HIV inanitesa

HIV inanitesa

usjali lol! ila tu iyo huwa tunakaa kisha usiku tunaenda club japo kudance kidogo lol! japo wazee lakin tutoe stress atii.

Msisahau kuaga wewe na wenzako unaowashawishi na kushawishiana.....isije baadaye mkaleta sredi kwa ID tofauti: "Mume wangu kanifungia mlango nilichelewa kurudi" gfsonwin
"Mume wangu kimeo hataki nitoke" cacico........
"Jamani ndoa yangu ipo majaribuni msaada" snowhite
 
Last edited by a moderator:
gonjwa mmelitafuta alafu hamtaki watu kuwanyanyapa ebo!!! wee kama una ngoma ujue watu watakuwa wanakukwepa tuu. sasa kubaliana na hali hiyo kuwa muwazi kwa hao wanaokutaka kukumega bila ndomu
 
Habari zenu wana jamvi.
Naombeni maoni yenu /michango yenu.
Mie ni Mdada wa miaka 30 nima MBA ya UDSM na nimebahatika nimeajiriwa hapa DSM mitaa ya post mpya.Pia nina ishi na Virus visababishavo ukimwi (HIV)

Naisha maisha ya kawaida kabisa nimejenga na nina kiusafiri cha kunifikisha popote napotaka kwenda.Vile vile ni Mrembo nimeumbika haswaa maji ya kunde umbo la kibantu haswaa hakuna mwanaume akutane na mie asigeuke mara mbili mbili kuniangalia.

Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.

Shida ni hii hapa Unyanyapaa kwa baadhi ya jamaa zetu katika jamii zinazotuzunguka umekuwa mkubwa sana.
Hali hii uwa inanipelekea kutaka kuambuka kwa makusudi wanaume wanaojigonga kwangu.Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njema inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.

Jamani napenda kutoa wito kwa waathirika mwenzangu hapa Jamii forum tujiunge walau tufanye ka network ketu ili tuangalie namna ya kupambamba na Maradhi+Unyanyapaa na kukumbusha jamii UKIMWI upo nna pia hauchagui.Maana sie wagonjwa ndo tunajukumu la kuwalinda hawa wanao tunyanyapaa.

Tukichukulia Hasira unyanyapaa nawaaambia waTanzania wengi watapoteza maisha yao kwa HIV.
Na ninajutia sana Kwa kuwaambukiza wengine kwa taama zao za kimwili.
Asante
HIV+

wewe ulishindwa vipi kuwaambia hao waliokutamani kukumega utamu bila kinga kuwa hilo haliwezekani?
 
Niliwahi weka habari juu ya msichana niliyewahi kuwa katika mahusiano naye kumbe ana HIV siku moja akaja kuniambia, ninamshukuru sana maana mimi nilikuwa na pupa lakini yeye ndiye alikuwa ananikatalia mimi nikawa nakasirika bila kujua mwenzangu anajaribu niepusha na hatari.
Back to the topic, HIV siku hizi ukishajitambua unaishi kama kawaida. Mfano huyo mdada amejitambua kuwa anao toka 2004 mpaka leo ana afya njema na ni mke wa mtu ana watot 2 cha sa hivi mjamzito tena nadhan ujauzito wake utakuwa wa miezi kama mitatu.
She is a very close friend of mine and I love her so much yani huwezi jua kama anaishi nar daenyewe mzuri mixed angekuwa kicheche mbona nagetuua wengi na mimi nikiwemo.
As long as umejitambua dada mimi naona fresh kama pi tafenzako awe partner wako.
 
Hahahaaaaaa! Watu hamsahau! Ile sio nitoke vipi! Kweli eti mwenzenu amenikuta! LOLEST!!!! Nilinusurika BAN, ila uzi ulifungiwa

wangekuban mie ningeandamana switii, upo wapi uhuru wa kuelezea hisia zetu!!!
 
Usijali kabisa kupata virus si mwisho wa maisha, ishi kwa matumaini.

Ila epuka maambukizi mapya.
Swa la unyanya paa upo na wala usikukatishe tamaa!
Unyanyapaa unaanzia kwako mwenyewe( mfano wewe una jiita HIV+, kwangu naona una jinyanyapaa na kushauri ubadili ID )

Lakini ukiishi kwa matumaini na kujiamini unyanyapaa hauto kuathiri, epuka kuhisi kunyanyapaliwa!

Hongera kwa kuamua kuwa muwazi.
 
Pole sana kuugua sio kufa,ni wangapi ambao hawakuathirika na wamekufa kwa vifo tofauti,wakikuacha wewe ukiendelea kuishi....ila nakuomba uache kuwaambukiza vijana wenzio kwa makusudi ni ukatili wa hali juu....HIV+ ni ID nzuri kila atakea kusoma atajua ukimwi upo.!
 
Pole kwako dada,nazani uwe HIV+ or - safari yetu ni moja tu.Ila nashukuru kwa kutukumbusha kupitia stori yako hope wengi tutajifunza kupitia hapa.Kuwa na wapenzi wengi ama kujiingiza kwenye ngono kabla ya kupima ama ngono isiyosalama itatuumiza.Ila sijui ni wangapi tunakumbuka kwenda kupima unapoanzisha mahusiano na mtu mpya ama kutumia kondomu bila kujalisha umemjua huyo mtu mda gani sababu tunajisahau baada ya mazoea.
Ila kwa kua dada ushajua hali yako,jua hauko mwenyewe wengi wetu tunatembea bila kujijua,cha kufanya sasa ni kumuomba Mungu akuongoze,na kujitahidi kuwa muwazi kwa wanaume anaekufata ili kama akikubali basi ajue uko kwenye hali gani ama kumkinga ili kupunguza maambukizi.
 
Msisahau kuaga wewe na wenzako unaowashawishi na kushawishiana.....isije baadaye mkaleta sredi kwa ID tofauti: "Mume wangu kanifungia mlango nilichelewa kurudi" gfsonwin
"Mume wangu kimeo hataki nitoke" cacico........
"Jamani ndoa yangu ipo majaribuni msaada" snowhite
umenifanya nicheke sana platozoom. sasa ngoja nikwambie cacico huwa anakuja na hubby wake mie huwa naaga kabisa na huwa ana hakikisha niko full kila kona, snowhite vile vile. sasa usitegemee hilo. lol!
 
Last edited by a moderator:
Oyaah Sister HIV+, punguza ghadhab, HIV haiuwi mtu sasa hivi. Niliweka nyuzi humu kwenye ukumbi wa daktari. Kuna mwana JF mmoja anaejiita MziziMkavu akaponda sana dawa iitwayo 4A9 bila kufanya utafiti wowote, hata bila ya kuonana na waloivumbuwa hiyo dawa. Hii dawa imevumbuliwa na Mtanzania mwenzetu na imesaidia wengi sana, ni bora kuliko ARV na haina side effects.

Wasome kwenye website yao, nenda kaijaribu uje kutupa majibu hapa hapa. Bofya: 4a9

Haya bwana...
 
mkuu naujuaga uchokozi wako lakn jua kabisa kwamba hakuna binadamu ambaye ni msimamizi wa furaha ama afya ya mwingine bali tu washiriki wa furaha mtu aipatayo kwa kuwa na afya njema. sasa katuonyesha kabisa kwamba hata ukikutana nae huwez kujua kwamba kaathirika na line uloshade bluu ya mwisho limaanisha hivyo ingawa kiswahili chake ni kigumu kueleweka kwa haraka.

nimempenda alipotoa angalizo kwa wengine kuepuka wasije wakaambukiza kusudi jambo ambalo linatoa faraja kwa kila mtu. sasa weye endelea kuchokoza kwa kusoma na kukosoa kila mstari. ila ukweli ndio huo. ama wataka fimbo ya mwalimu itumike kukuadhibu? kumbuka mwl mie ni mkali.

Very philosophical...mhhh!
 
nIMEMHESHIMU SANA MLETA MADA,

NOTHING BUT LOVE AND RESPECT

LABDA NIULIZE SWALI MOJA LA UJUMLA, UNAPOJUA UNA HIV NA UKAFANYA TENDO LA NDOA BILA KINGA HUWA UNAPATA MAWAZO GANI??

Nasema haya kwa sababu kuna mtu unakuta anajijua kabisa lakini analazimisha wasitumie kinga (hii ni kwa wote, males and females)....

Kwa vigezo hapati mzuka unaostahili....mbona tunapelekana kubaya bila sababu. Duuh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom