala hawaamini katika Allah, mtume Muhammad(S.A.W) na Quran hivyo basi wamekafirishwa, kwa mantiki hiyo basi katu hakuna ndoa kati ya muislam na mkiristo asiye amini katika uislam , Quran na mtume(S.A.W)

embu jaribu kujifunza dini kaa chini usome vizuri , Tahhuhidi na Tajwid pia dini aisomwi kwa kugoogle aya inasomwa darasani kwa kupiga goti kweli ....pia ukiwa na dauti usiulize google uliza wanazuoni wako wengi sana, kwa kuwa dini imehifadhiwa kwenye vifua.
 
Hiyo haipo, inaaply kwa wote na sio kwa wanaume tu . Soma Quran 2:221 utaelewa, tumekatazwa kuoa au kuolewa na washirikina. Haya mambo ya mamlaka hayajaainishwa kwenye Quran linapokuja suala la kuoa au kuolewa na asiyekuwa muislam.
Mkuu ahsante kwa maelezo ya quote za juu. Nimeingia mtandaoni nimesoma na kuona aya zinazohalalisha ndoa baina ya mme muislam na mke mkristo/myahudi. Lakini wakati huohuo ufafanuzi ukatolewa kwamba kwa mwanamke wa kiislam si ruhusa kuolewa na myahudi/mkristo. Vp hii? Maana imenibidi kuuliza baada ya kuona kuna mdau amekukosoa juu ya hilo
 
akikujibu nitag
 
we acha kuhalarisha vitu ambavyo hauna ushaidi navyo, mara nyingi aya ufafanuliwa na hadith na hadith hiyo inaweza kuwa ni ile iloshuka moja kwa moja kwa ALLAH ama na mtume, kutokana na maelezo ama maswali ya ufafanuzi ,

Ipo hivi ni kweli nwenyeezi mungu aliruhusu ndoa za walopewa kitabu, ila kukawa na condition wanye kitabu hawa ni wale tu walio amini, wenye itikadi sahihi ya dini , na wasioupinga uislam , kwa kipindi kile wakikuwapo watu wa injili na tourati na wale wa zaburi pia maana hawa walikuwa wanaamini, kuwa qurani ni kitabu cha mwenyezi mungu... kama waislam wanavyo amin vyao,

kwa sasa ndoa kama hizi haziwezekani ama ni ngumu kwa kuwa , wakiristo ama wanasala , wenyewe hawa amin uislam na wala hawaamini katika Allah, mtume Muhammad(S.A.W) na Quran hivyo basi wamekafirishwa, kwa mantiki hiyo basi katu hakuna ndoa kati ya muislam na mkiristo asiye amini katika uislam , Quran na mtume(S.A.W)
embu jaribu kujifunza dini kaa chini usome vizuri , Tahhuhidi na Tajwid pia dini aisomwi kwa kugoogle aya inasomwa darasani kwa kupiga goti kweli ....pia ukiwa na dauti usiulize google uliza wanazuoni wako wengi sana, kwa kuwa dini imehifadhiwa kwenye vifua.

Soma Quran uelewe ndugu yangu, na huwezi kufafanua aya kwa Quran kwa kutumia hadithi. Soma hizi sura

Quran 6:38 inasema kuwa hatukuacha kitu chochote katika hiki kitabu (Quran)
6: 114: Je mnatafuta hakimu mwingine Zaidi ya Mwenyezi Mungu, hali amekuteeremshieni hiki kitabu kilichojitosheleza? Sio google nimekuwekea aya hapo soma na uelewe.
 
we acha kuhalarisha vitu ambavyo hauna ushaidi navyo, mara nyingi aya ufafanuliwa na hadith na hadith hiyo inaweza kuwa ni ile iloshuka moja kwa moja kwa ALLAH ama na mtume, kutokana na maelezo ama maswali ya ufafanuzi ,

Ipo hivi ni kweli nwenyeezi mungu aliruhusu ndoa za walopewa kitabu, ila kukawa na condition wanye kitabu hawa ni wale tu walio amini, wenye itikadi sahihi ya dini , na wasioupinga uislam , kwa kipindi kile wakikuwapo watu wa injili na tourati na wale wa zaburi pia maana hawa walikuwa wanaamini, kuwa qurani ni kitabu cha mwenyezi mungu... kama waislam wanavyo amin vyao,

kwa sasa ndoa kama hizi haziwezekani ama ni ngumu kwa kuwa , wakiristo ama wanasala , wenyewe hawa amin uislam na wala hawaamini katika Allah, mtume Muhammad(S.A.W) na Quran hivyo basi wamekafirishwa, kwa mantiki hiyo basi katu hakuna ndoa kati ya muislam na mkiristo asiye amini katika uislam , Quran na mtume(S.A.W)

embu jaribu kujifunza dini kaa chini usome vizuri , Tahhuhidi na Tajwid pia dini aisomwi kwa kugoogle aya inasomwa darasani kwa kupiga goti kweli ....pia ukiwa na dauti usiulize google uliza wanazuoni wako wengi sana, kwa kuwa dini imehifadhiwa kwenye vifua.
Una uhakika kama hawapo wakiristo au wayahudi ambao hawaamini kuwa Muhamad ni mtume wa Mwenyezi Mungu. Wapo wanaojua ukweli na hao mara nyingi ndio wanaokubali kuoa au kuolewa na umma wa kiislam.
 
mi nimetoa fact mwanzo kuwa kama ikitokea mkristo akamuoa muislamu ujue hapo dini ya huyu muislam i mean ukoo ushapotea wote utaenda kwa mume so lakin pia huyu mama nae atafika kipind atabadilisha mtazamo wewe mwenyew unajua mwanamke sio wa kumuamin nd maana katika uislam kichwa kinachofaa kuendesha kitu ni mwanaume..ila sizan kama nimekosea
 
Back
Top Bottom