Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

2Q==
 
Inawezekana wote waliokuwa wanasafiri siku hiyo walikuwa siku ya kufa imefika? Maana wanadini husema siku ikifika popote utakapokuwa lazima ufe.
 
Mkuu kuna mahali nilikuwa nasoma katika mitandao, kuna Bwana mmoja aitwae Chris de Lavigne ambaye ni mtaalamu wa anga na ulinzi.

Nitaweka maswali muhimu na majibu lakini kwa lugha ya umombo (natumai mtaelewa maana umombo ni lugha ya upili baada ya kiswahili kwa wengi wetu).

Q: Could the plane have disintegrated in mid-air?
The failure of the plane's pilots to send a distress signal has given rise to speculation there was a sudden catastrophe -- possibly caused by a mechanical failure or an explosion.

The lack of wreckage recovered so far also suggests a high-altitude disaster which spread debris across an area too wide to be easily detected.

"If it had been an impact at sea level of the whole craft, chances are more debris will be found immediately," said Chris de Lavigne, an expert on aerospace and defence issues at business consultancy Frost & Sullivan.

Sudden, accidental structural failures are considered extremely unlikely in today's passenger aircraft. This is especially so with the Boeing 777-200, which has one of the best safety records of any jet.

Authorities said the plane was at cruising altitude, 35,000 feet (11 kilometres) above sea level, when it last made contact.

"It's the safest point in the flight," de Lavigne said. "It's an extremely safe aircraft with very, very few incidents in its history. This is just overly puzzling."

Is it 11 kilometers or 11,000 km?!
 
na ni kwanini kupotea kwa hiyo ndege kumetawaliwa kwa namba za kishetani satanic number ilipotea
tarehe
10/3/2014 ambayo ukijumlisha unapata 11 pia ni saA 2:36 ukijumlisha unapata 11
 
The Air France plane that crashed a few years back was found after 2 and a half years at the bottom of the Atlantic ( inside a deep trench of about 8 kms under the water). Siku nne sio kitu.

Lakini angalau hii taarifa zake zilikuwa clear kuwa ilikutana na storm na rubani akachemsha badala ya kui lower ili ku maintain speed akaipaisha juu na hapo ndo kosa likasababisha ajali. Je hii ina nini hata haijulikani kama imeanguka na kama imeanguka nini kimesababisha huoni ni puzzle kubwa sana ?
 
Jamani mbona ndege imeonekana dar.tena inapiga ruti ubungo kwenda mbagala.na leo mchana nimetoka kupanda.
 
Mambo mengine ni kumuachia Mungu...Mungu ameamua kudhihirisha ukuu wake..binadamu si kitu na sayansi zetu
 
Kama hii ndege ingekua na mkuu wa nchi hapa duniani,i wish angekua rais............
 
Mimi alieniambia ni kijana anasoma huko sasa sijui kwakweli

Mkuu utafiti siyo kweli..Tumeuliza ubalozi pia hawana Taarifa ya Mtanzania yeyote kuwepo kwenye hiyo ndege..

Pia Malaysia wametoa List ya Raia na Mataifa yao..

huyo ni muongo..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti siyo kweli..Tumeuliza ubalozi pia hawana Taarifa ya Mtanzania yeyote kuwepo kwenye hiyo ndege..

Pia Malaysia wametoa List ya Raia na Mataifa yao..

huyo ni muongo..

Pamoja mkuu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: prs
Some of the possible causes for the plane just disappearing includes:

  1. A catastrophic structural failure.
  2. Bad weather.
  3. Pilot disorientation.
  4. Failure of both engines
  5. A bomb
  6. Hijacking.
  7. Pilot suicide.
  8. Accidental shoot-down
 
Wamedai ilipopoteza mawasiliano ilikua bado inaendelea kupanda juu zaidi.nahisi jamaa atakupa katoboa sayari na kuelekea mars huko dunia ingine
 
Inawezekana sana kuwa imeenda out the space kwa wanaojua geografia watakubaliana nami. kuna level angani ambapo ndege hairuhusiwi kufika gravitation force ya juu inakuwa na nguvu sana so huenda ilirich that point then ikamuvuzishwa kwenda juu zaidi thus why haionekani labda NASA watusaidie
 
Ni kwamba MAJINI yameiteka ile ndege na yanakunywa damu ya mmoja baada ya mwingine,MUNGU tusaidie
 
Back
Top Bottom