Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Hivi dar members hatuwezi kukutana???

jamani Madame B, snowhite, cacico, Nicas Mtei Mtambuzi Watu 8 nawaulizeni nani kawapeni ruhusa ya kukutana brajeck wakati mm sina taarifa?

kwanini mmenificha? sasa mwajua adhabu yake mnisubiri hadi nirudi toka machimbo nilipo huku ambako nala kitimoto ya mchuzi, na kondoo wa supu aaaggggggghhhhhhhhhhhhrrrrrrrrrrr! (msitapike tu). nawakusanyia nondo na nijapo mtanikomajeeeeeeeeeeeeeeeeee.

ILANI
wafuatao hawaruhusiwi kukutana brajeck siku mlio panga Kaizer ma swtlo, wewe nakudesignia namna nyepesi ya kuziba pancha siku hizi watu tunatumia teknolojia ya nanomedicine na quantum dots zinahusika sana hapa kwa ajili ya diagnostic na therapy na pia ninakudizainia pheroids ambazo zitaweza kubeba lysosome ambazo zina dawa na kwenda kwenye target tu hivyo kuongeza bioavailability, na kupunguza slow metabolism ukilinganisha na free medicine. umeona hii kazi ilivyo usinipe presha sasa tulia hadi nirudi.
Mentor wewe kabisaaaa usiwaze hata kusogelea kuona brajeck pakoje, namjua msiri wangu cacico na kungwi mwenzangu snowhite na Madame B watakukuza bureee wakati bado bikra lol!
Asprin wewe pia hutakiwi manake kibali mke mkubwa amekataza kisa umezidi sana ulevi so ukitia timu naharibu.
eversmilinggal wewe usije manake baba naniiii mmmmmmmmmmmmmh! Mtambuzi na Nicas Mtei hawa hawafai manake wanakazi ya kuwanunulia watu valuer na wine halafu wao wanakunywa maji kusubiria matokeo lolest! chimbo palikuwa balaa manakie hadi gari inaonekana kama beseni la kunawia kazi ipo. Jiwe Linaloishi wewe pia usiende kichanga kinahitaj kukumbatiwa wife kachoka kila siku unarudi usiku lol! Remmy wewe ndo kabisaaaaa unakaa mbali sana na jiji wasikudanganye. ronnm mwanangu sijakufundisha haya aso wewe na jeneneke sitak kuskia mlikwenda. King'asti nahofia ukipiga cha arusha ukaeka na valuer na wine watu watakula vichwa wewe na Kongosho msikaribie kabisa.

wengine ambao mmekubuhu kwa ushangingi na ushangingo wa jiji hili siwawez lol, manake kunqa shostito anaitwa lara 1 pc huyu ni balaa mama weeeeeeeeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
sijui kama unajua nimekumiss kiasi gani!nina mashaka sana na hili!sijui kwa kweli kama hili unalijua

gfsonwin ndo nini lakini!nimekumiss mpka macho yanauma
 
so do i my sweetheart. sitokusahau kamwe, and real mwambie cacico na Madame B, kwamba nawapenda sana sana nawaletea dildo kama walivyoagiza lol!
 
Nimekumiss sana mdada. Utakuwepo Brajec?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin ndo nini lakini!nimekumiss mpka macho yanauma

jamani my dia ndo maisha yalivyo sina jinsi but ngoja niwajibike nikirudi huko mtafurah. nawamiss sana na pia namis jamvi hili vibaya sana. huwez kuamin huku ni mwendo wa shule hadi saa 4 usiku hakuna hata muda wa kupumzika kama hivi nimeamka mapema sana ili tu niweze chungulia hapa nikirudi kwa darasa ndo basi tena.
 
nna BOOOOOOOOONGE LA JIUMBEA mwali!ahahahahhahahhahhahahhahhahahha akwambie nani nawe wapiga buku!ntamwambia mke mwenzangu wa sirini cacico,yani jiumbea lenyewe limeenda shule ati!
 
Last edited by a moderator:
Mamito gfsonwin kwanza kabla ya yote napenda nijue uwepo wako humu ChitChat maana ile ondokaondoka ya siku ile sikuwa na imani nayo kbs.
Hv Mtambuzi alilala wapi,maana muda ule Mama Ngina alishatia komeo mlango.
Hv Jiwe Linaloishi nae alilala wapi siku ile,maana shati lile na ile DOMPO ilikuwa balaa iwapo angeenda kwa mkewe plus na ile Lipstic pale kifuani na Love bite pale kati.
Vp umepata mzigo tuliokutuma?

Afu gfsonwin nakumind kinyama,
watu twataka kumfundisha Mentor maujanja ya Dunia,we unaweka kauzibe,kwani ye mtoto mdogo?

cacico, snowhite namimi tulishaandaa nyonga pale na kigoma cha Baikoko.
Sema Eversmilin Gal ana aibu mno jamani,utafikiri bado bikra!!
figganigga na mathematics walikuta karamu ilishaliwa siku ile,japo Nicas Mtei nae ni Sitaki-Nataka,ila yote kwa yote lile chimbo......Balaa....!!!
 
Last edited by a moderator:
TANMO nitakuwepo..... Nipeni Location na muda wa hayo makutano.
 
Hili la kukutana na wasiwasi nalo,humu jf huwa kuna criticsm za kutosha huyu organiser wa hi meeting anataka kuwadaka kama dagaa,hahaha..party na great thinkers wapi na wap?samahan lakn wakuu kama nimeingiza kenge kwenye swiming pool,teh teh
 
you gays am not around napenda sana niwepo ila ndo hivyo. nakomaa na nyanga si unajua shule za uzeeni? tena ambazo ni applied?

Dah! So sad. Nimekosa raha ghafla. Chimbo litapwaya bila uwepo wako.. Kwa nini umemzuia Eversmilin Gal acje wakati ulinzi utakuwepo? Mentor alitoa udhuru kuwa hatakuwepo.
 
Last edited by a moderator:
nna BOOOOOOOOONGE LA JIUMBEA mwali!ahahahahhahahhahhahahhahhahahha akwambie nani nawe wapiga buku!ntamwambia mke mwenzangu wa sirini cacico,yani jiumbea lenyewe limeenda shule ati!
khaaaa! nimegee shostito lolest! twende pm manake hata nikae ulaya miaka 800 asili siach mm tena?? nakusubiria bana nina dk 33 niondoke jf niende lab please fanya hima..............hhahahahahahahahaah! watu tukiomba umbea hadi goti tunapiga
 
Hili la kukutana na wasiwasi nalo,humu jf huwa kuna criticsm za kutosha huyu organiser wa hi meeting anataka kuwadaka kama dagaa,hahaha..party na great thinkers wapi na wap?samahan lakn wakuu kama nimeingiza kenge kwenye swiming pool,teh teh

Hii kitu haijapangwa na mtu mmoja.. Kama unaogopa kaa chonjo. Sio lazma ufike.. Understood?
 
Dah! So sad. Nimekosa raha ghafla. Chimbo litapwaya bila uwepo wako.. Kwa nini umemzuia Eversmilin Gal acje wakati ulinzi utakuwepo? Mentor alitoa udhuru kuwa hatakuwepo.

uwwwiiiiiiiiiiiiiiiii Mentor nimeshampigia simu kabisaaa asijaribu lol! halafu wewe Madame B unanikadiria padogo enh! hizi gia zake ndefu ziko 16 high na low za kuvuta na tela chezeya gwiji weye................... ila sasa chimbo liwe zuri linataka na supu hasa ya mbuzi ile nzito mbona ni balaa.
Nicas Mtei usijali nirudipo nitafanya suprise ya nguvu but wa ukweli eversmiling gal chonde asije ninazo sababu nyuma yake.
 
oukei mdada. Nitawasiliana na Eversmilin Gal ili aje. Itifaki itazngatiwa pia usalama utakuwepo kama siku ile. Mentor kasema kuwa kesho ataenda ukweni kwake kumalizi posa..

Halafu gfsonwin kumbuka ahadi yako ulyonipatia. Ahadi ni ......?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom