Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. UGANDA haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

ToniXrated

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
1,135
2,976
Amani iwe nanyi

Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na mabeberu kutokana na misimamo yake. Idd Amin alikuwa ni rais mwenye misimamo na uchungu na nchi yake ya Uganda.

Toka kipindi alipoipindua serikali ya Milton Obote, mwaka 1971, Idd Amin alifanya kazi kubwa kuhakikisha rasilimali za Uganda zinabaki kuwanufaisha waganda na si vinginevyo. Aliingia madarakani na kukuta asilimia kubwa ya uchumi wa Uganda ukishikiliwa na Wahindi ambao walikuwa hawainufaishi uganda kwa lolote zaidi ya kutorosha pesa na kuzipeleka kwao India au uingereza. Idd Amin baada ya kuliona hilo akaamua kuja na sera ya kuwatimua Wahindi ndani ya ardhi ya Uganda ndani ya siku 90 tu aliwataka waondoke nchini humo na kuacha rasilimali zote ziwanufaishe Waganda.

Biashara kubwa zote katika jiji la Kampala zilikuwa zikishikiliwa na Wahindi ambao kiuhalisia ni wabaguzi. Idd Amin aliwahi kuhojiwa kwanini amefikia uamuzi wa kuwatimua wahindi mwaka 1972, alijibu wazi kuwa haoni umuhimu wa uganda kuendelea kuwa na watu ambao hawataki kuwa waganda bali walikuwa wanataka tu kuendelea kuinyonya Uganda . Serikali ya Idd Amin iliwapa chaguo wahindi hao wapewe uraia wa uganda lakini asilimia kubwa walikataa wakitaka wabaki na passport za Uingereza , na pia alisema kuwa wahindi ni watu wabaguzi hawataki kujichanganya na jamii zingine kama katika suala la kuoa/kuolewa ,wao wanataka kuendeleza asili yao tu. Hivyo Idd Amin aliona bora waondoke waelekee kwao india au uingereza waiache Uganda kwa Waganda.

Ujasiri huu ndio ulimfanya Robert Mugabe aige tukio hili na kuwatimua wazungu katika ardhi ya Zimbabwe na kuwamilikisha wananchi wa zimbabwe rasilimali za Zimbabwe.

Wazungu walimchukia Idd Amin kutokana na siasa zake za kutetea maslahi ya waafrika hivyo waliamua kumuundia zengwe na hatimaye walimtoa Idd Amin kupitia jeshi la Tanzania mwaka 1979.

Idd Amin alihojiwa alipokuwa uhamishoni Saudi Arabia, kwanini aliondoa jeshi lisiendelee kupigana.Alimjibu mwandishi kuwa hakuona sababu ya kupigana kuiangamiza Kampala ambayo ilikuwa ndio kitovu cha uchumii wa nchi ya Uganda. Hakutaka raia wake wa Uganda wapate maafa zaidi hivyo aliamua kuondoka uhamishoni na kuiacha uganda salama.

Idd Amin aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa hajawahi kumiliki akaunti ya benki nchi za nje tofauti na viongozi wengi wa kiafrika wa wakati huo pindi walipopata madaraka walihamisha fedha kupeleka katika nchi za nje.

Hayati Idd Amin Dada alikuwa ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na maslahi wa raia wake wa Uganda na Afrika kwa ujumla.

Daima Afrika itakukumbuka kwa ushujaa wako.
 
Mbona watu hili tunalijua kitambo tu, kama hujawahi kufuatilia historia yake utasema kweli alikuwa joka.

Kiuhakika huyu bwana alikuwa ni mzalendo wa kweli mithili ya magufuli.

Hata kutolewa madarakani ilikuwa ninmishe maalumu ya wazungu kupunguza mwamko Kwa waafrika
 
Kulikuwa na haja gan kuivamia Kagera , mi nafkr madikteta wengi huwa Wana uchungu na nchi zao Ila huwa wanakosa akili na busara , nafkr ghadafi alikuwa Bora sana
Did he??

Hivi unajua kuwa serikali ya mwalimu nyerere iliwasaidia waasi wa uganda mwaka 1972 wakiongozwa na Obote na Museveni kuivamia Uganda kupitia kagera? Ila Idd Amin alizuia mapinduzi hayo ya waasi. OAU walikemea ushiriki wa Tanzania katika kuwasaidia waasi waliotaka kumpindua Idd Amin...na ikapelekea uhusiano wa Uganda na Tanzania kutetereka mpaka wakaenda kupatanishwa Mogadishu.
 
Amani iwe nanyi

Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na mabeberu kutokana na misimamo yake. Idd Amin alikuwa ni rais mwenye misimamo na uchungu na nchi yake ya Uganda.

Toka kipindi alipoipindua serikali ya Milton Obote, mwaka 1971, Idd Amin alifanya kazi kubwa kuhakikisha rasilimali za Uganda zinabaki kuwanufaisha waganda na si vinginevyo. Aliingia madarakani na kukuta asilimia kubwa ya uchumi wa Uganda ukishikiliwa na Wahindi ambao walikuwa hawainufaishi uganda kwa lolote zaidi ya kutorosha pesa na kuzipeleka kwao India au uingereza. Idd Amin baada ya kuliona hilo akaamua kuja na sera ya kuwatimua Wahindi ndani ya ardhi ya Uganda ndani ya siku 90 tu aliwataka waondoke nchini humo na kuacha rasilimali zote ziwanufaishe Waganda.

Biashara kubwa zote katika jiji la Kampala zilikuwa zikishikiliwa na Wahindi ambao kiuhalisia ni wabaguzi. Idd Amin aliwahi kuhojiwa kwanini amefikia uamuzi wa kuwatimua wahindi mwaka 1972, alijibu wazi kuwa haoni umuhimu wa uganda kuendelea kuwa na watu ambao hawataki kuwa waganda bali walikuwa wanataka tu kuendelea kuinyonya Uganda . Serikali ya Idd Amin iliwapa chaguo wahindi hao wapewe uraia wa uganda lakini asilimia kubwa walikataa wakitaka wabaki na passport za Uingereza , na pia alisema kuwa wahindi ni watu wabaguzi hawataki kujichanganya na jamii zingine kama katika suala la kuoa/kuolewa ,wao wanataka kuendeleza asili yao tu. Hivyo Idd Amin aliona bora waondoke waelekee kwao india au uingereza waiache Uganda kwa Waganda.

Ujasiri huu ndio ulimfanya Robert Mugabe aige tukio hili na kuwatimua wazungu katika ardhi ya Zimbabwe na kuwamilikisha wananchi wa zimbabwe rasilimali za Zimbabwe.

Wazungu walimchukia Idd Amin kutokana na siasa zake za kutetea maslahi ya waafrika hivyo waliamua kumuundia zengwe na hatimaye walimtoa Idd Amin kupitia jeshi la Tanzania mwaka 1979.

Idd Amin alihojiwa alipokuwa uhamishoni Saudi Arabia, kwanini aliondoa jeshi lisiendelee kupigana.Alimjibu mwandishi kuwa hakuona sababu ya kupigana kuiangamiza Kampala ambayo ilikuwa ndio kitovu cha uchumii wa nchi ya Uganda. Hakutaka raia wake wa Uganda wapate maafa zaidi hivyo aliamua kuondoka uhamishoni na kuiacha uganda salama.

Idd Amin aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa hajawahi kumiliki akaunti ya benki nchi za nje tofauti na viongozi wengi wa kiafrika wa wakati huo pindi walipopata madaraka walihamisha fedha kupeleka katika nchi za nje.

Hayati Idd Amin Dada alikuwa ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na maslahi wa raia wake wa Uganda na Afrika kwa ujumla.

Daima Afrika itakukumbuka kwa ushujaa wako.
Vijana wa leo mmebaki kusimuliwa na kupotoshwa.
 
wewe ni chekechea umezaliwa juzi juzi, hujui ya nyuma....nyamaza!
 
Hii sasa ndio historia ya kweli? Basi haya!
 
Back
Top Bottom