Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Last edited by a moderator:
Hhahaha mi nilipata hifadhi ya kisiasa kwa cacico..... ningerudi na yale madoa kama chui mama yoyoo angeyahamishia kwenye mwili wangu .
Na kesho urudie tena,takupaka tena Lipstic mpaka machoni afu mama yoyoo alete zengwe.
Nitafika kwenye saa mbili hivi lakini hamtanijua.
Kabla jogoo halijawika mara tatu ntakuwa nshasepa.
mkuu kwema... hiyo shikamoo ishakufungia mlango... bora mimi sijaamkiwa
cacico mzima mdada.....
Na kesho urudie tena,takupaka tena Lipstic mpaka machoni afu mama yoyoo alete zengwe.
visa ishagongwa, nasubiri kupack tu na kuchomoka! chezeiya mitoko weye?
chunga msinanasane, maana mumeo naskia kenda afghanistan asubuhi ya jana! cjui nani atategua tego!
Cjambo kaka-binamu, me sijambo kbs.
Navuta pumzi ya bure tu hapa Duniani.
Missng u too.
Shost bhana,
Mme wangu kasema atarudi mwakani,hivyo now niko free ndo mana nikamuagiza gfsonwin yale makitu ya vibration.
Afu cacico hebu nambie pale chimbo, Nicas Mtei aliyeyukaje?
Me nimegeuka huku,kurudi,sijamuona.
Oukei Dada-Binamu.. I hope kesho 2takuwa pa1
Usitake kufukua yasiyotakiwa hapa. Ishia hapohapo.
sasa ole wako usiniwekee order!mji utauona mchungu huu!nani tena ambaye haonekani? jamani jamani Mentor bado mdogo mkimkatia viuno na mashanga yenu hayo jamani mtamuua lol! shoga nikwambie nina shanga nimezipata za kufa mtu hizi Tz hamjaziona nikikuonyesha kiuno lazimna upagawe lolest usiniulize nilipozitoa.
..kijana utagandia uliko toka..Lini sasa utaniita?
..duh usije muua kijana wa watuLini una nafasi?
..huna kazi ya kufanya kijana..?Hata sasa hivi