hivi wataka kuniambia kujiita HIV+ NI KUJIKUBALI? je utatofautishaje yule anaye jiita simply kwasababu ameathirika na hana jinsi kwenye kundi la wale wanaoojiita baada ya kukubali hali halisi?
naamin maandish ama mwandiko wa mtu can sometimes define the person, sasa tell me mwandiko wa huyu dada umemdefine vipi kwako kama wataka kumfanyia kanseli?
kuhusu hiyo verb ilofanywa noun na gfsonwin nafikiri aliwaza yote mawili na akamaanisha noun mkono ukaandka verb msamehe.
Baada ya kuusambaza ndio umepata busara sio?
Huyu demu yaani naona ni muuaji tu na hata hiyo anayosema ni network ya waathirika naona kama ana lake jambo.
Huyu demu yaani naona ni muuaji tu na hata hiyo anayosema ni network ya waathirika naona kama ana lake jambo.
habari zenu wana jamvi.
Naombeni maoni yenu /michango yenu.
Mie ni mdada wa miaka 30 nima mba ya udsm na nimebahatika nimeajiriwa hapa dsm mitaa ya post mpya.pia nina ishi na virus visababishavo ukimwi (hiv)
naisha maisha ya kawaida kabisa nimejenga na nina kiusafiri cha kunifikisha popote napotaka kwenda.vile vile ni mrembo nimeumbika haswaa maji ya kunde umbo la kibantu haswaa hakuna mwanaume akutane na mie asigeuke mara mbili mbili kuniangalia.
Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa jamii leo hii.namshukuru mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.
Shida ni hii hapa unyanyapaa kwa baadhi ya jamaa zetu katika jamii zinazotuzunguka umekuwa mkubwa sana.
Hali hii uwa inanipelekea kutaka kuambuka kwa makusudi wanaume wanaojigonga kwangu.na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njema inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.
Jamani napenda kutoa wito kwa waathirika mwenzangu hapa jamii forum tujiunge walau tufanye ka network ketu ili tuangalie namna ya kupambamba na maradhi+unyanyapaa na kukumbusha jamii ukimwi upo nna pia hauchagui.maana sie wagonjwa ndo tunajukumu la kuwalinda hawa wanao tunyanyapaa.
Tukichukulia hasira unyanyapaa nawaaambia watanzania wengi watapoteza maisha yao kwa hiv.
Na ninajutia sana kwa kuwaambukiza wengine kwa taama zao za kimwili.
Asante
hiv+
Huyu demu yaani naona ni muuaji tu na hata hiyo anayosema ni network ya waathirika naona kama ana lake jambo.
what i can't understand is how people know that you are positive ili wakunyanyapae. ok umesema toka upime hujawa kumwambia mtu kwamba uko +ve sasa watu huota ama?
to me and am very serious unajinyanyapaa mwenyewe and taking into account ushauri wa snowhite your name can tell us so.
my take.
leave everything behind be you, amini kwamba hakunaga wewe mwingine and so long as you are living you deserve everything good. stop living under illusions kama huna watu unaowaambia ama kama huna bifu na mtu sidhan kama mtu atakunyanyapaa pasi sababu.
you know what u are suffering from, is inferiority complex ambayo ni rooted from tatizo ulilo nalo and thats why you can date a person pasi kumwambia ukweli at first sight. kama kweli unajipenda unasema ukweli and you look for someone ambaye yuko kama wewe maisha yanasonga mbona hapa jamvini wengi tu hupata wapenzi ambao ni waathirika kama wao kwa kujitangaza wazi? na hawajawah kurudi kutultltmikia kwamba wamekuwa victimized?
nakuombea sana Mungu akujalie ujikubali.
Nashukuru sana kaka Kweli jamii inapaswa kukumbusha juu ya janga hili.
Yatupasa kuunga nguvu ya pamoja ili kunusuru vizazi vetu.
Habari zenu wana jamvi.
Naombeni maoni yenu /michango yenu.
Mie ni Mdada wa miaka 30 nima MBA ya UDSM na nimebahatika nimeajiriwa hapa DSM mitaa ya post mpya.Pia nina ishi na Virus visababishavo ukimwi (HIV)
Naisha maisha ya kawaida kabisa nimejenga na nina kiusafiri cha kunifikisha popote napotaka kwenda.Vile vile ni Mrembo nimeumbika haswaa maji ya kunde umbo la kibantu haswaa hakuna mwanaume akutane na mie asigeuke mara mbili mbili kuniangalia.
Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.
Shida ni hii hapa Unyanyapaa kwa baadhi ya jamaa zetu katika jamii zinazotuzunguka umekuwa mkubwa sana.
Hali hii uwa inanipelekea kutaka kuambuka kwa makusudi wanaume wanaojigonga kwangu.Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njema inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.
Jamani napenda kutoa wito kwa waathirika mwenzangu hapa Jamii forum tujiunge walau tufanye ka network ketu ili tuangalie namna ya kupambamba na Maradhi+Unyanyapaa na kukumbusha jamii UKIMWI upo nna pia hauchagui.Maana sie wagonjwa ndo tunajukumu la kuwalinda hawa wanao tunyanyapaa.
Tukichukulia Hasira unyanyapaa nawaaambia waTanzania wengi watapoteza maisha yao kwa HIV.
Na ninajutia sana Kwa kuwaambukiza wengine kwa taama zao za kimwili.
Asante
HIV+
Baada ya kuusambaza ndio umepata busara sio?