Nadhan una matatizo makubwa ya kutotambua nyakati kupitia maandishi.nikusaidie kufumbua ulipoona pamefumbwa.ni hivi sijasema lowasa atakufa bali nachomaanisha ni kupigwa chini kwenye harakati zake ndani ya chama na hapo ndo wapambe wake watabaki wamejikunyata.umeelewa mtoto mzuri?siku zingine usihukumu kabla hujahukumiwa,umesikia heee!
Tambua kwamba tunamjadili mtu ambaye atakuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu,mkuu wa nchi na kiongozi wa watu.kama wananchi lazima tujue kiwango cha uimara wa kiongozi wetu.unataka tuchague tu ili wakati wa maadhimisho pale taifa akikagua gwaride atuangukie?unataka tumchague kila siku awe ujerumani kutibu kile anachoita jicho!hiyo mchakamchaka ya maendeleo anayosema ataisimamia lini?kifupi,tunajadili mtu muhimu kwa maslahi ya taifa na si unyanyapaa kama unavyotaka kuhamisha mada.
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.
Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.
Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.
Pasco
Mkuu, kweli afya ya mtu ni siri yake na daktari wake. Hilo halina ubishi. Rais wa nchi si mtu tu kama watu wengine. Afya yake ni suala la kitaifa. Afya yake ina implications kwenye mambo mengi ya kitaifa. Anatibiwa kwa gharama ya mlipa kodi, ikiwa bahati mbaya ataaga dunia (hatuombei hilo), kikatiba makamu wake atashika nafasi yake lakini si yule wananchi waliomchagua japo watanzania hatulipi sana umuhimu la nani ni mgombea mwenza. Siku likitupa ndiyo tutajua umuhimu wa kufuatilia mgombea mwenza maana anaweza kushika hatamu muda wowote.
Tena ningetamani from the word go, mtu akitangaza nia, aseme nani atakuwa mgombea mwenza tupime package nzima.
Katiba mpya ijayo (siyo hii ya nyoka wa makengeza) suala la afya ya Rais liwekwe wazi. Asiyetaka asigombee. Akafiche afya yake kwa mke/mumewe huko.
Wait a minute please. Huyo kiongozi mwenye kifafa ni nani?Kila mtanzania anaumwa...tofauti ni kiwango cha uuguaji, Lowassa hata kama anaumwa maradhi yake hayamfanyi asiwe Rais, Mbona kuna kiongozi mkubwa tu ana kifafa? na tulimchagua sisi wenyewe? hizi team za Urais sasa zitatupeleka pabaya sana.
hivi la ufisadi wameshindwa hadi wakomae na afya yake!!!!!!!
Kula like mkuuMkuu, kweli afya ya mtu ni siri yake na daktari wake. Hilo halina ubishi. Rais wa nchi si mtu tu kama watu wengine. Afya yake ni suala la kitaifa. Afya yake ina implications kwenye mambo mengi ya kitaifa. Anatibiwa kwa gharama ya mlipa kodi, ikiwa bahati mbaya ataaga dunia (hatuombei hilo), kikatiba makamu wake atashika nafasi yake lakini si yule wananchi waliomchagua japo watanzania hatulipi sana umuhimu la nani ni mgombea mwenza. Siku likitupa ndiyo tutajua umuhimu wa kufuatilia mgombea mwenza maana anaweza kushika hatamu muda wowote.
Tena ningetamani from the word go, mtu akitangaza nia, aseme nani atakuwa mgombea mwenza tupime package nzima.
Katiba mpya ijayo (siyo hii ya nyoka wa makengeza) suala la afya ya Rais liwekwe wazi. Asiyetaka asigombee. Akafiche afya yake kwa mke/mumewe huko.
Sometimes naona kama sina tatizo na Lowasa. Ila tatizo kwenye kambi yake lipo lijamaa linaitwa joka lenye makengeza.
Jacob Malihoja said:TANGAZO MUHIMU
=========
Kuna Video Clips za Mzee zimefanyiwa Slow Motion Kidogo zinasambazwa ili kupotosha watu waone Mzee anaumwa. Zipo kama tatu hivi ambazo nimekutana nazo. Naamini wengi wengi mmekutana nazo pia, Moja ile ya jogging ya Albino kule Temeke, Moja anakaa kwenye kiti ofisini Na nyingine anatembea, inawezekana zipo zingine ama zitakuja zingine tena. Video hizo mkikutana nazo msishiriki kuzisambaza, pili mzitolee maelezo Haya niliyowapa kwamba zimefanyiwa slow motion kidogo ili kupotosha mana kuna watu wanaamini tena na wengine ni kati yetu pia. Watu wanatakiwa walifahamu hilo kuwa zimefanyiwa slow motion kwa kiwango fulani.
==============
By Jacob Malihoja
Mshauri wa Siasa
Team Lowassa Makao Makuu
"Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu wakati anajua una akili, ukikubaliana nae anakudharau"- Mwl. Nyerere
Mkuu kabla hananyanyuka muangalie usoni network ilikata kabisaEti yeye kafanyiwa slow motion ila yule mlinzi anaeonekana nae pale hajafanyiwa, duh.