Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Uswahiba na hayati

Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya Watanzania.Watanzania.
Mchapakaz mh lukuvi na alifanya vizur kwenye hiyo wizar
 
Kwenye upande wa land development na real estate hakua mzuri kabisa.Laiti angeendeleza pale Tibaijuka aliishia kungekua na real estate za kutosha.NHC inapaswa kubaki kua real estate development corporation kwa kizazi hiki na kijacho.Tuendako haitakuja rahisi mtu kipato cha chini kupata kiwanja na kujenga Kama ilivyo kwenye developed countries hivyo NHC na watumishi housing wanatakiwa kua na project za miaka 100 ijayo

Tanzania we plan for 5 years tu buda, projects zetu zote nyingi ni za uchaguzi hadi uchaguzi tu ndio maaana mambo kama The Big Results Now,sijui MKUKUTA, MKURABITA, sijui vision 2025 hakunaga vitu kama vile huwa vina mature.

Siasa siasa siasa imetaradadi kila pahala na sio lazima Rais yaani hata waziri tu akiwekwa kwenye wizara anaweza akaharibu na kubadilisha mikakati yote na mwingine nae akija anakuja na yake, marais ndio kabisaaa yaani hata kama ni awamu moja wakisave marais wawili kila mmoja anakuja na yake.
 
Nipo kwenye mambo ya ardhi muda mrefu, Luvuvi alikuwa ni worst of the worst, kilichomsaidia ni kipindi kirefu alichohudumu hiyo wizara watu walifungwa midomo, na alikuwa anajua kucheza na media plus wananchi wanyonge!

Utatuaji wake wa migogoro ya ardhi ulikuwa wa hovyo, usiofuata sheria, wala utaalamu! And alikuwa mla rushwa mkubwa, uliza mfanyakazi yoyote pale Ardhi! Hili la rushwa nina ushahidi nalo pia personally!

Kaharibu career za wataalamu wengi sana kwenye ardhi kupitia majungu or pale matakwa yake hayakutimilizwa! To hell with him! Hofu yangu ni kama huyo Mama ataiweza hiyo wizara, Maana JK amewahi kukiri katika wizara zote zilizopo, Ardhi ni pasua kichwa! Hiyo wizara wangempa Aweso akapambane nao
Kama wewe upo ardhi nina shaka na wewe, ni wa ovyo kuliko hata Lukuvi tena kabla yake kama ulivyokiri kuwa Jk alisema ni pasua kichwa, hapo angeniweka mimi tu.
Viwanja hewa, kunyang'anya ardhi za watu kupitia taakum na ujinga wa wananchi wa kutujua sheria za ardhi na mengine, inahitajika mtu ili kukomesa asifuate ile unasema eti anaharibu taalum za watu.
Ova
 
Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,
Au nchi yeyote dunia ulishaona?,
Jibu ni hakuna, tatizo wabongo ni wajuaji sana,,
Rais anachagua watu ambao ni wasaidizi wake. ,Huwezi mlazimisha rais achague msaidizi wake ambae wewe ndo unamtaka,
Hiyo haipo,,
Kuna nchi chache mfano lebanon, ambayo katiba imeanisha kabisa kwamba, Rais lazima awe mkristo,, waziri mkuu lazima awe sunni na spika wabunge lazima awe shia,,
Halafu mawaziri huteuliwa kutokana navitivyama vimepataje

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Enzi hizi za "gugu" sio busara kuweka vitu usivyovijua.

Amandla...
 
Uswahiba na hayati

Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya Watanzania.Watanzania.
Sasa Rizi anaenda kupokonya Viwanja vya Lukuvi Makonda na Mwendazake

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,
Au nchi yeyote dunia ulishaona?,
Jibu ni hakuna, tatizo wabongo ni wajuaji sana,,
Rais anachagua watu ambao ni wasaidizi wake. ,Huwezi mlazimisha rais achague msaidizi wake ambae wewe ndo unamtaka,
Hiyo haipo,,
Kuna nchi chache mfano lebanon, ambayo katiba imeanisha kabisa kwamba, Rais lazima awe mkristo,, waziri mkuu lazima awe sunni na spika wabunge lazima awe shia,,
Halafu mawaziri huteuliwa kutokana navitivyama vimepataje

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Rais Siyo mkristo tu bali awe Coptic Orthodox Christian.
 
Back
Top Bottom