Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,566
Kuna mzungu mmoja pamoja na uzungu wake, alikua hapandi ndege kamwe tena alikua mchezaji. kwahiyo mkuu sipingi msimamo wako maana itegemea maono yaku kuhusu usafiri wa ndege, mimi siku ya kwanza kupanda usafiri huu kule Mtwara, baada ya ndege kupaa baada nusu dakika nilipoangalia chini, nilitamani nimwambie rubani anishushe. Kwa jinsi vitu vilivyokua vikionekana ila hamna jinsi, pia siku moja kuna dada alilia sana baada ya ndege kupaa.Mkuu kweli kabisa, huu usafiri licha ni nadra sana kutokea ajali lakini kwangu bado unabaki Kuwa usafiri hatari sana