Za jioni wana jukwaa
Mimi hapa ni memba wa muda mrefu toka mwaka 2012 namaliza form six.
Sasa iko hivi mwaka jana wakati wa Desemba tunamaliza mwaka nilikuwa sehemu kwenye grocery flani tunakunywa pombe. Sasa kwenye utani utani yule dada aliyekuwa anatuhudumia, alipita kadada kengine sasa mimi nikasema haka kadada nimekapenda.
Kesho yake asubuhi wakati nikiwa mjini huyo kadada kalinipigia simu, kakaniuliza kama kweli nakapenda mie nikasema kweli nakapenda. Sasa Januari mwaka huu 2026, nikakaomba mzigo kakaniambia kako kwenye siku zake.
Ilipofika Februari 03, kalinipa mzigo, mimi nikakapiga, kesho yake nikaenda kwa rafiki yangu kanipe PEP. PEP ni dawa za kuzuia maambukizi ambazo unameza kwa siku 28.
March 04, 2026 nilimaliza kumeza. Sasa kipindi hicho nameza nilikuwa namfuatilia kama kana mezaga dawa. Sikupata uhakika. Hivyo tukaanza kulala hivyo hivyo.
Ilipofika April 06, 07, 08 asubuhi moja nikaanza anza kuona kwapa langu la kushoto linauma. Sasa sikujali sana maana liliuma wiki nzima. Nikajiuliza labda ile lala yangu mimi na yeye ndo sababu maana tulikuwa tunakumbatiana. Sikupata jibu.
May 04, nakumbuka tuliitwa na boss wangu kwenda kwenye kikao, sasa wakati nimefika kwapa lilikuwa linauma sana. Nilikuwa naenda chooni najiangalia ila nikawa sielewi kwa nini liume hivyo.
Sasa siku moja naoga hivi kujisugua mwili nakuta mguuni nina patches( kaalama hakana maumivu) sasa nikajiuliza ni ka nini haka. Kesho yake naenda kujiangalia usoni nakuna na ka alama kadogo kamenianza usoni.
May 10, niliamua kwenda kupima HIV, maana nafanya kazi na idara ya afya. Nilivyopi prick nikaweka damu kwenye ile slot ya bioline nikaweka buffer huyo... nikaenda sehemu nilala kabisa. Majibu yalikuja negative.
May 17, huyo dada aliniita kwake kwa maana namlipia kodi. Sasa alichemsha maji tukaenda kuoga maana siku hiyo nilikuwa nimekunywa kidogo nikaenda kwake. Tulipomaliza kuoga mimi nilitangulia ndani. Nafika ndani alikuwa ameweka mikoba yake ukutani. Sasa mimi nikaitikisa kabla hajafila ndani. La haula.... nilipigwa butwaa baada ya kusikia kopo la dawa zinalia ndani. Nikafungua mkoba haraka haraka uku huko nje akiniambia nimsubirie. Kuja kusoma ni TLD. Dahhh, alipokuja ndani tu,, mimi tumbo lilinishika ghafla. Nikaenda chooni.
Kesho yake nilikutana na jamaa yangu nikamuomba anipe PEP, nipime tena. Dahhh, sikuamini. Bado majibu yalikuwa negative.
May 27, niliamua nimwambie anywe pombe. Sasa rafiki yangu akamnunulia pombe akanywa akalewa. Nikampeleka kwangu. Tulipomaliza kufanya, akalala fofofo. Nikachukua pricker nikafungua kipimo nikamchoma sindano nikabinya kidole nikatia kwenye bioline nikatia na buffer nikatoka ndani. Nikawasha pikipiki huyo kwenye kanyumba flani nikafika nikaa. [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] kuja kucheki vimesoma vistari viwili. Dahhh nikasema nimekwisha.
Sikumkasirikia nikawaza dahhh hii sasa ni hatari. Sasa ananza hajui kama najua kila kitu. Nimeenda Health centre, nameza dawa. Sasa jana tena nimepima ila niko negative.
Nikakumbuka kuna siku moja nastuka usiku nimetoa jasho jingi sana. May 28, nilihisi nimechoka na usingizi nafika ndani mpaka asubuhi sikulala. Mara unapata kuhara mara moja moja dahhh siamini.
Kwamba ndo nimeshapata UKIMWI,, namkumbuka Baba yangu aliniambia kwamba mtaani kwetu waliokufa na ngoma ni wengi. Sasa ndo maisha yangu yashakuwa ndo hivyo
Naomba kuwasilisha mimi ndo natoka nje ya akaunti hii