Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hapo ndio mlango mkuu wa kuzimu kama imepelekwa hapo itakuwa ngumu kuipata

Mkuu nitonye, naomba Nikutonye kuwa inaweza kuwa ni jambo la kisayansi zadi kuliko imani za "kuzimu" ambayo ni dhana ya kusadikika. Kisayansi eneo hilo lina nguvu ya uvutano wa hali ya juu kwa hiyo chombo cha anga kikipita hapo kinavutwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nitonye, naomba Nikutonye kuwa inaweza kuwa ni jambo la kisayansi zadi kuliko imani za "kuzimu" ambayo ni dhana ya kusadikika. Kisayansi eneo hilo lina nguvu ya uvutano wa hali ya juu kwa hiyo chombo cha anga kikipita hapo kinavutwa.
Hebu malizia basi,Kinavutwa kwenda juu ama kinavutwa kwenda Chini ya bahari!Na km hilo wana litambua hivyo,walijipanga vipi kukabiliana na Mvutano huo.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka 1978 February; East Africa Airways walikuwa na dege kubwa la mizigo lililoitwa Simba. Rubani wake alikuwa Capt. Wilbert Urio, katika fani hii kuna vimbwanga kadha wa kadha kuna kisa kimoja anasimulia kwamba wakati wanavuka atlantiki instruments zote kwenye cockpit ziligoma kufanya kazi baada ya mwanga mkali kupita mbele yao na kuwaachia kiwi cha macho.



Ndege ilikosa nguvu na kuanza kushuka chini mdogomdogo mpaka tumbo la ndege likaguza maji ya bahari wakati huo walikwisha kata tamaa na kuanza kusali lakini ghafla kwa nguvu za ajabu ndege ikaruka kwa mruko usio wa kawaida mpaka kwenye attitude waliyokuwa wana i maintain na ghafla instrument zote zikaanza kufanya kazi na pia kwenye radar ikaanza kuonekana, baada ya kufika kwenye destination iliyokusudiwa salama ndege ilifanyiwa uchunguzi wa hali ya juu lakini hakuna dosari yeyote iliyoonekana.


hii stori ya Malay Air na ya Cap. Urio vinanifanya nianze kuamini in UFOs and Alliens!!
 
wewe mwanga mshukuru tu mungu wako mwalimu mwakanyamale hayupo hapa. wewe ulikuwa ni mtu wa kupigwa tu rula kichwani. unapataje 11 unapojumlisha hizi tarakimu hapa 10/3/2014? au umetoka kwenye grosare?

1+0+3+2+0+1+4=11 wewe ndo huna kitu kichwan
 
Tatizo hawataki kutushirikisha wa afrika wangekwenda sumbawanga au mtwara kwa kibabu au kibibi wangeambiwa ndege ipo sehemu fulani tatizo masharti sijui wangeweza.
 
usafiri wa anga ni janga la kidunia,moyo wa kukwea pipa wanaupata wapi ?Astaghufulila heri niwe mshamba.

Usafiri wowote waweza kuwa janga inategemea wingi wa vifo kuyoksna na ajali yenyewe ajali za treni magari meli zote ni mbaya tu
 
Back
Top Bottom