Tshala
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 281
- 110
😀😀 Info kibindoniHivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
😀😀 Info kibindoniHivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
Asee.,. Kwahiyo leo beseni la maji ya kunawa limepita,Nikumegee mazungumzo yao;
Mustaafu: "...mheshimiwa habari,kijana analalamika hammtendei haki pale shambani kwake Dakawa kulikoni?!"
Kiongozi: "...mheshimiwa....kwa kweli kuhusu shamba lile yapo mapungufu na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kwa namna umiliki wake ulivyo na ndiyo maana nilimshauri afuate taratibu ili kuondoa changamoto zile."
Mustaafu: simu yake ddddddd,ikakata.
Toka wakati ule wakanuniana.
US kuna kitu kinaitwa confirmation hearing (kuthibitishwa) ambapo, CV yako, maadili yako, Scandal zako zote zitaangaliwa na kuchambuliwa. Utaulizwa maswali, inabidi ujitetee. Unaulizwa chini ya kiapo, ukidanganya, unafungwa.
Either utathibishwa au utakataliwa Rais ataambiwa apendekeze mtu mwingine.
Process yote inakuwa live on TV. Wengi huwa wanajitoa, wakijua wana makandokando.
Ndio umuhimu wa kuwa na mihimili inayojitegemea. Vyama viwili vyenye nguvu karibu sawa.
Tanzania inabidi kianzishwe chama kingine kitachokuwa makini, serious na maslahi ya Watanzania wote bila kujali dini, kabila, tabaka au kanda.
Ccm wametuweza kupitia ujinga kqma huuWeka ushahidi!
Vinginevyo uzushi wako tu sukuma gang!
Wasifu wake ndio wasifu wa aliyemchaguaLukuvi was the best. Yaani unatoa chapakazi unaweka mtu wa deal. Nimesikitika mno.
Kurwa ni S Gang anayejitambua, alishausoma mchezo mapema, akajitenga naoWatu wanaroga aisee, Kurwa kabaki duh! Watu humu walimsagia kunguni balaa ahahaha
Wahindi ni kabila au dini?Ukifanya udadisi kidogo wa mgawanyo wa madaraka ktk serikalo ya znz utagundua wanagawa nafasi za wafanya maamuzi ktk makundi yote ktk uwiano sawa na idadi ya population zao ktk jamii ya Waznz. Inakadiriwa wakristo wa znz ni 1%
Wahindi ni 1%
Waliobaki wanahesabiwa kuwa ni waislam 98% bila kujali rangi au nywele zao.
Ndio maana lazima ukute walau kila kundi anapatikana ktk serikali itakayoundwa. Walau utakuta 1% wahindi na 1% wakristo.
[emoji1787][emoji1787]Tunaenda Isimani kutambika
Kwa uozo huu?Mungu ibariki Tanzania
mh suzy wewe .Nikumegee mazungumzo yao;
Mustaafu: "...mheshimiwa habari,kijana analalamika hammtendei haki pale shambani kwake Dakawa kulikoni?!"
Kiongozi: "...mheshimiwa....kwa kweli kuhusu shamba lile yapo mapungufu na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kwa namna umiliki wake ulivyo na ndiyo maana nilimshauri afuate taratibu ili kuondoa changamoto zile."
Mustaafu: simu yake ddddddd,ikakata.
Toka wakati ule wakanuniana.
[emoji23][emoji23][emoji23]a.k.a Mindondocha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anatoka zake huko Zanzibar, anaanza kuwapangua na kuwapanga wa-bara!!!!!!
Kesha ingia huyo na yeye watoto wake wataingia.
TanangoziSio Isimani ni Ziwa Ngozi Mkuu