Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Last edited by a moderator:
Kumbe unavaaga Shanga Madame B? Im tempted.......
Kwa nini hutaki na sisi tunufaike na hilo somo la Shanga?
mambo ya nafsa yale, kiuno teketeke, hata ningenasana na yule wa temeke jana! Ningetoka haraka sana jinsi amabvyo ningekizungusha mpaka mwangio usinyae, chezeiya kungwi Zinduna weye?
Nakuja pm, murembo, tuliza ball!
Wewe nitakuita chumbani kwangu ili nikuoneshe in Praktiko na Thiori.
Lini sasa utaniita?
Lini una nafasi?
Asprin Shikamoo
Babu jioni naomba tukutane kwa mishikaki weekend ndo vileee inaanza
Location ni Brajec ya Savei. Muda ni kuanzia saa kumi jioni.
Mamito gfsonwin kwanza kabla ya yote napenda nijue uwepo wako humu ChitChat maana ile ondokaondoka ya siku ile sikuwa na imani nayo kbs.
Hv Mtambuzi alilala wapi,maana muda ule Mama Ngina alishatia komeo mlango.
Hv Jiwe Linaloishi nae alilala wapi siku ile,maana shati lile na ile DOMPO ilikuwa balaa iwapo angeenda kwa mkewe plus na ile Lipstic pale kifuani na Love bite pale kati.
Vp umepata mzigo tuliokutuma?
Afu gfsonwin nakumind kinyama,
watu twataka kumfundisha Mentor maujanja ya Dunia,we unaweka kauzibe,kwani ye mtoto mdogo?
cacico, snowhite namimi tulishaandaa nyonga pale na kigoma cha Baikoko.
Sema Eversmilin Gal ana aibu mno jamani,utafikiri bado bikra!!
figganigga na mathematics walikuta karamu ilishaliwa siku ile,japo Nicas Mtei nae ni Sitaki-Nataka,ila yote kwa yote lile chimbo......Balaa....!!!
Maraba. Umeshaomba ruhusa? cacico hawajambo?
you gays am not around napenda sana niwepo ila ndo hivyo. nakomaa na nyanga si unajua shule za uzeeni? tena ambazo ni applied?
jamani Madame B, snowhite, cacico, Nicas Mtei Mtambuzi Watu 8 nawaulizeni nani kawapeni ruhusa ya kukutana brajeck wakati mm sina taarifa?
Mentor wewe kabisaaaa usiwaze hata kusogelea kuona brajeck pakoje, namjua msiri wangu cacico na kungwi mwenzangu snowhite na Madame B watakukuza bureee wakati bado bikra lol!
Asprin wewe pia hutakiwi manake kibali mke mkubwa amekataza kisa umezidi sana ulevi so ukitia timu naharibu.
eversmilinggal wewe usije manake baba naniiii mmmmmmmmmmmmmh! Mtambuzi na Nicas Mtei hawa hawafai manake wanakazi ya kuwanunulia watu valuer na wine halafu wao wanakunywa maji kusubiria matokeo lolest! chimbo palikuwa balaa manakie hadi gari inaonekana kama beseni la kunawia kazi ipo. Jiwe Linaloishi wewe pia usiende kichanga kinahitaj kukumbatiwa wife kachoka kila siku unarudi usiku lol! Remmy wewe ndo kabisaaaaa unakaa mbali sana na jiji wasikudanganye. ronnm mwanangu sijakufundisha haya aso wewe na jeneneke sitak kuskia mlikwenda. King'asti nahofia ukipiga cha arusha ukaeka na valuer na wine watu watakula vichwa wewe na Kongosho msikaribie kabisa.
wengine ambao mmekubuhu kwa ushangingi na ushangingo wa jiji hili siwawez lol, manake kunqa shostito anaitwa lara 1 pc huyu ni balaa mama weeeeeeeeeeeeeee!
nani tena ambaye haonekani? jamani jamani Mentor bado mdogo mkimkatia viuno na mashanga yenu hayo jamani mtamuua lol! shoga nikwambie nina shanga nimezipata za kufa mtu hizi Tz hamjaziona nikikuonyesha kiuno lazimna upagawe lolest usiniulize nilipozitoa.
jamani Madame B, snowhite, cacico, Nicas Mtei Mtambuzi Watu 8 nawaulizeni nani kawapeni ruhusa ya kukutana brajeck wakati mm sina taarifa?
kwanini mmenificha? sasa mwajua adhabu yake mnisubiri hadi nirudi toka machimbo nilipo huku ambako nala kitimoto ya mchuzi, na kondoo wa supu aaaggggggghhhhhhhhhhhhrrrrrrrrrrr! (msitapike tu). nawakusanyia nondo na nijapo mtanikomajeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ILANI
wafuatao hawaruhusiwi kukutana brajeck siku mlio panga Kaizer ma swtlo, wewe nakudesignia namna nyepesi ya kuziba pancha siku hizi watu tunatumia teknolojia ya nanomedicine na quantum dots zinahusika sana hapa kwa ajili ya diagnostic na therapy na pia ninakudizainia pheroids ambazo zitaweza kubeba lysosome ambazo zina dawa na kwenda kwenye target tu hivyo kuongeza bioavailability, na kupunguza slow metabolism ukilinganisha na free medicine. umeona hii kazi ilivyo usinipe presha sasa tulia hadi nirudi.
Mentor wewe kabisaaaa usiwaze hata kusogelea kuona brajeck pakoje, namjua msiri wangu cacico na kungwi mwenzangu snowhite na Madame B watakukuza bureee wakati bado bikra lol!
Asprin wewe pia hutakiwi manake kibali mke mkubwa amekataza kisa umezidi sana ulevi so ukitia timu naharibu.
eversmilinggal wewe usije manake baba naniiii mmmmmmmmmmmmmh! Mtambuzi na Nicas Mtei hawa hawafai manake wanakazi ya kuwanunulia watu valuer na wine halafu wao wanakunywa maji kusubiria matokeo lolest! chimbo palikuwa balaa manakie hadi gari inaonekana kama beseni la kunawia kazi ipo. Jiwe Linaloishi wewe pia usiende kichanga kinahitaj kukumbatiwa wife kachoka kila siku unarudi usiku lol! Remmy wewe ndo kabisaaaaa unakaa mbali sana na jiji wasikudanganye. ronnm mwanangu sijakufundisha haya aso wewe na jeneneke sitak kuskia mlikwenda. King'asti nahofia ukipiga cha arusha ukaeka na valuer na wine watu watakula vichwa wewe na Kongosho msikaribie kabisa.
wengine ambao mmekubuhu kwa ushangingi na ushangingo wa jiji hili siwawez lol, manake kunqa shostito anaitwa lara 1 pc huyu ni balaa mama weeeeeeeeeeeeeee!
Marahaba mwaego. Unapakumbuka pale tulipokaa siku ile? Pale si mbali na Brajec...... Utakuja? Bado nna mahaba yako ujue.....
Afu ole wako unionee aibu tena, ntakutia bakora!