Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Hivi dar members hatuwezi kukutana???

uwwwiiiiiiiiiiiiiiiii Mentor nimeshampigia simu kabisaaa asijaribu lol! halafu wewe Madame B unanikadiria padogo enh! hizi gia zake ndefu ziko 16 high na low za kuvuta na tela chezeya gwiji weye................... ila sasa chimbo liwe zuri linataka na supu hasa ya mbuzi ile nzito mbona ni balaa.
Nicas Mtei usijali nirudipo nitafanya suprise ya nguvu but wa ukweli eversmiling gal chonde asije ninazo sababu nyuma yake.

Weweeeee.....!!!
Mkwara huo shosti.
Yani ungejaribu kukanyaga mafuta tu,tungewakuta mmepaki pale chini ya daraja la Manzese.

Afu kuna mtu mmoja humu yuko kimya mpaka leo,cjui imekuwaje jamani.

Mentor tunataka tumlee wenyewe,makungwi wa JF.
Na tutamshawishi mpaka atie maguu.

Halafu vp zile Dildo zetu usisahau,manake wanaume wa .COM ni pasua vichwa aisee.

Eversmilin Gal yuko Kwenye Kitchen Party Galla kule Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Tuambiane mkishapanga vizuri wengine huenda tukazamia.....
 
oukei mdada. Nitawasiliana na Eversmilin Gal ili aje. Itifaki itazngatiwa pia usalama utakuwepo kama siku ile. Mentor kasema kuwa kesho ataenda ukweni kwake kumalizi posa..

Halafu gfsonwin kumbuka ahadi yako ulyonipatia. Ahadi ni ......?
ahadi ni deni mm usijali ngoja nione nakutumia kwa njia gani nikimudu DHL sawa nisipomudu hadi mnipate mtu anayekuja huko dar. Mentor anaenda ukweli bana kaniletea kawifi kazuri ila sasa ni distance relationship sijui wataimudu?? but nampenda sana mdogo wangu namwombea huyu bibie asimuumize kwa llolote lile in his life.he is still very innocent he doesn't need to be tortured.
 
Last edited by a moderator:
Location ni Brajec ya Savei. Muda ni kuanzia saa kumi jioni.

Poa poa Arifu..
Ukiona Jamaa Vere Tolu, Baunsa Baunsa hivi kapiga Pensi nyanya na Kibode Taiti, halafu ana Vigimbi vya kiushkaji, chini ana Araiyoo, basi ndiyo mimi..
 
Weweeeee.....!!!
Mkwara huo shosti.
Yani ungejaribu kukanyaga mafuta tu,tungewakuta mmepaki pale chini ya daraja la Manzese.

Afu kuna mtu mmoja humu yuko kimya mpaka leo,cjui imekuwaje jamani.

Mentor tunataka tumlee wenyewe,makungwi wa JF.
Na tutamshawishi mpaka atie maguu.

Halafu vp zile Dildo zetu usisahau,manake wanaume wa .COM ni pasua vichwa aisee.

Eversmilin Gal yuko Kwenye Kitchen Party Galla kule Arusha.
nani tena ambaye haonekani? jamani jamani Mentor bado mdogo mkimkatia viuno na mashanga yenu hayo jamani mtamuua lol! shoga nikwambie nina shanga nimezipata za kufa mtu hizi Tz hamjaziona nikikuonyesha kiuno lazimna upagawe lolest usiniulize nilipozitoa.
 
Funguo za gari zlikuwa nzito sana siku ile..
 
Last edited by a moderator:
ahadi ni deni mm usijali ngoja nione nakutumia kwa njia gani nikimudu DHL sawa nisipomudu hadi mnipate mtu anayekuja huko dar. Mentor anaenda ukweli bana kaniletea kawifi kazuri ila sasa ni distance relationship sijui wataimudu?? but nampenda sana mdogo wangu namwombea huyu bibie asimuumize kwa llolote lile in his life.he is still very innocent he doesn't need to be tortured.

oukei. Am waiting 4 it jamani. Tumuombee Mentor na mwenzie wafaane. Mungu ndie muweza wa yote..
 
Last edited by a moderator:
nani tena ambaye haonekani? jamani jamani Mentor bado mdogo mkimkatia viuno na mashanga yenu hayo jamani mtamuua lol! shoga nikwambie nina shanga nimezipata za kufa mtu hizi Tz hamjaziona nikikuonyesha kiuno lazimna upagawe lolest usiniulize nilipozitoa.

hahahahaaaaa.....!!!
Mama weeee........!!!
Mentor ana udogo gani au kwa kuwa anakunywa Sprite?
We hukuliona lile pozi lake?
Kuna maeneo akifika anaitwa darling.
Afu Kile kiuno alichokuwa anakikata cacico balaa,baba wawili anafaudu....uwiii....

Shost hebu nitumie Picha through BBM nizione hzo shanga,maana kuna Buzi nimelipata ila linasema nikitaka nimteke nivae shanga.
Kuja PM bhana, si unajua akina Nicas Mtei, Katavi na TANMO watapata maujanja ya kuwapelekea wake zao hapa,maana mimacho imewatoka hapa.
 
kwendraaaaaaaaaaaa. Ntajie pin yako ya BBM.{utambe}
 
Last edited by a moderator:
Shost hebu nitumie Picha through BBM nizione hzo shanga,maana kuna Buzi nimelipata ila linasema nikitaka nimteke nivae shanga.
Kuja PM bhana, si unajua akina Nicas Mtei, Katavi na TANMO watapata maujanja ya kuwapelekea wake zao hapa,maana mimacho imewatoka hapa.

Kumbe unavaaga Shanga Madame B? Im tempted.......
Kwa nini hutaki na sisi tunufaike na hilo somo la Shanga?
 
hahahahaaaaa.....!!!
Mama weeee........!!!
mentor ana udogo gani au kwa kuwa anakunywa sprite?
We hukuliona lile pozi lake?
Kuna maeneo akifika anaitwa darling.
Afu kile kiuno alichokuwa anakikata cacico balaa,baba wawili anafaudu....uwiii....

Shost hebu nitumie picha through bbm nizione hzo shanga,maana kuna buzi nimelipata ila linasema nikitaka nimteke nivae shanga.
Kuja pm bhana, si unajua akina nicas mtei, katavi na tanmo watapata maujanja ya kuwapelekea wake zao hapa,maana mimacho imewatoka hapa.
mambo ya nafsa yale, kiuno teketeke, hata ningenasana na yule wa temeke jana! Ningetoka haraka sana jinsi amabvyo ningekizungusha mpaka mwangio usinyae, chezeiya kungwi Zinduna weye?
Nakuja pm, murembo, tuliza ball!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom