Ameiharibu NHC na project zote za maana za shirika zimedorora Kuna vitu amefanya vizuri Kama kuzuia uporaji wa ardhi uliokua ukifanywa na halimashauri lakini kwenye land development hakufanya vizuri Sana.Wacha tuone SasaKwa Lukuvi tumepigwa
Siku hizi ni muanzisha pambio pale praise team Lumumba.Hivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
Haiwezi kutokea ,sheria zao ni km lebanon tu kwa sasa.Wadau,
Ninachotamani kujuwa siku nyingi lakini sijapata kujuwa ni kuwa je, Mkristo na pia Mwanamke wanawezakuwa Marais Zanzibar?
Badiliko ni kama limeibua upya msiba wa Jembe.
Na mustaafu alivyokuwa mtu wa FUATA UTARATIBU ndiyo shiida kweli kweli!.Nikumegee mazungumzo yao;
Mustaafu: "...mheshimiwa habari,kijana analalamika hammtendei haki pale shambani kwake Dakawa kulikoni?!"
Kiongozi: "...mheshimiwa....kwa kweli kuhusu shamba lile yapo mapungufu na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kwa namna umiliki wake ulivyo na ndiyo maana nilimshauri afuate taratibu ili kuondoa changamoto zile."
Mustaafu: simu yake ddddddd,ikakata.
Toka wakati ule wakanuniana.
Kutoka kwenye slogan ya "wanawake tunaweza.." hadi Mungu ibariki Tanzania! Huu mwaka mbona uneanda pole pole Sana, bado tarehe 10 Januari hadi sasa!!Mungu ibariki Tanzania
Alaa kumbe,Nipo kwenye mambo ya ardhi muda mrefu, Luvuvi alikuwa ni worst of the worst, kilichomsaidia ni kipindi kirefu alichohudumu hiyo wizara watu walifungwa midomo, na alikuwa anajua kucheza na media plus wananchi wanyonge!
Utatuaji wake wa migogoro ya ardhi ulikuwa wa hovyo, usiofuata sheria, wala utaalamu! And alikuwa mla rushwa mkubwa, uliza mfanyakazi yoyote pale Ardhi! Hili la rushwa nina ushahidi nalo pia personally!
Kaharibu career za wataalamu wengi sana kwenye ardhi kupitia majungu or pale matakwa yake hayakutimilizwa! To hell with him! Hofu yangu ni kama huyo Mama ataiweza hiyo wizara, Maana JK amewahi kukiri katika wizara zote zilizopo, Ardhi ni pasua kichwa! Hiyo wizara wangempa Aweso akapambane nao
Nikweli mkuu! Lazima uwe na ndoto ya mambo makubwa! Sio kama yeye kaupata urais kwa mbeleko! Leo hii anawaona wabaya!Husishikiwe akili wewe. Nani amekwambia kuwaza 2025 ni kosa? Kila mtu ana ambition zake katika maisha. Nani alianza kuwaza na kuwa na homa ya 2025 kama siiyo huyo mama?
Yaani pamoja na kumiliki haya mashamba ya mboga mboga yametapakaa nchi nzima wabongo wanaitwa mandondocha na misukule?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba mtumishi Pep hivi huwa unapitia jf??
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaani pamoja na kumiliki haya mashamba ya mboga mboga yametapakaa nchi nzima wabongo wanaitwa mandondocha na misukule?
Hili sio kweli, naomba tupuuze hizi kauli wazalendo wenzangu 🤣🤣
______________
Nimekua mvivu siku hizi kuzurura majukwaani.
Duh..!Mbona mambo madogo hayo; the fact is iwe shamba ama eneo shimo la udongo there would be a day Lukuvi or somebody else would be shown the door, mabadiliko ni jambo la kawaida na Lukuvi amekula sana hata hivyo, miaka karibu 30 mtu yupo juu tu hana njaa mbona ashukuru Mungu kwa baraka zote hizo na akapumzike!
Itakuwa aiseeKurwa ni S Gang anayejitambua, alishausoma mchezo mapema, akajitenga nao
Hajitambui huyoDuh..!
Mawazo kama haya ni hatari sana kwa taifa na kizazi kijacho.
Btw, ni mawazo ya waafrika walio wengi...dumisha!
Acha tu ndugu yanguLukuvu, jamaa huwa hana mihemko yule, anamonitor kila neno kutoka mdomoni mwake, ama kweli dunia haipendi "super man"!
Chaz huyu wa juzi hapa aliyesajiliwa kutoka Azam?Niliowahi kuwasikia ni Wakuu wa wilaya na mkurugenzi
Marina Joel Thomas
Susan peter kunambi
Charles Hilari
Hivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
Kutoka kwenye slogan ya "wanawake tunaweza.." hadi Mungu ibariki Tanzania! Huu mwaka mbona uneanda pole pole Sana, bado tarehe 10 Januari hadi sasa!!
Bado mnamtafuta mchawi alokuwa akitoa siri za ikulu awamu ya 5? Jibu liko waziKigogo siku hizi ni ndugu moja, naona na Shangazi naye kashapiga U-turn...