Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Tushindwe wenyewe kumega mapande ya ardhi msoga gang.
Kama kuna mahali mchezo mchafu umefanyika ni hapa Ardhi.
Tambua kuwa ardhi ni kiwiliwili cha taifa. Alipaweza sana japo kaja msaidizi na huyu mpigaji basi tujue tumerudi palepale. Taratibu nzuri zimeenda kuzikwa vuuH.
Migogoro ya ardhi ni mi gi sana inashirikisha wakulima na wafugaji.!
Mpiga dili atayaweza wapi?? Hii kupeana vyeo kwa kutoa shukurani itatugharimu saana kama taifa.
Katiba katiba na tume huru.

AFM sio gaidi uendelee kulitambua hilo lisije garimu makuu hapo Mwezi march.
Napita.
 
Kumbeee eeh
Kimsingi basi utaona hakuna haki ya kikatiba na ya utendaji kazi kwa ajili ya Wananchi wa Tanzania watu wako kwa majungu na kushitakiana. Kupiga simu kupeleka vikaratasina mtu anakubali ujinga kama huu. Watanzania tuna safari mbovu ndefu hii chama na watawala wake Mungu anawezakujibu.

Ile ya mafuta pale Kigamboni imeishia wapi? ??
 
Tukubaliane na mabadiliko kisha tuyaunge mkono Yani tuya support.
 
Mkuu,

Tuliishaambiwa wataokuwa nje ya list ni wale ambao wanahangaika na 2025 badala ya kujikita kutekeleza ilani, sisi raia hatujui kwa sababu tuna macho mawili tu lakini mama ana macho mia kidogo, na yeye ndiye anaye-appraise performance zao, sasa tunalazimika kuamini mama yuko sahihi...
Ila JPM aliishawahi kuwaambia hadharani Kabudi na Lukuvi kwamba nyie hamuwezi kugombea urais, naona unabii huo wa JPM umetimizwa na mama.

Ila ninachojiuliza je, kule Bungeni kundi hili litafunga midomo yao? Wasomi huwa ni waoga?
 
Hivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
 
...uswahiba na hayati

...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.

Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Majungu sio muda wake huu
 
haya sasa wapi sukuma gang, msoga gang yote imerudi madarakani nape, makamba, riziwani wote wameulamba uwaziri. Ndo mjue nchi inawenyewe hii.
 
Kweli kabisa mkuu, maana hata Jaji, Brg Gen. Rev. Agustino Ramadhani (deceased) enzi ya uhai wake angeifaa sana Znz kama rais lakini mila na utamaduni.....
Ukifanya udadisi kidogo wa mgawanyo wa madaraka ktk serikalo ya znz utagundua wanagawa nafasi za wafanya maamuzi ktk makundi yote ktk uwiano sawa na idadi ya population zao ktk jamii ya Waznz. Inakadiriwa wakristo wa znz ni 1%
Wahindi ni 1%
Waliobaki wanahesabiwa kuwa ni waislam 98% bila kujali rangi au nywele zao.
Ndio maana lazima ukute walau kila kundi anapatikana ktk serikali itakayoundwa. Walau utakuta 1% wahindi na 1% wakristo.
 
Hivi kiongozi gani ni Mkristo Zanzibar?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Tuliishaambiwa wataokuwa nje ya list ni wale ambao wanahangaika na 2025 badala ya kujikita kutekeleza ilani, sisi raia hatujui kwa sababu tuna macho mawili tu lakini mama ana macho mia kidogo, na yeye ndiye anaye-appraise performance zao, sasa tunalazimika kuamini mama yuko sahihi...
Husishikiwe akili wewe. Nani amekwambia kuwaza 2025 ni kosa? Kila mtu ana ambition zake katika maisha. Nani alianza kuwaza na kuwa na homa ya 2025 kama siiyo huyo mama?
 
Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,
Au nchi yeyote dunia ulishaona?,
Jibu ni hakuna, tatizo wabongo ni wajuaji sana,,
Rais anachagua watu ambao ni wasaidizi wake. ,Huwezi mlazimisha rais achague msaidizi wake ambae wewe ndo unamtaka,
Hiyo haipo,,
Kuna nchi chache mfano lebanon, ambayo katiba imeanisha kabisa kwamba, Rais lazima awe mkristo,, waziri mkuu lazima awe sunni na spika wabunge lazima awe shia,,
Halafu mawaziri huteuliwa kutokana navitivyama vimepataje

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

US kuna kitu kinaitwa confirmation hearing (kuthibitishwa) ambapo, CV yako, maadili yako, Scandal zako zote zitaangaliwa na kuchambuliwa. Utaulizwa maswali, inabidi ujitetee. Unaulizwa chini ya kiapo, ukidanganya, unafungwa.

Either utathibishwa au utakataliwa Rais ataambiwa apendekeze mtu mwingine.

Process yote inakuwa live on TV. Wengi huwa wanajitoa, wakijua wana makandokando.

Ndio umuhimu wa kuwa na mihimili inayojitegemea. Vyama viwili vyenye nguvu karibu sawa.

Tanzania inabidi kianzishwe chama kingine kitachokuwa makini, serious na maslahi ya Watanzania wote bila kujali dini, kabila, tabaka au kanda.
 
Back
Top Bottom