Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Niache kupigania maisha ya familia yangu nianze kulilia waliokula keki toka enzi za mwalimu akina Lukuvi,pumbavu
hatupiganii cheo cha Lukuvi hapa, tunapigania haki tutakazozikosa kwa kuletewa waziri wa ardhi na naibu corrupt!

huoni madhara yake katika huko "kupigania maisha ya familia yangu"?

akili yako ni sawa na ya Mwigulu aliyesema deni la taifa halitamfanya yeyote agongewe hodi
 
Haki gani utakazozikosa wewe? Ongea baadanya kuzikosa soon kuropoka
 
Mama kwa nini umemtoa Lukuvi!!??
hiyo nafasi ya uwaziri wa ardhi aliiweza sana mno.......
una assume kwamba Samia anataka mweledi anaeiweza wizara ya Ardhi

what if Samia anataka mtu atakaepitisha ma dili yake na Waarabu na Wakenya kupewa maeneo kinyume na taratibu?

Juzi juzi ulimsikia Waziri Mwambe, the duncehead that he is, anamuagiza Lukuvi ampe kiwanja Oysterbay Mu Egypt anaejenga Stiegler's Dam. Diaspora wetu tumewanyima hati kwa sababu wamechukua uraia Ulaya, halafu Mu Egypt mwenye mapesa ndio tumpe hati. Hao ndio watu Samia anawataka Ardhi.
 
Kimeniuma sana!!! Labda orodha imekosewa, ardhi ni LUKUVI. Au wote ni vipofu? Ngoja nikanunue miwani.
 
Kama wewe upo ardhi nina shaka na wewe, ni wa ovyo kuliko hata Lukuvi tena kabla yake kama ulivyokiri kuwa Jk alisema ni pasua kichwa, hapo angeniweka mimi tu.
Viwanja hewa, kunyang'anya ardhi za watu kupitia taakum na ujinga wa wananchi wa kutujua sheria za ardhi na mengine, inahitajika mtu ili kukomesa asifuate ile unasema eti anaharibu taalum za watu.
Ova
Wewe umejipimaje kwamba unafaa? Alikuwa anapenda sana mashamba makubwa yenye migogoro, hiyo hata umuambie saa 9 usiku, lazima afanye fasta ziara, na tena alikuwa anaenda mwenyewe physically, anavuta kwa mwenye shamba, anawapiga sound chache wananchi na kuwatisha kidogo, migogoro inaisha/haiishi! Jamaa ni lila rushwa na wizara ilimshinda! Ila mbadala wake hafai pia
 
Inabidi tuandamane la sivyo Katiba mpya. So huyu mstaafu alitaka wananchi watolewe ardhi kisa ya ukubwa wake wa cheo. Si angenunua kihalali na sio kupeana ardhi ya watu wamiliki wachache.
Hebu mama turudishie mtu wetu. Haya Mambo sio kabisa. La sivyo hutaiona 2025
Ni nani lakini? Mbona hamumtaji? Au ni yule aliyeongezewa ulinzi wa kufa mtu?
Huyo mtu alikuwa anang'ata na kupuliza kwani pia kuna wengi wamedhulumiwa viwanja vyao na huyo mtu.
Nipo huru mbona hauko huru kutaja jina lake? Au ni yule aliyeongezewa ulinzi wa kufa mtu?
Kama wewe upo ardhi nina shaka na wewe, ni wa ovyo kuliko hata Lukuvi tena kabla yake kama ulivyokiri kuwa Jk alisema ni pasua kichwa, hapo angeniweka mimi tu.
Viwanja hewa, kunyang'anya ardhi za watu kupitia taakum na ujinga wa wananchi wa kutujua sheria za ardhi na mengine, inahitajika mtu ili kukomesa asifuate ile unasema eti anaharibu taalum za watu.
Ova
Great brain! Develop it to genious stage.
 
Natamani Mungu afanye yake tena.
Ngoja niongee na Nabii lema kwanza
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
"2025 mtaamua,kama mtoe hawa muweke wengine"kwa sauti ya Supika.
Tupo mnadani 😂😂😂😂😂
Wamegoma kutangaza dau

Ningeinunua tukae wawili, wengine wakawe mbolea kama mdau alivyoshauri 😂
 
Japo alijituma ktk kazi...lakini kuna ujinga alifanya. 4me acha alee familia
 
Ni nani lakini? Mbona hamumtaji? Au ni yule aliyeongezewa ulinzi wa kufa mtu?

Nipo huru mbona hauko huru kutaja jina lake? Au ni yule aliyeongezewa ulinzi wa kufa mtu?

Great brain! Develop it to genious stage.
Mama kasema Luk haondoki, ana kazi naye ofisini kwake Magogoni.
Natamani Mungu afanye yake tena.
Ngoja niongee na Nabii lema kwanza
Kwa kuwa Mungu hatabiriki na kwa kuwa hachaguliwi cha kufanya, vipi kama safari hii unayotamani afanye yake tena, akaamua kukupenda wewe zaidi? Atakuwa Mungu kakosea?
 
Japo alijituma ktk kazi...lakini kuna ujinga alifanya. 4me acha alee familia
Mkuu vipi kesho ukaamka na kukuta Luku... amemreplace Kassim?

Huenda haikutokea hivyo muda huu kwasababu nchi haina Spika wa kupokea jina jipya pendekezwa.

Sasa naona Ackson anaandaliwa kuvaa viatu vya Job. Ana vigezo vifuatavyo:-

1. Women empowerment (sera ya mama ya Feminism)

2. Elimu yake

3. Uzoefu wa Unaibu Spika

4. Wepesi wake wa kuyumbishwa

5. Dini yake (sera ya balance of power inataka kurespect diversity ya gender, religion na kanda), tayari mihimili ya Judiciary na Executive inashikiliwa na dini moja, hivyo mhimili wa Legislature nao sasa inabidi ushikiliwe na dini mbadala. Hivyo wanaochukuwa fomu wanatakiwa kuzingatia hili pia.
 
CHADEMA, kimakosa, watakuambia wao ndiyo hicho chama!

Chadema sasa hivi wamewekeza nguvu zao zote kwenye matusi, kejeli, chuki, dhihaka kupambana na Hayati Magufuli, Wasukuma na SukumaGang.

Hawana uwezo kwa sasa kuliungalisha taifa. Tuwape muda labda hadi 2040.
 
Nikumegee mazungumzo yao;

Mustaafu: "...mheshimiwa habari,kijana analalamika hammtendei haki pale shambani kwake Dakawa kulikoni?!"

Kiongozi: "...mheshimiwa....kwa kweli kuhusu shamba lile yapo mapungufu na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kwa namna umiliki wake ulivyo na ndiyo maana nilimshauri afuate taratibu ili kuondoa changamoto zile."

Mustaafu: simu yake ddddddd,ikakata.

Toka wakati ule wakanuniana.
Yule yule aliyenyimwa hati Dakawa, ND yule yule aliyepewa dhamana ya kwenda kujimegea.
Lkn watu wanasau dunia mapito tu.
 
Back
Top Bottom