Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

Tujiandae kwa gharama nyingine za uchaguzi baada ya 2015....
Hatuwezi kuongozwa na mtu alietuibia kiufisadi...

Kwa katiba ya Tanzania hakuna uchaguzi wa marudio.

Kama ikatokea Rais amefariki basi Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais kwa kipindi kilichobaki.
 
Huyo aliyetoa hilo tangazo ni punguani, slow motion kwenye picha iwe kwa Lowassa tu wengine hawajawekewa hiyo slow motion?

Lowassa ni mgonjwa kweli na nilisema humu toka zamani ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo, kama ni mpenzi wa michezo na umewahi kufatilia maisha ya Muhammad Ali kwenye video utaliona hilo pasi na shaka.

Coordination ya brain na viungo vya mwili wa Lowassa vina synch differently, vina wrong timing.

Lowassa ni mgonjwa. Full stop.

Well said FaizaFoxy, nimeona zaidi ya video4 za Lowassa, nyingine zinamuonesha akishindwa kutembea, na nyingine akitaka kuanguka na kusaidiwa na wasaidizi wake!

Kisicho riziki hakiliki Lowassa, uliupenda Urais lakini naona haikuwa riziki yako!
 
Last edited by a moderator:
Awe mgonjwa asiwe mgonjwa kama humpendi kale malimao dadadake.
Mgonjwa kwani kaja kupima hospitali ya baba yako tena wagonjwa ndio wazuri coz akikutana na mzembe ofisini yeye ananyonga tuu shabash.
 
Huyo aliyetoa hilo tangazo ni punguani, slow motion kwenye picha iwe kwa Lowassa tu wengine hawajawekewa hiyo slow motion?

Lowassa ni mgonjwa kweli na nilisema humu toka zamani ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo, kama ni mpenzi wa michezo na umewahi kufatilia maisha ya Muhammad Ali kwenye video utaliona hilo pasi na shaka.

Coordination ya brain na viungo vya mwili wa Lowassa vina synch differently, vina wrong timing.

Lowassa ni mgonjwa. Full stop.
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.

Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.

Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.

Pasco
 
Labda wengine mmeshaliona hili:

My Take: Sasa kama ni kweli wanafikiria hili au wanaamini hili basi bila ya shaka wanatufikiria sisi sote akili zetu ziko kwenye chupa. Hivi kweli video zote hizi zimewekwa slow motion? Seriously? Inawezekana Lowassa hana matatizo makubwa ya kiafya kama inavyohisiwa na baadhi ya watu lakini kusema kuwa video zimefojiwa ili kumfanya aonekane dhaifu zaidi nadhani si kutendea haki watu wengine. Kuna njia moja ya uhakika pkuondoa wasiwasi huu.

Mwanakijiji hawa jamaa wanawafanya watanzania wajinga sana na hatuna upeo wa kufikiri, angalia clip aliyoshindwa kusimama kwenye kiti yule mlinzi alikuja fasta kumsaidia so wanataka kutuambia mlizi hakuwa kwenye slow motion na lowassa ndo alikuwa kwenye slow motion.

Kweli upunguani ni ungonjwa, kwa nini msikae kimya team lowassa, mimi hii kitu napinga kabisa ndio maana ulaya unapiwa afya kwanza, nchi maskini mnaenda kuchagua rais mgonjwa then muingie kwenye uchaguzi tena dah! hivi akipeperusha bendera ya ccm ataweza kuzunguka Tanzania nzima!!
 
Asante sana Pasco, wewe ni supporter wa "jamaa yako" pekee unayesema ukweli. Hutawaliwi na mapenzi na hisia juu ya mgombea wako. Tuache ushabiki, huitaji daktari wa kukueleza kama dada yangu FaizaFoxy alivosema hapo juu. Lowasa ni mgonjwa.

TeamLowasa na wapambe wake wanaumwa kama mgombea wao.
 
Last edited by a moderator:
Pasco relax fanya kazi nyingine huwezi amua juu ya perceptions, views na inclinations za watu juu ya jambo fulani same as wao hawawezi aamua juu ya hayo kwako. . . . . .why unalazimisha mitazamo??!!

Unapoajiriwa unajaza fomu za afya kuonesha unaumwa au mzima wewe kwa nini hutaki watu wajadili na kuonesha misimamo yao juu ya mtu anyeomba ajira kwao?!!

Kuna stigma gani juu ya kusema fulani mgonjwa au mzima??!! Stigma unaileta wewe kwa kutaka ugonjwa uwe kati sacred and profane. . . . .Kwa nini??!!!

Acha watu wajadili. . . . . Watoe misimamo na mitazamo yao kwani wanavunja sheria gani??!!
 
Last edited by a moderator:
Labda wengine mmeshaliona hili:

My Take: Sasa kama ni kweli wanafikiria hili au wanaamini hili basi bila ya shaka wanatufikiria sisi sote akili zetu ziko kwenye chupa. Hivi kweli video zote hizi zimewekwa slow motion? Seriously? Inawezekana Lowassa hana matatizo makubwa ya kiafya kama inavyohisiwa na baadhi ya watu lakini kusema kuwa video zimefojiwa ili kumfanya aonekane dhaifu zaidi nadhani si kutendea haki watu wengine. Kuna njia moja ya uhakika pkuondoa wasiwasi huu.

Aisee Haya ni mapenzi au wendawazimu? Yaani mpaka yule jamaa anayemsogezea kitu akae naye amewekewa slow motion?
 
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.

Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.

Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.

Pasco

Kaka pasco na ww kwa akili yako unataka kutuambia kuwa ile ya kushindwa kusimama kwenye kiti ni slow motion???!!! mlinzi mbona alikuja fasta?? kwa hiyo mlinzi sio slow motion na lowassa ndio slow motion Duh!! swala la ugonjwa ni siri ya mtu but the guy is not fit like other human being kwa kumuona na si kumpima na swala la kufa kaka hata uwe fit unaweza kufa hiyo ni siri ya mwenyeezi mungu
 
Kila mtanzania anaumwa...tofauti ni kiwango cha uuguaji, Lowassa hata kama anaumwa maradhi yake hayamfanyi asiwe Rais, Mbona kuna kiongozi mkubwa tu ana kifafa? na tulimchagua sisi wenyewe? hizi team za Urais sasa zitatupeleka pabaya sana.

Mamlaka ya kuwasemea Watanzania zaidi ya milioni 45 umeyapata wapi? Wewe unaumwa nini? Je, wewe ni Rais? Na kwa kuwa kuna kiongozi anaumwa kifafa, basi tumchague mtu anayeumwa na ambaye kuna kila dalili kuwa hataweza kutimiza majukumu yake kutokana na ugonjwa kuwa Rais? Kama tulikosea kuchagua katika chaguzi zilizopita, basi turudie makosa hayo kwa kuwa sasa yamekuwa halali? Kila mgombea urais lazima awe scrutinized. Kwa nini unafikiri wanaohoji kuhusu afya ya mgombea urais wanakosea? Kumbuka Lowassa anagombea urais wa nchi na si uongozi wa kampuni yake. Kama Lowassa anaumwa maradhi, anaweza kuwa rais wa kampuni yake.
 
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.

Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.

Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.

Pasco

Pasco ndugu yangu maonyesho mnamaliza lini mnazi mmoja?naona una haraka kweli
 
Kuumwa si kufa.

Kama anaumwa anaumwa tu, kama ulivyokiri anaonekana anaumwa siri ya nini?

Anaogopa akisema anaumwa atakosa Urais?

Kwanini ang'ang'anie Urais?
 
ujinga zaidi ni pale mtetezi wa fisadi anapojaribu kutufundisha cha kumtetea mkubwa wa majambazi.
Mitanzania ni mijitu mijinga ajabu!. Watu wote wanaompinga mgombea mmoja tuu kwa hoja za ufisadi nao pia ni wajinga tuu kama wajinga wengine, kwa sababu mzazi wa rushwa na usisadi ni CCM!, huwezi kuupinga ufisadi kwa kumnyooshea kidole fisadi mmoja tuu ndani ya chama cha kifisadi kilichojaa mafisadi!.

Huu ufisadi wa CCM haukuanza leo, ufisadi mkubwa wa mwanzo ni EPA, ndipo ikaja Richmond bado uchaguzi uliofuatia sisi waTanzania, kwa ridhaa zetu wenyewe tukaichagua tena CCM!, na hata hii October inayokuja, tutaichagua tena CCM!, huu sio ujinga ni nini?!.

Mijitu ignorants, kila siku kazi kutupigia mikelele humu kuhusu ufisadi, halafu siku ya siku, ikifika, tunakichagua chama kile cha kifisadi, watu wale wale na kurudi kupiga kelele zile zile!.

Kama hoja ni ufisadi, hakuna msafi ndani ya CCM!.

2015 hatutafuti malaika!, Tanzania inahitaji mkombozi, ikitokea mkombozi mwenyewe ndio fisadi, then be it.

Pasco
 
Hili nalo neno
Japo sipendi sn kuzungumzia afya ya Mtu only God knws

Upo dada??!!
Hakuna ubaya kuzungumzia afya ya mtu haswa anayetaka kuongoza mbaya ni kuficha au kusema uongo
juu ya mtu kama kusengenya. . . .. huwezi taka kuingia katika maisha ya watu halafu watu wasiingie katika maisha yako. . . . . .

Acha watu wahoji. . . . .ni sahihi na inapendeza kama itajibiwa pasi na kupepesa macho
 
Wewe sasa unatutafuta ugomvi tukikupa hizo original zitasaidia nini.Nadhani ungejikita katika suala la kumuunga mkono Laigwanan Ole Ndossy hii ndio habari ya mjini.

Kama zimefanyiwa Slow motion watupe zile original tuzione.
 
Back
Top Bottom