gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
ikimbie zinaa.Kwa vigezo hapati mzuka unaostahili....mbona tunapelekana kubaya bila sababu. Duuh!
ikimbie zinaa.Kwa vigezo hapati mzuka unaostahili....mbona tunapelekana kubaya bila sababu. Duuh!
achana nae huyo asikuaribie siku. hao ndo wanaowasababishia wenzao ban bure??
ikimbie zinaa.
Ndahani.................inaelekea weye ulikuwa unanisoma kati ya mistari.
Yes ili nielewe vizuri hili somo maana alichosema huyu dada is just a tip in the iceberg.. kuna mambo mengi sana yanaendelea ambayo yanafanya vita dhidi ya HIV kuwa ngumu sana.Kwa mfano kulala na mtu bila protection wakati unajua you are +.Ina maana sense zote zimegoma kusema kwamba no bila kinga? I just suspect wauzaji wanadumu sana maana wao kila game lazima wajiprotect.
Unajua mwalimu kuna watu wanakurupuka tu kuvamia thread bila kuisoma vizuri na in totality.......na hii inasababisah hata watu kufeli mitahani kwa kukimbilia kujibu maswali bila kuyasoma vizuri
........right in the bulls eye
Tatizo wasomi wengi ndio wakiukaji wakuu wa kinga
Kwa speed gani...10km/hr au? Maana sote tukiwa sober na asubuhi kama hivi tunahimiza kila mtu aikimbie zinaa.ikishaanza kufika saa nane guest zinajaa, ikifika kwenye mvinyo na nyama choma damu inahamia kiunoni...baada ya hapo tunasubiri majaariwa yetu.
Hata hivyo Safari_ni_Safari, hii haihalalishi kuendeleza ile biashara haramu ya kuuza lol
Yes ili nielewe vizuri hili somo maana alichosema huyu dada is just a tip in the iceberg.. kuna mambo mengi sana yanaendelea ambayo yanafanya vita dhidi ya HIV kuwa ngumu sana.Kwa mfano kulala na mtu bila protection wakati unajua you are +.Ina maana sense zote zimegoma kusema kwamba no bila kinga? I just suspect wauzaji wanadumu sana maana wao kila game lazima wajiprotect.
karibu mnoooo mamito! Tutakustua, ngoja november igonge ndi, sasa hivi kuna vizuio na kufuli kwenye miguu yetu, lol!mi nishaboo kualikwa jamani!ahahhahah kama hamtajali jamani!
ukitaka kuamini kwamba vita dhidi ya ukimwi ni ngumu basi uwe mfanyakazi wa mitandao ya simu kisha uwe na access ya kusoma sms kwenye lline za watu lol! kila namba 10 utakazo pitia 9 kwa siku zina appointment ya kukutana guest na saba kati ya hizo zinazungumzia jins mchezo ulivyokuwa mzuri achana na haya makitu bana.
Sio haramu bana.......haiko kisheria tu.........ile ni haja kuu sana ya kimwili...basi tu
CHEZEIYA HUBBY WEWE!!! HUWA YUP[O COUNTER ILA JICHO AKILI KWA cacico, lol! jamani huwa tunaaga, na tukinyimwa tunatulia tu! maana sio cku zote ambazo tunanyimwa, karibu platozoom!
Kweli safari moja huanzisha nyingine...no further comment!
sister usimind mbona tupo wengin tu wenye hilo tatizo, kikubwa usimwambukize mtu makusudi ila mwambie ukweli kuwa umeathirika mtumie kinga, mbona mimi huwa nawatel na wenyewe wanakubali, peace and love sisteri:high5: