Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Great Job lamestream media..
 

Attachments

  • 1394606722199.jpg
    1394606722199.jpg
    88 KB · Views: 213
mostly probably the plane has landed at a certain military base!

For what purpose..????..
I find it hard to understand your logic here mate.

From science point of view, it z mostly probably in the deep sea.
 
hebu peleka ushenzi wako huko...huna hata haya mwanaume mzima unamwamini mungu mtu..sisi tunamwamini Mungu wa mbinguni usituletee hapa..

Asante.......kumbe T.B joshua mungu mtu nilikuwa Sijui.
 
Siamini UTABIRI wa yeyote binaadam chini ya jua, ila projections kwa kutumia scietific causation au sequencing events yes. Yeyote ambaye si mjumbe wa Mungu hawezi kufanya utabiri, binadamu anaweza kufanya UBASHIRI ambao hii ni elimu inayoendana na mafunzo ya vitabu, maneno na matukio haliyopita. Je Joshua ni nabii? Kaletwa na nani? Kwa ushahidi gani? Anatumia nyaraka(suhfi) gani? Kwanini video iwe posted baada ya tukio? Kwani aseme ndege itapata ajali wakati wa take-off? Kuna take off inayochukua zaidi ya saa 1? Kuna take off inayoebdelea ktk umbali wa 35000ft? Bado mwataka kuzipeleka likizo tu akili zenu? Haya, yamekwisha haya. Kila mtu na uwezo wake wa kuyapokea yapitayo duniani. Endelea mkuu.

Asante.....
 
Dah mkuu wajua unatani wako at this stage ni machungu tu! Lait ungeona wajane na watoto wakilia kwa hii kitu walah usingesema hilo, its a misery and horror has wrapped the sky of Southern Asia
Mzee, hayo sio maneno yangu, mtaani kwetu kuna nabii kasema anajua ndege iliko na walioichukua msukule.. Dont get me twisted mazee
 
The Air France plane that crashed a few years back was found after 2 and a half years at the bottom of the Atlantic ( inside a deep trench of about 8 kms under the water). Siku nne sio kitu.

You're right! Lakini technology imekuwa mara dufu kulinganisha na miaka hiyo uisemayo ndugu, hizi ni nyakati mbili tofauti! Unadhani ingekuwa ndege ya Obama hii kauli ya "still missing" ingekuwa inachosha macho na masikio yetu mpaka leo??? TUI si MAZIWA.
 
Mpaka hapo mtu hawezi kunishauri nikwee pipa, hata kama ni Urusi nitafika tu kwa basi kupitia Cairo,Jerusalem, damascus, Syria, Turkey nakunywa mbege kidogo zen naamsha popo hadi Georgia na ntafika tu kuliko madude haya.

Wabongo bwana! Ina maana ushapata kisingizio tayari mkuu?
 
Mzee, hayo sio maneno yangu, mtaani kwetu kuna nabii kasema anajua ndege iliko na walioichukua msukule.. Dont get me twisted mazee

Mtaa gani huo mkuu? Huyo nab E ni kiboko! Itakuwa sio wa misikiti au makanisa yetu haya, kama vipi tutajie tumuelewe
 
Mpk saa kadhaa zilizopita simu za familia 22 zimesaini kuwa wanapiga simu za wapendwa wao zaita bila kupokelewa, so huenda bado wapo salama kwenye eneo ambapo signals za cellphone zafika

Shem inawezekanaje mawasiliano ya simu yapatikane na wasio location ya hizo simu!???
 
We acha tu its perplexing situation we really confused of these news, umeamkaje wewe?


Sent from nokia Jeneza

Niko salama kabisa... Kuna mtu kacomment hapo kuwa isije kuwa na New World Order implementation aisee make ni ajabu na kweli....
 
tena mwambie aache uongo..kwel kwel...hzo namba 11 za satanic zko api hapo..aaaaakhrr.

tunasoma hapa comments za wataalam mbalimbali wa ndege ambao wameelezea juu ya ajali hii,hawajataja Freemason,,,,watu hawaachi uzushi
 
Back
Top Bottom