Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Mabwe pande kuna pub inafaa je kwa hili mnasemaje?
 
......me nipeni oda ya kuwatafutia guest house mapemaaaaaa!!!!!!
But stevoh, Jumamosi hii wana wa jiji twakutana pale Brajec Survey,kama vp njoo tujumuike.

For real shem?? au maneno ya chit chat tu haya...
 
Last edited by a moderator:

Kweli tena shemu langu watu8 tumepanga tukutane pale Brajec na tujuane kabisa kabisa.
Ila kama utakuja toa mchango wako mapema kupitia namba yangu kwa TigoPesa,nikupe?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha sio ndani ya nyumba afu nasogea nakula vitasa we uko pembeni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ahahahhaahha punguza uoga kijana!ua zuri wingi wa nyuki baba!oh
 
Kweli tena shemu langu watu8 tumepanga tukutane pale Brajec na tujuane kabisa kabisa.
Ila kama utakuja toa mchango wako mapema kupitia namba yangu kwa TigoPesa,nikupe?

muda plz niPM ili nijue kama nitakua na nafasi au lah...mwenzio hadi j'mosi huwa nalitumikia Taifa, kama itakua ni mida ya jioni naweza pita ili nikuone wewe na huyu mtani wangu snowhite.
 
Last edited by a moderator:
muda plz niPM ili nijue kama nitakua na nafasi au lah...mwenzio hadi j'mosi huwa nalitumikia Taifa, kama itakua ni mida ya jioni naweza pita ili nikuone wewe na huyu mtani wangu snowhite.

ahhahahahhahhahhahah kwa kweli mtani ujitahidi uje
 
muda plz niPM ili nijue kama nitakua na nafasi au lah...mwenzio hadi j'mosi huwa nalitumikia Taifa, kama itakua ni mida ya jioni naweza pita ili nikuone wewe na huyu mtani wangu snowhite.

Shem wangu usikonde,
yani nataka nikutie tu machoni.
Nitakushtua,mimi tena,
Mpanaaaaaa......!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom