Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Nani anamzuia kuingilia kati? Yaani wapambe wanafanya maamuzi ya kufunga na kubambikia watu kesi halafu yeye akae kimya?Rais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.
Nani anamzuia kuingilia kati? Yaani wapambe wanafanya maamuzi ya kufunga na kubambikia watu kesi halafu yeye akae kimya?Rais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.
Huu nao ni UJINGA mwingine!!, Kwahiyo hao wapambe ndio wanamualisha AFANYE UPUUZI huo?. Utetezi wa kitoto...!!.Rais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.
Gentleman,Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
View attachment 3309871
😂😂😂😂😂Tunalo shetani la kike kutoka ng'ambo
Ana roho mbaya huyo bibi kuliko unavyo dhanRais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.
Mlishalewa damu za Watanzania mtaelewa nini nyie?Huyo kelele tu
Huyo mdogo wangu anamudu dk 2 hana kauli.
Hao wapumbavu mnadhani kuropokaropoka ndio kuwa strong?
SAUTI IKO CHINI SANA HAISIKIKIRais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
View attachment 3309871
Kwahiyo hajui kuwa Lisu amekamatwa? Alisema nataka Report ya Ali Kibao withn a week, amewah kuiai? Kama hausiki angelikuwa amesha press iletweRais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.
Inasikitisha sanaRais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
View attachment 3309871
Anachokiongea Heche ni uhakisiaAnadhani kupiga kelele ni sifa
*****...
Hamjuh majunbani kwao ADUI?Inauma sana.
Hivi mtoto wako akiwa anateseka kama Lissu unajisikiaje?.
Risasi, kesi lukuki za uongo.
Dunia hii tutaiacha.
Viongozi hii dhambi itawararua.
Tafadhali sana , muachieni.
Members naomba watu kama hawa tuwa ignorePumbavu nyie ukombozi wa nchi huu ulishafanyika na kamwe kikundi cha upinde akiwezi vunja ukombozi uliofanywa na Tanu
Endeleeni kujidanganya huku mmejificha kwenye keyboard na mikwara ya kishamba
Hao waliopo front mnaowaamin mbona wengi mchele tu
Heche ni mwanaume you know?Heche ni kizazi ambacho kinaweza kuiokoa hii nchi, Taifa linataka watu strong jamii ya Heche sio hawa vijana machawa machawa wanaowaza maisha mepesi mepesi.
Yaan wewe umekuja jana hapa unaleta kelele?Members naomba watu kama hawa tuwa ignore
Naanza mimi
Nani mwenye mamlaka ya mwisho kati ya rais na wapambe wake,acha kutulisga matango poriRais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.