Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Update kutoka aljazeera:the plane changed direction after Kota Bahu and took a lower altitude. It made it into the straight of Malacca.

Ndiyo maana wamepanua wigo was search na kunuisha nchi kAvu
 
Siyo kwamba ukiskia " Malaysia true Asia" ukadhani ni wajanja kihivyooo. search and rescue sio kazi ndogo.
 
na ni kwanini kupotea kwa hiyo ndege kumetawaliwa kwa namba za kishetani satanic number ilipotea
tarehe
10/3/2014 ambayo ukijumlisha unapata 11 pia ni saA 2:36 ukijumlisha unapata 11

Kila mtu na uwezo wake wa kutafakari na ku analyse mambo. Big up Mwanga.
 
.............Ninaamini kwamba unapoamua kupanda ndege kwenda kokote kule unakuwa tayari umejitoa muhanga kwa lolote linaloweza kutokea.... ukifikiri mara 2 unaweza kughairi kwamba inakuwaje nikae angani masaa 10 nafanya mambo yangu yote huko nakula nakunywa nalala... mara nyingine mnalazimishwa kulala mnagawiwa na mablanketi na taa zinapunguzwa mwanga ili mlale....:scared::deadhorse: :amen: :behindsofa:
Mkuu kweli kabisa, huu usafiri licha ni nadra sana kutokea ajali lakini kwangu bado unabaki Kuwa usafiri hatari sana
 
Nachukia kupanda ndege, nakumbuka siku moja natoka OR Tambo na air tanzania nilijuta kwa jinsi vyuma vilivyokuwa vinagonga utadhani bushi zimeisha, tukafika sehemu ndege ilipigwa na turbulence, pilot akatoa signal za hatari, akazima taa, akawasha taa zimazoelekeza emergency doors, nilikaa na mkaburu akaanza kutafuta safety jacket...macho yalinitoka
 
na ni kwanini kupotea kwa hiyo ndege kumetawaliwa kwa namba za kishetani satanic number ilipotea
tarehe 10/3/2014 ambayo ukijumlisha unapata 11 pia ni saA 2:36 ukijumlisha unapata 11

Kwa nini umejumlisha mkuu?

wewe mwanga mshukuru tu mungu wako mwalimu mwakanyamale hayupo hapa. wewe ulikuwa ni mtu wa kupigwa tu rula kichwani. unapataje 11 unapojumlisha hizi tarakimu hapa 10/3/2014? au umetoka kwenye grosare?
 
wewe mwanga mshukuru tu mungu wako mwalimu mwakanyamale hayupo hapa. wewe ulikuwa ni mtu wa kupigwa tu rula kichwani. unapataje 11 unapojumlisha hizi tarakimu hapa 10/3/2014? au umetoka kwenye grosare?

ngoja nimsaidie kidogo nilivyoona mimi 1+3+2+1+4=11.
 
Back
Top Bottom