monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,779
Mkuu Mimi hua najiuliza kama CONDOMU Inazuia kwa nini mtu asiende kwa huyo mdada alieumbika bt ana Ukimwi si atatumia Condomu,?Mtu ikikataa basi haiamini CONDOMU....Hivi jamani naomba kuuliza, hivi ni kweli condom huzuia maambukizi ya ukimwi?
Vipi kuhusu vitendo vingine vihusianavyo na ufanyaji ngono kama kunyonyana ndimi na midomo, kunyonya uke, kunyonya chuchu, kusugua uke wa mwanamke kwa kidole(sidhani kama huwa chavishwa condom)...
Maelezo ya bi dada HIV+ yamenifanya niamini kuwa kasi ya maambukizi ni kubwa na idadi ya waathirika si laki 9 kama serikali inavyobainisha kuna uwezekano hiyo namba ikawa hata mara mbili zaidi.