Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Haya Manji ajiandae kumilikishwa Coco Beach ila in patnership with RidhiOne.
 
Bado mnamtafuta mchawi alokuwa akitoa siri za ikulu awamu ya 5? Jibu liko wazi

Siri za ikulu hazikuanza kutoka awamu tano, toka awamu ta nne akina Dr Slaa walikuwa na habari za jikoni....KIGOGO alishasema ugomvi wake na JPM ni nini...
 
Kwahiyo ndiyo maana mama anaongelea tu WOMEN EMPOWERMENT huku Tanganyika kumbe Znz "Msahafu umepiga stop" (Msahafu ume-override constitution) Baghosha!
Siku nyingi km sheria za taliban unazoskia leo zipo.
Ndio mana unaona wote ni mwendo wa miudhungi na baibui tu vinginevyo wanakula bakora.
 
Hata hivyo alikaa muda mrefu sana hiyo wizara.

Mazoea yanaweza kuharibu kazi
 
Siku nyingi km sheria za taliban unazoskia leo zipo.
Ndio mana unaona wote ni mwendo wa miudhungi na baibui tu vinginevyo wanakula bakora.
Mkuu,

Nimesali Kanisa moja kule, hutoweza kuamini kama ni Wakristo kwa sababu wote baibui, kanzu na baraghashia kasoro Mchungaji ndiyo alivalia kiibada.

Yaani bila mtu kukwambia kwa kinywa chake yeye ni Mkristo basi utajuwa ni Muislamu tu.

Ninachoshukuru ni kwamba wana amani, wana mashirikiano, hawabaguani kwa itikadi za dini ILA WANABAGUANA KWA ITIKADI ZA SIASA.

DINI HAITAWEZA KUICHAFUA ZANZIBAR, KITAKACHOWEZA KUICHAFUA ZANZIBAR NI SIASA.
Mark my words!
 
Ok amani ipo maana wamama wamekubali sharia wanaifwata basi wanaume wamerelax tu.
Hakuna kubwa hapo mkuu mkikubaliana na iende hivyo hamna shida yoyote wanakaa kwa amani tu.
 
Hata hivyo alikaa muda mrefu sana hiyo wizara.

Mazoea yanaweza kuharibu kazi
Subiri Makabaila waibuke, alafu ziara za mama zielemewe na mabango ya migogoro ya ardhi, Lukuvi atarudishwa.

Cleopa David Msuya na Edward Moringe Sokoine walirejeshewa Uwaziri Mkuu (walikaa mara mbili @)

Nyerere alistaafu mwaka 1980 kwa hiari akiwa na umri wa miaka 58 baada ya kutumika kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wa Tanganyika kwa mwaka mmoja 1961-1962 na kwenye nafasi ya urais wa Tanganyika kwa mwaka mmoja tu pia 1963-1964 na kwenye nafasi ya urais wa Tz kwa miaka 16 (1964-1980 alipotaka kustaafu, lakini kuanzia 1964-1985 amekuwa rais wa Tz kwa miaka 21). Ilipofika September 25, 1980, Party Caucus ikamrejesha ulingoni hadi hiyo 1985.
 
Ok amani ipo maana wamama wamekubali sharia wanaifwata basi wanaume wamerelax tu.
Hakuna kubwa hapo mkuu mkikubaliana na iende hivyo hamna shida yoyote wanakaa kwa amani tu.
Lakini sharia kule Uarabuni baadhi ya nchi imewanyima suffrage (right to vote) na kuendesha magari. Siku Katiba ikilegea au ikapata mtu asiye makini huenda hawataendesha magari na suffrage itaondolewa huko Znz. God forbid this.
 
Hata hivyo alikaa muda mrefu sana hiyo wizara.

Mazoea yanaweza kuharibu kazi
Ila kubadilishwa Ndalichako, tujiandae kwa wizi wa mitihani kurejea. Prof. aliisuka NECTA akiwa Waziri hadi imekuwa Africa Role Model kwenye sekta ya mitihani. Tears!
 
Lakini sharia kule Uarabuni baadhi ya nchi imewanyika suffrage (right to vote) na kuendesha magari. Siku Katiba ikilegea au ikapata mtu asiye makini huenda hawataendesha magari na suffrage itaondolewa huko Znz. God forbid this.
Sijawai kuona wakiendesha huko i dont know km wana hiyo right.nawaona wapo wapo tu.
 
Uswahiba na hayati

Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya Watanzania.

Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Kama ni kwa staili hiyo basi kumbe wengi wajiandae kuumizwa kwa malipizi.
 
Alaa kumbe,
Mamlaka ya uteuzi,huwa inajua tusiyo yajua(ya kale na ya leoleo).
kulinda heshima yake Lukuvi,ni sahihi kupumzisha na kupisha wengine.
Lukuvi, katika mambo ambayo hakuyatendea haki,ni ujenzi wa nyumba za NHC kwa mkopo toka Exim Bank ya China, kwa kushirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Mchechu.
Mimi nikipita kawe beach na kuona majengo yametelekezwa na mkopo serikali inalipa,inatia uchungu Sana.
Kwenye upande wa land development na real estate hakua mzuri kabisa.Laiti angeendeleza pale Tibaijuka aliishia kungekua na real estate za kutosha.NHC inapaswa kubaki kua real estate development corporation kwa kizazi hiki na kijacho.Tuendako haitakuja rahisi mtu kipato cha chini kupata kiwanja na kujenga Kama ilivyo kwenye developed countries hivyo NHC na watumishi housing wanatakiwa kua na project za miaka 100 ijayo
 
Back
Top Bottom