Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

We acha tu its perplexing situation we really confused of these news, umeamkaje wewe?


Sent from nokia Jeneza
Nadhani mpaka ipokelewe ndio unaweza kujua location....kwa upande mwingine huenda simu zao hawajaenable GPS...
 
ushahidi uambatane na takwim pamoja na link.kwann unasema hivyo?

Takwimu na vyanzo ni vya kumwaga.

Lakini pia wala huhitaji takwimu kulijua hilo na wala huhitaji kwenda mbali. Mwaka jana Tanzania ni watu wangapi walikufa kutokana na ajali za ndege ukilinganisha na zile za magari?
 
Takwimu na vyanzo ni vya kumwaga.

Lakini pia wala huhitaji takwimu kulijua hilo na wala huhitaji kwenda mbali. Mwaka jana Tanzania ni watu wangapi walikufa kutokana na ajali za ndege ukilinganisha na zile za magari?

awali nilisema ni janga la kidunia kwa kujua fikra usafiri wa anga nchini haujaenea wala si wa ufanisi ukilinganisha na magar.sasa npe idad ya ndege zifanyazo safari za mabara zilizowahi kuanguka na angalau majeruhi walionusurika
 
awali nilisema ni janga la kidunia kwa kujua fikra usafiri wa anga nchini haujaenea wala si wa ufanisi ukilinganisha na magar.sasa npe idad ya ndege zifanyazo safari za mabara zilizowahi kuanguka na angalau majeruhi walionusurika

Yaani nikupe idadi za ndege za mabara yote? Hebu kuwa mahsusi bana

Ila, kwa kuanzia tu, hebu bofya hapa upate takwimu za Marekani ambapo usafiri wa anga pamoja na wa magari umeenea sana pengine kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
 
Jamani kwa wale walio mbeya kama mimi je ni wangapi waliiona ndege kama hio ikigeuka ikiwa angani na kuelekea maeneo ya lake nyasa
 
Yaani nikupe idadi za ndege za mabara yote? Hebu kuwa mahsusi bana

Ila, kwa kuanzia tu, hebu bofya hapa upate takwimu za Marekani ambapo usafiri wa anga pamoja na wa magari umeenea sana pengine kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.

thanks bro,the link provided is helpful.now I understand better
 
nadhan walikuwa hawajajipanga vizuri tu. lakin kuna kila dalili ya mchezo mchafu. mambo kama haya katika kipindi hiki cha teknolojia ya hali ya juu kiac iki hata hayaingii akilini.
 
Siku hizi wazungu nao hawaaminiki kama waswahili unawezakuta ni mchongo.
 
So sad kwa ndugu wa wasafiri waliokua katika ndege hiyo,sijui hata lipi sahih la kuwaza,au ndo kunyakuliwa?
 
ukienda kumpokea mtu halafu unakuta ndege yake delayed .............

Malaysia-Airline-crash-3219376.png
 
Mwaka 1978 February; East Africa Airways walikuwa na dege kubwa la mizigo lililoitwa Simba. Rubani wake alikuwa Capt. Wilbert Urio, katika fani hii kuna vimbwanga kadha wa kadha kuna kisa kimoja anasimulia kwamba wakati wanavuka atlantiki instruments zote kwenye cockpit ziligoma kufanya kazi baada ya mwanga mkali kupita mbele yao na kuwaachia kiwi cha macho.



Ndege ilikosa nguvu na kuanza kushuka chini mdogomdogo mpaka tumbo la ndege likaguza maji ya bahari wakati huo walikwisha kata tamaa na kuanza kusali lakini ghafla kwa nguvu za ajabu ndege ikaruka kwa mruko usio wa kawaida mpaka kwenye attitude waliyokuwa wana i maintain na ghafla instrument zote zikaanza kufanya kazi na pia kwenye radar ikaanza kuonekana, baada ya kufika kwenye destination iliyokusudiwa salama ndege ilifanyiwa uchunguzi wa hali ya juu lakini hakuna dosari yeyote iliyoonekana.
Hiyo ni miujjiza ya baba yetu, Mungu wetu wa mbinguni, na hiyo ni ishara kidigo tu anataka kuwathibitishia binadamu ukuu na uwepo wake na hasa kwa hao wenzetu wa mashariki ya mbali, ambao wengi hawaamini uwepo wa Mungu!
 
Leo ni siku ya nne, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!

Mpaka leo Mwakyembe anashangaa Container kuyeyuka/kupotea pale bandarini. Pengine akisikia ataamini sasa!
 
Hebu malizia basi,Kinavutwa kwenda juu ama kinavutwa kwenda Chini ya bahari!Na km hilo wana litambua hivyo,walijipanga vipi kukabiliana na Mvutano huo.

Kwa kawaida kinavutwa kwenda chini kumbuka physics na Geography ulizosoma au ulisoma ili ufaulu na baada ya kufaulu huna pa kua-ply knowledge hiyo?. Kwa kuwa ni nguvu ya asili, wanajipanga kwa kutopita eneo hilo. Sasa Kama ndege imepoteza mawasiliano na wanaoingoza ina maana haina uelekeo bali inajiendea tu kwa hiyo uwezekano wa kufika eneo hilo bila Rubani kutambua alipo na kukabiliana na dhahama hiyo ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom