Ndio maana na kuona mtu "anatetemeka" lakini hao wengine wakawa na magonjwa hatari zaidi. Njia pekee ni kupima kamaikauliza kama tunayo sheria ili tuache kuongozwa na hisia.
Kama vipo vigezo vya mtu kuitwa "mwenye afya" inayotosha kuwa Rais, tutumie vigezo hivyo hivyo kwa wote ili kuwa fair. Tunawez "afya" ndio kigezo pekee cha kutusaidia kuchuja!
Lakini yote kwa yote, ni muda tu utaamua. Tatizo la nchi hii ni system sio mtu.....tuondoe hii inayoitwa CCM ili tuweze kutoka hapa tulipo.
Ugonja ni hali, hakuna anayeamua awe mgonjwa au awe mzima bali ni Mola wetu.Kuumwa si kufa.
Kama anumwa anaumwa tu, kama ulivykiri anaonekana anaumwa siri ya nini?
Anaogopa akisema anaumwa atakosa Urais?
Kwanini ang'ang'anie Urais?
Pasco relax fanya kazi nyingine huwezi amua juu ya perceptions, views na inclinations za watu juu ya jambo fulani same as wao hawawezi aamua juu ya hayo kwako. . . . . .why unalazimisha mitazamo??!!
Unapoajiriwa unajaza fomu za afya kuonesha unaumwa au mzima wewe kwa nini hutaki watu wajadili na kuonesha misimamo yao juu ya mtu anyeomba ajira kwao?!!
Kuna stigma gani juu ya kusema fulani mgonjwa au mzima??!! Stigma unaileta wewe kwa kutaka ugonjwa uwe kati sacred and profane. . . . .Kwa nini??!!!
Acha watu wajadili. . . . . Watoe misimamo na mitazamo yao kwani wanavunja sheria gani??!!
Pasco let's be objective. FaizaFoxy kasema and I quote "ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo" Kwa kiswahili, nadhani na yeye pia ameonyesha mashaka na siku ameonyesha full diagnostic results kuwa ni Parkinson Disease.Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.
Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.
Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.
Pasco
Hili nalo neno.Unajua Pasco linapokuja suala la Lowassa anajivua akili kabisa.Anajua jamaa akiingia Magogoni ana uhakika wa ajira ya maana si hii ya kukimbizana na bahasha.Wakati mwingine jaribu kuangalia mambo katika uhalisia wake Pasco yuko kazini hana tofauti na wale madereva wa boda bado wanajua Mzee akiingia mjini wana uhakika wa lita 3 za petrol na 10,000/=@.
Huyo aliyetoa hilo tangazo ni punguani, slow motion kwenye picha iwe kwa Lowassa tu wengine hawajawekewa hiyo slow motion?
Lowassa ni mgonjwa kweli na nilisema humu toka zamani ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo, kama ni mpenzi wa michezo na umewahi kufatilia maisha ya Muhammad Ali kwenye video utaliona hilo pasi na shaka.
Coordination ya brain na viungo vya mwili wa Lowassa vina synch differently, vina wrong timing.
Lowassa ni mgonjwa. Full stop.
ukimtazama tu edo kama umeruhusu akir yako ifanye kazi bila upendeleo unajua anatatzo la kiafya, namna anavyozungumza, hotuba zake na muonekano wake..
Ki ukweli anaweza kufaa kuwa rahisi ila c rais,
jaribun kutafuta namna team edo, ila kwa kweli ufisadi +ugonjwa=............
Kumbuken team edo tunatafuta rais c rahisi, kama hamtaki masikin kwann masikin wanatumika ili kutimiza malengo ya kisiasa??
embu nidokeze top three yako miongoni mwa hao watia nn wa chama chenuHuyo aliyetoa hilo tangazo ni punguani, slow motion kwenye picha iwe kwa Lowassa tu wengine hawajawekewa hiyo slow motion?
Lowassa ni mgonjwa kweli na nilisema humu toka zamani ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo, kama ni mpenzi wa michezo na umewahi kufatilia maisha ya Muhammad Ali kwenye video utaliona hilo pasi na shaka.
Coordination ya brain na viungo vya mwili wa Lowassa vina synch differently, vina wrong timing.
Lowassa ni mgonjwa. Full stop.
Na yule mgombea mwingine anatembea na TAULO la jasho tangu akiwa spika hadi leo, Tz wagonjwa ni wengi teh teh!Lowassa ni mgonjwa wa kutupwa, hata wasemeje ukweli ndiyo huo.
Kwa katiba ya Tanzania hakuna uchaguzi wa marudio.
Kama ikatokea Rais amefariki basi Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais kwa kipindi kilichobaki.
yani na ww unasema kuwa lowassa ni muongo..ye amesema yuko fit wakati anaonekana mgonjwa..huyu mzee ataacha lini kuwa muongoAfya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.
Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.
Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.
Pasco
Pasco let's be objective. FaizaFoxy kasema and I quote "ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo" Kwa kiswahili, nadhani na yeye pia ameonyesha mashaka na siku ameonyesha full diagnostic results kuwa ni Parkinson Disease.
Au miye ndo nakosea hapa, inawezekana kiswahili kimenipiga chenga. Na dada yetu hapo ni mswahili haswaaa...
Tukirudi kwenye mada, ni kweli, afya si moja ya vigezo hili halina shaka. Lakini kwa hali ya kawaida, waTZ tusitawaliwe na mapenzi na hisia kali juu ya mgombea pendwa tukasahau tutaliingiza taifa katika gharama!!! Kazi kubwa kama uraisi naamini inaambatana na level za stress kwa hali ya ju, sasa kwa hali tunayoiona si itakuwa shaka na tete...
Mtu mjinga wa kwanza ni wewe.unashupaa kumtetea Lowasa na kulazimisha watu waamini lowasa ni mtu safi.huna lolote zaidi ya njaa zinakusumbuwa.Mitanzania ni mijitu mijinga ajabu!. Watu wote wanaompinga mgombea mmoja tuu kwa hoja za ufisadi nao pia ni wajinga tuu kama wajinga wengine, kwa sababu mzazi wa rushwa na usisadi ni CCM!, huwezi kuupinga ufisadi kwa kumnyooshea kidole fisadi mmoja tuu ndani ya chama cha kifisadi kilichojaa mafisadi!.
Huu ufisadi wa CCM haukuanza leo, ufisadi mkubwa wa mwanzo ni EPA, ndipo ikaja Richmond bado uchaguzi uliofuatia sisi waTanzania, kwa ridhaa zetu wenyewe tukaichagua tena CCM!, na hata hii October inayokuja, tutaichagua tena CCM!, huu sio ujinga ni nini?!.
Mijitu ignorants, kila siku kazi kutupigia mikelele humu kuhusu ufisadi, halafu siku ya siku, ikifika, tunakichagua chama kile cha kifisadi, watu wale wale na kurudi kupiga kelele zile zile!.
Kama hoja ni ufisadi, hakuna msafi ndani ya CCM!.
2015 hatutafuti malaika!, Tanzania inahitaji mkombozi, ikitokea mkombozi mwenyewe ndio fisadi, then be it.
Pasco