Historia ya maisha yangu

Nikimaliza hili nitafanya,Sina time naye imeniuma wanapanga kuniulia mtoto,na mama yake na mkewe,kisa mzaliwa wa kwanza, mbona nilikausha 4 years?hapana tukutane katavi
Mkuu...huku kutaka kuuliwa mtoto ulipiga RAMLI?.. au ulijuaje...
 
hata mimi nimejiuliza sana ni jambo gani zito alilofanyiwa hadi kufikia kumkamia hivyo sjaona.
Maana kama kuachana tu ni wengi wanaachana.
 
umejuaje kwamba walitaka kumuua hebu tupe ushahidi ilikuwaje
 
Hapana huyu lazima apigwe,ada nilishalipa nusu ,panapo majaliwa namalizia,saivi sitaki hela yake,nataka arudi zero nolipomtoa
Mkuuu..... Mtu mbaya ukishandana nae atakushinda.... Kwasababu Ubaya yeye ndo Maisha yake...wewe Sio Maisha yako...so Chakufanya.... Achana nae

Unaweza mshinda ukamroga..alafu ukawa Teja was kuroga watu...ukawa huvumilii watu...ukawa teja wa waganga na wagamguzi......Ukaanzisha Vita na watu ukiamini wewe upo vizuri kwenye maswala ya Ulozi......Matokeo yake yatakuwa HASI KWAKO...

LAKINI KAMA UMESHINDWA KUSAMEHE...Kama sisi wengine...REVENGE MY DEAR ... Revenge is best served Cold...

But Be ready to battle..... Vita Ni vita ...mguu wa SHINGO mguu wa Roho..Hadi apatikane mshindi...

Sisi watu wa Amani...hua tunachangua kumauchia Allah muweza wa yooote....
 
Kweli Mkuuu.... Kama Huyu dada anaona Kuroga ndo solution mi naona Amroge TU....[emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini sisi watu waamini Mungu...hua tunamuachia Allah.... Hata Mimi nishawai kuwaza Kuroga mtu kwakweli....Aliniumiza Sana Roho yangu Sana Sana....

Lakini Nikaona Haina maaana.... Nikaomba Mungu anipe kukubali na matokeo.....nikapata Amani nikaendelea na Maisha yangu... Alhamdulilah...

Kama Huna Nia ya kumpenda mtu....Usimdanganye ...kama UMESHINDWA Tabia Zake ..mwambie... Kama umeoa mwambia.... MTAKUJA ROGWA VIBAYA ....na msijue wapi pa kuanzia kujinasua.
 
pole sana relationship is a history kila mtu ana lake alilopitia
 
Mtoa maada leta vitu maana Leo inst inanuka mamikia yameichukua kwa muda tumekuja kujificha huku wana yanga
Mwanayanga mwenzangu...Nilikuamini mawazo yako nikabet mtaji wa Tigopesa kwa yanga....Nitumie 50K... Mkuuu

Hali Ni mbaya sijui ntakula Nini yarabh[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Itakuwa alipiga ramli tu, siunaona alivyo na mawazo ya ushirikina ushirikina tu.
Mm mwenyew nashanga umejuaje alitaka kuuawa mwanao? Jaman had wasomi wanaabudu ushirikina!...mm nakukabidhi mwanangu na hutaweza mroga
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yule mama alikuwa kauzu sana. Ila cha ajabu mbeleni alikujaga kuwa mtu muhimu sana kwangu, na sitoweza kuja kumsahau. Pengine huko mbeleni naweza kuja kuelezeaga the other side of my life.

Can you please unipe jina la huu uzi niu-search ili nione kitu kilicho muinterest my favourite Wangari?
 
Itakuwa alipiga ramli tu, siunaona alivyo na mawazo ya ushirikina ushirikina tu.
Ushirikina katika jamiii yetu Ni mkubwa Sana...hata Kama hufanyi Wala uabudu Mambo ya kishirikina...kuwa makini Sana na jamii...hata Kama Ni wasomi was PHD....

Unaweza fanya Jambo ukadhani Watu watachukulia POA...LAKINI ukashitumiwa uchawi Utashangaaaa....

Tena huko maofisini ambapo Watu wanadai wameelimika...ndo tahadhari inatakiwa.
 
Hapana moyo wangu ulishamkinai kitambo[emoji120]
Kweli kwa mfano akikupa matunzo yote ya mtoto na kukupa mtaji je akiomba penz unaweza kumuwekea ngum au ukalegea? Maana Wewe Jambo linalo kukosesha Aman na usingizi ni matatizo ya mtoto kukosa huduma ina baba mzaz akiweza kucheza na akili yako lazma utarudiana kisili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…