Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
..kijana utagandia uliko toka..
..duh usije muua kijana wa watu
..huna kazi ya kufanya kijana..?
Potezea.
Basi njoo wewe ufaidi.
..kijana utagandia uliko toka..
..duh usije muua kijana wa watu
..huna kazi ya kufanya kijana..?
unishtue kesho basi utakapokuwa unaelekea kibra!!! nitakimbiaje sasa kutoka chimbo?? salamu hizi zimfikie babu Mtambuzi popote alipo!mkuu kwema... hiyo shikamoo ishakufungia mlango... bora mimi sijaamkiwa
cacico mzima mdada.....
Lini sasa utaniita?
Lini una nafasi?
Hata sasa hivi
..viko vya kushare..lkn si...?Potezea.
Basi njoo wewe ufaidi.
mambo ya nafsa yale, kiuno teketeke, hata ningenasana na yule wa temeke jana! Ningetoka haraka sana jinsi amabvyo ningekizungusha mpaka mwangio usinyae, chezeiya kungwi Zinduna weye?
Nakuja pm, murembo, tuliza ball!
unishtue kesho basi utakapokuwa unaelekea kibra!!! nitakimbiaje sasa kutoka chimbo?? salamu hizi zimfikie babu Mtambuzi popote alipo!
ulilala ka katoto kifuani mwangu, shshshshsh hubby Asprin asisikie, lol!
utashinda tu, katika yeye akutiaye nguvu! Amen!hahahaha nilikuwa naweweseka kama napita na sembe ulaya airport ya beijing... Sirudii tena mwana wa adam asijeingia majaribuni....
nimefahamu kabla sijafamishwa, na wafahamuo ni wachache wenye fahamu kamili!poa ila naomba tuwe na escot tusijeishia njian........ Najua wajua kuwa najua unafahamu
amina my dada ooooo!kule znz twasema kila mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea......
utashinda tu, katika yeye akutiaye nguvu! Amen!
..aku.....mapenzi.
Ila unaweza ukashare.
..aku..
..we ushawahi..?
..huna kazi ya kufanya kijana..?