stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
Mwaka ndio hivyoo unaisha na mimi wakati nipo A-town nilishindwa kukutana na wenzangu kutokana na sababu zilizokua njee ya uwezo wangu. Lakini juzi niliona wivu baada ya kuona siredi ya wana wa Jiji la Arusha wamepanga mpangoo. Sasa mimi nauliza kwa wana JF wa BONGO DSM hivi kweli hakuna tukio la kufunga mwaka??