Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Najiuliza km wametekwa ..wanawahoji Nini ..?...katika hili tukio target in Nini ? Ndege au abiria?

Ukiweza kutofautisha kati ya Hijack na terrorrism, utaelewa huko walipo kama wametekwa wanafanya nini. Kiufupi kama ndege ingekuwa imetekwa basi mpaka sasa hao watekaji wangeshatoa taarifa na kuhitaji demands zao zifanyiwe kazi, likini mpaka sasa kimya. Kwa hili, dhana ya kuwa ndege itakuwa imetekwa ipo sehemu kwenye maficho inakufa na hoja hii inakuwa haina nguvu tena. Labda itekwe then out of control measures ikazama au kulipuka, na kama kulipuka mpaka sasa debris/ mabaki ya ndege yangekuwa yameshapatikana due to the intensive search iliyofanyika.
Kuzama baharini ndio inayochukua nafasi kubwa akilini mwa watu. Existance of Alliens still a conspiracy, je tutaamini vip kama wameichukua?:confused2::confused2:
 
mkuu je haiwezekani target ya zoezi hili ikawa ni ndege yenyewe,na kama ndege ndio target naamini hakutokua na demand yoyote,nnachohofia ni abiria tu sijui watakua kwenye hali gani kama nadharia hii itakua ndio ukweli.
 
Sidhani kama lengo ni ndege .ya kazi gani?
natumai hapa tumepitia pia..

Loss of employees on Malaysia flight a blow, U.S. chipmaker says | Reuters
hii ndege ilikua na wataalamu hawa kutoka ASIA walikua wanafanya kazi US..je ndio walikua target..?...mie nauliza kutokana na michango ya watu na vyanzo vya habari...
 
Aliens exist, and they probably have something to do with MH370..
 
Kitendawili bado kinaendelea - hakijateguliwa

Wenye ndugu zao akili hazifanyi kazi

Cha ajabu huko kwao MALAYS wanandugu wanaomba kufahamishwa kinachoendelewa askari wanawaburuza na kuwatoa badala ya kuongea nao kwa kuwafariji
 
Kwa hiyo wakuu hii iliishaje?
 
Ingekuwa imepotea Air Tanzania basi tungeambiwa ni hila za WANASIASA WA UPINZANI.
Na wanashirikiana na MABEBERU
 
Back
Top Bottom