Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
jamaa kaua kama kawaida yake
Mkuu, kweli afya ya mtu ni siri yake na daktari wake. Hilo halina ubishi. Rais wa nchi si mtu tu kama watu wengine. Afya yake ni suala la kitaifa. Afya yake ina implications kwenye mambo mengi ya kitaifa. Anatibiwa kwa gharama ya mlipa kodi, ikiwa bahati mbaya ataaga dunia (hatuombei hilo), kikatiba makamu wake atashika nafasi yake lakini si yule wananchi waliomchagua japo watanzania hatulipi sana umuhimu la nani ni mgombea mwenza. Siku likitupa ndiyo tutajua umuhimu wa kufuatilia mgombea mwenza maana anaweza kushika hatamu muda wowote.
Tena ningetamani from the word go, mtu akitangaza nia, aseme nani atakuwa mgombea mwenza tupime package nzima.
Katiba mpya ijayo (siyo hii ya nyoka wa makengeza) suala la afya ya Rais liwekwe wazi. Asiyetaka asigombee. Akafiche afya yake kwa mke/mumewe huko.
Wewe utakuwa umetumwa na teammembe Lowassa ni mzima wa afya kutetemeka ni jadi ya wamaasai kwasababu ya kunywa kloriti sana na kuchunga ng'ombe wakati wa baridi kali.Isitoshe Ikulu imeandaa chuma cha madaktari watakaokuwa na kazi ya kuangalia afya ya Lowassa 24 hours shida iko wapi.Mwisho kama atashindwa kutekeleza majukumu yake Makamu wa Rais yupo ndio maana tunachagua Rais na mgombea mwenza.
Ugonja ni hali, hakuna anayeamua awe mgonjwa au awe mzima bali ni Mola wetu.
Uamuzi wa kuweka bayana uzima au ugonjwa ni uamuzi binafsi wa mtu, daktari wake na familia yake!, maadam amejieleza wazi kuwa yuko fit!, no matter how sick he looks, nasisitiza yuko fit!.
Maadam hali ya afya sio kigezo cha kuupata au kuukosa urais, this is a non issue!.
Hakuna mtu anayeung'ang'ania uras, maadam urais upo, na umetangazwa kwa yoyote anayeutaka, amejipima amajiona anauwezo, why not asiutake!, kwani hao wengine 37 wao hawautaki?!, au wamechukua fomu za kujaribishia tuu?, si ni wote wanautaka?!.
Rais wa Tanzania 2015, ni yule tuu aliyeandikiwa!, ikitokea ni yeye, no one can change a thing!, kama sio yeye, hatu watu humu mdhikir uchi, hawi!.
Pasco
Huyo mgombea mwenza unamjua? Au yeyote bora liende?
1. Makamu wa Rais Simba Mtoto.
2. Waziri Mkuu Mzee wa Vijisenti.
3. Waziri wa fedha Rost tamu
4. Waziri wa Mambo ya ndani Bashe
5. Waziri wa miundombinu Karamagi
6. Waziri wa Mambo ya nje Ayatollaaah Zitoo Kabwe
Wewe unataka jina la mgombea mwenza wakati sisi tunalijua baraza la mawaziri lote hapo nimekumegea kiduchu tu.
unaumwa wewe, hatuongozwi na mahututi siye. ikulu si muhimbili.1. Pres. LOWASA 2. Vice. JAJ Ramadhan 3. PM Mwandosya 4. ULINZI Pinda 5. M/ndan Chikawe, 6. Sheria migiro 7. EAC membe
Haya ni moja ya matumizi mabaya ya Mb zako Mzee Mwanakijiji.
Hivi la richmond limefia wapi mnakomaa na ugonjwa?
Labda wengine mmeshaliona hili:
My Take: Sasa kama ni kweli wanafikiria hili au wanaamini hili basi bila ya shaka wanatufikiria sisi sote akili zetu ziko kwenye chupa. Hivi kweli video zote hizi zimewekwa slow motion? Seriously? Inawezekana Lowassa hana matatizo makubwa ya kiafya kama inavyohisiwa na baadhi ya watu lakini kusema kuwa video zimefojiwa ili kumfanya aonekane dhaifu zaidi nadhani si kutendea haki watu wengine. Kuna njia moja ya uhakika pkuondoa wasiwasi huu.
Wamejipanga kwelikweli! Na mtu atakayethubutu kuzuia hii safari yao hata panya ndani mwake hawatasalimika.1. Makamu wa Rais Simba Mtoto.
2. Waziri Mkuu Mzee wa Vijisenti.
3. Waziri wa fedha Rost tamu
4. Waziri wa Mambo ya ndani Bashe
5. Waziri wa miundombinu Karamagi
6. Waziri wa Mambo ya nje Ayatollaaah Zitoo Kabwe
Wewe unataka jina la mgombea mwenza wakati sisi tunalijua baraza la mawaziri lote hapo nimekumegea kiduchu tu.
Mkuu lancanshire, kiukweli kabisa, mtu kuitwa mjinga wengi wankutafsiri kuwa ni kutukanwa, lakini mimi natafsiri kuwa mjinga ni kutokujua tuu, ukiishajulishwa, ukajua, then ujinga unakutoka!. Kama dhambi kuu ya Lowassa ni ufisadi wa Richmond, then endelea na ujinga wako, utakapoelimishwa kuwa Lowassa ni mbebaji tuu, huo ujinga utakutoka!.Mtu mjinga wa kwanza ni wewe.unashupaa kumtetea Lowasa na kulazimisha watu waamini lowasa ni mtu safi.huna lolote zaidi ya njaa zinakusumbuwa.