abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Hahahah
Tumia neno lingine bhana!! Otherwise umepigwa mwenyewe
Tumia neno lingine bhana!! Otherwise umepigwa mwenyewe
Ukweli utabaki ukweli tu! Utamsfiaje mtu mnafiki? Na msaliti? Umeme unasema mwenyewe elf 27, baadae unasema wamewadanganya ni laki3!Noo! Juzi kati kuna majadiliano yaliendeshwa na Television fulani sambamba na redio1, jamaa alikuwa akimsifia sana Magufuli... sasa yeye badala ya kusifia uliopo anasifia uliopita aisee hakucheck alama zanyakati...
Eti uswahiba wa hayati,, kuna swahiba wa hayati kumzidi Doto james au Musa semike?....uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Emannuel mwana wa nchimbi unampeleka wapi?Na kule jimboni kwake kuna kimama cha Lumumba kimemkalia naomba tu aibukie kwenye mhimili lasivyo ndio imeisha tu
[emoji134]lakini lukuvi angetukomboa sana watanzania[emoji16]Niache kupigania maisha ya familia yangu nianze kulilia waliokula keki toka enzi za mwalimu akina Lukuvi,pumbavu
Mkuu Christine1:Hata huyo aliyekwa kwa hila na fitna hatakaa! Mungu yupo,itafahamika tu!
Atapangua tena hilo baraza
Weeh! acha tu, vijana wetu hata sehemu ya kucheza hakuna. Ila tunaendelea kumuomba mungu huyu huyu wanaemuomba wao, ipo siku nchi itakuwa ya watanganyika maana kwa sasa ni ya watanganyika.You sound reasonable. Huyu mfanyabiashara ameimeza Ardhi ya Tazara yote kaweka ICD kuanzia mchicha mpaka Tmk maganga mapaka kiwalani.
Mbona mambo madogo hayo; the fact is iwe shamba ama eneo shimo la udongo there would be a day Lukuvi or somebody else would be shown the door, mabadiliko ni jambo la kawaida na Lukuvi amekula sana hata hivyo, miaka karibu 30 mtu yupo juu tu hana njaa mbona ashukuru Mungu kwa baraka zote hizo na akapumzike!...uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Waznz wana hasira na Lukuvi. Kwa kauli yake ya kashfa ya kuunasibisha uislam na ugaidi....uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Ndio maana wenye akili zao wanadai wenye nchi ni wanachi na wakati wa kupata Katiba mpya ni sasa.Mtu anatoka zake huko Zanzibar, anaanza kuwapangua na kuwapanga wa-bara!!!!!!
Nchi imerud kwa wenyewe au sio Msoga camp???🐗🐗Weka ushahidi!
Vinginevyo uzushi wako tu sukuma gang!
Hapa tushaachiwa manyoya tayar...uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Awakomboe kwa lipi ambalo jakulifanya toka ameanza kuwa Waziri?[emoji134]lakini lukuvi angetukomboa sana watanzania[emoji16]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Lukuvi was the best. Yaani unatoa chapakazi unaweka mtu wa deal. Nimesikitika mno.