Yawezekana imechukuliwa na Alliens. Refer to capt. Urio's story
Leo ni siku ya nne, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!
Una uhakika hii thread ameileta leo Ijumaa,kweli hesabu ni janga la taifa! siku nne kivipi mkuu? haya na tuhesabu kwa pamoja kwa kutumia vidole au visoda: yaani kutoka ijumaa, jumamosi, jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi hadi leo ijumaa=8days.
Una uhakika hii thread ameileta leo Ijumaa,
Kusoma huwezi, hata picha huoni?
umeshindwa kabisa kushirikisha kichwa na kujua thread ilianzishwa lini?kweli hesabu ni janga la taifa! siku nne kivipi mkuu? haya na tuhesabu kwa pamoja kwa kutumia vidole au visoda: yaani kutoka ijumaa, jumamosi, jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi hadi leo ijumaa=8days.
ok. kumbe umeshagundua, pamoja kamanda, haya tuendelee kutafakari, ingekuwaje kama rais anayesafiri sana duniani JK angekuwemo kwenye hiyo ndege?oooh!! kumbe mjinga mimi. nimekubali mkuu nilikurupuka.
ok. kumbe umeshagundua, pamoja kamanda, haya tuendelee kutafakari, ingekuwaje kama rais anayesafiri sana duniani JK angekuwemo kwenye hiyo ndege?
ok. kumbe umeshagundua, pamoja kamanda, haya tuendelee kutafakari, ingekuwaje kama rais anayesafiri sana duniani JK angekuwemo kwenye hiyo ndege?
Ingekuwa sherehe.
kweli hesabu ni janga la taifa! siku nne kivipi mkuu? haya na tuhesabu kwa pamoja kwa kutumia vidole au visoda: yaani kutoka ijumaa, jumamosi, jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi hadi leo ijumaa=8days.
Leo ni siku ya nne, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!
oooh!! kumbe mjinga mimi. nimekubali mkuu nilikurupuka.
kweli hesabu ni janga la taifa! siku nne kivipi mkuu? haya na tuhesabu kwa pamoja kwa kutumia vidole au visoda: yaani kutoka ijumaa, jumamosi, jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi hadi leo ijumaa=8days.
Mkuu hebu jitahidi kuwa unatoa kwanza boliti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho la mwingine.
Ukiangalia kwa makini mada hii imeanzishwa tarehe 11 Machi na kwa mahesabu yako hivyohivyo utagundua mleta mada alikua sahihi kusema siku 4 zilikua zimepita.
Itoshe kusema kua wewe ndo umekurupuka kwa mwendo kasi mtoroko (escape velocity).
Asante, cc. Bigbro
Kweli kupotea kwa hii ndege ni maajabu mkubwa. Mimi nadhani hii ndege ilianguka baharini sehemu yenye kina kirefu sana na katika kuanguka kwake ilitanguliza pua hivyo ikazama yote na kwenda chini kabisa ya bahari bila kukatika vipande hivyo iko chini kabisa ya bahari pamoja na abiria wote. Hii ndege haiwezi kuwa angani baada ya wiki moja toka iliporuka. Ndege na meli zinazotafuta zinaangalia uwezekano wa kuona kitu chochote kikielea kama vile bawa la ndege au mkia lakini haziwezi kuona kwakuwa kwa mtizano wangu ilizama yote kutokana na kuanguka huku ikielekeza pua hivyo ni kama ili-dive. Lakini Mungu ni mkubwa huenda ndege ikapatikana pamoja na abiria wake wakiwa hai!