Thanda
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,915
- 596
Mrembo, kwanza nakupa hongera sana tena sana.....najua waathirika watakuPM na yatafanyika yale mtakayoyakusudia. Pili napenda kukupongeza kwa ukweli uliouanika kuwa "ni sisi waathirika" ndio mnaoweza kunusuru maisha ya wote ambao hawajaathirika. Naomba uniPM namba yako na jina lako ili nikutumie zawadi kwa courier yeyote au hata kwa Western Union. Nimeamua kusema hivi kwani namaanisha. Hata kama itakuwa kidogo na wewe unazo nyingi usijali kwani zawadi ni zawadi.
Mungu akubariki sana kwa uaminifu wako..Amen
Mungu akubariki sana kwa uaminifu wako..Amen